Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

Ni wakati wa Plinko katika Premier Vegas, mchezo mpya ambao kila mtu anauzungumzia! Tuna michezo 5 mipya ambayo unaweza kucheza na kushinda sehemu ya 1,200,000 TSH . Dunda kuelekea kwenye utajiri kwenye mchezo wetu mpya wa Plinko Tiki, ikiwa na kizidishi kikubwa cha hadi mara x10,000 na mzunguko wa bonasi – pia unaweza kushinda zawadi za bonasi!

Cheza Sasa
Step 1
Chagua mchezo wa Plinko
Slots
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda moja ya zawadi za bonasi!
Leaderboard
Cheza Sasa

Go crazy ukiwa unacheza Plinko! Jaribu moja ya michezo yetu ya Plinko inayoshiriki na utapata nafasi ya kujishindia sehemu ya 1,200,000 TSH kama zawadi ya bonasi!

Ni rahisi, cheza moja ya michezo yetu 5 au yote kwa pamoja ya Plinko inayoshiriki na unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 100 wenye bahati kujishindia zawadi ya bonasi ya hadi . Cheza angalau 2,400 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo 5 iliyotajwa hapo chini ili kuingia kwenye droo.

Ofa ya Plinko Bonus Drops itaanza kuanzia Jumatatu tarehe Mn 8 Mei hadi Jum 14 Mei 2023.

Chagua moja au cheza michezo yote ifuatayo kwa pamoja: Plinko Tiki kutoka Solidicon, Plinko kutoka Spribe, Plinko kutoka Gaming Corps na Plingoball kutoka Evoplay, Plinko Go from 1X2 Network , ili kuwa sehemu ya hii kampeni – lakini fanya upesi, una siku 7 za kushinda:

Plinko Tiki:
Dunda kuelekea kwenye utajiri katika toleo hili lililochangamka zaidi la Plinko. Chagua diski zako, ziache zipambane na vikwazo hadi chini ya piramidi, na unaweza kushinda mara x10,000 ya dau lako! Usiogope ikiwa mpira utaanguka kwenye ndoo ya moto, moja wapo ya sanamu za Tiki inaweza kukubariki na gurudumu la bonasi!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Plinko Bonus Drops itaanza kuanzia Jumatatu tarehe Mn 8 Mei 00:01 UTC hadi Jum 14 Mei 23:59 UTC 2023.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo:
  Plinko Tiki kutoka Solidicon,
  Plinko kutoka Spribe,
  Plinko kutoka Gaming corps,
  Plingoball kutoka Evoplay. Plinko Go from 1X2 Network.
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri ya angalau 2,400 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye droo ya kujishindia moja ya zawadi za bonasi. Dau litakua linajilimbikiza ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo 5 iliyofuzu ndio zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Zawadi za Bonasi
 • Wachezaji 100 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya bonasi, kama ilivyoelezewa hapo chini, kutumika kwenye michezo 5 ya Plinko inayoshiriki siku ya Jumatatu tarehe Mn 15 Mei
Zawadi Idadi Jumla
12,000 TSH 100 1,200,000 TSH

 • Kuna zawadi 100 za 12,000 TSH zitakazotolewa bila mpangilio ndani ya siku 7 zijazo
 • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ni michezo 5 tu inayoshiriki ya Plinko ndio itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 12,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 12,000 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ya bonasi ndani ya muda wa promosheni.
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.