Pragmatic Big Bass Tournament Pragmatic Big Bass Tournament

Mashindano ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee! Shinda sehemu ya zawadi ya jumla ya TSH 780,000 katika Mashindano yetu ya Big Bass Tournament. Tunayo michezo bora zaidi tuliyoichagua kutoka Big Bass Slot za michezo ya Pragmatic Play, chagua mmoja wowote na ucheze kwa dau kuanzia TSH 260 ili kukusanya alama kwenye ubao wa washindi. Kukiwa na zawadi 30 za pesa taslimukutolewa, unaweza kushinda zawadi ya pesa taslimu ya hadi TSH 130,000!

PLAY NOW
Step 1
Chagua mchezo wa slot
Sports
Step 2
Cheza angalau TSH 260 ili kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Bonus
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Money Bag
PLAY NOW

Unaweza kushinda sehemu ya TSH 780,000 kama zawadi ya pesa taslimu katika Mashindano yetu ya Big Bass Tournament! Tunatoa zawadi za pesa taslimu kwa washindi 30, ikiwa ni pamoja na zawadi kubwa ya TSH 130,000 kwa mshindi wa kwanza. Kuingia ni rahisi, chagua moja ya michezo ya Pragmatic Play Big Bass Slot games inayoshiriki, zungusha angalau TSH 260, na kila ukishinda au ukipoteza utapata alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda zawadi ya pesa taslimu!

Mashindano ya Big Bass Tournament yataanza kuanzia Jumatano tarehe 25 Oktoba hadi Jumanne tarehe 31 Oktoba 2023.

Jinsi ya Kushinda:
Cheza angalau TSH 260 kwenye mojawapo ya michezo inayoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama 100, na kila utakapopoteza utapata alama 30. Na kama utapata rejesho la pesa yako hutopata alama yoyote. Alama zinazopokelewa zitahesabiwa pamoja kwa kipindi chote cha Mashindano. Kadri unavyokusanya alama nyingi, ndivyo nafasi yako itakavyokuwa juu kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 30 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watagawana zawadi ya TSH 780,000!

MUDA WA PROMOSHENI
 • Promosheni ya Big Bass Tournament itaanza Jumatano tarehe 25 Oktoba 2023 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 31 Oktoba 2023 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kwenye hii promosheni.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Kushiriki kwenye mashindano, utakua ume opt in moja kwa moja utakapozungusha kwenye mchezo wowote unaoshiriki.
 • Kima cha chini cha dau kwa kila mzunguko ili kushiriki kwenye mashindano ni TSH 260. Kama kima cha chini cha dau kitakua hakipo, Itasawazishwa hadi kiasi cha dau kinachofuata kinachopatikana katika mchezo.
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itahesabika kwenye ushiriki kwa mashindano (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bashiri za pesa taslimu zilizofuzu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Pragmatic Play:
  1. Big Bass Bonanza
  2. Big Bass Bonanza Megaways
  3. Big Bass Splash
  4. Christmas Big Bass Bonanza
  5. Big Bass Amazon Xtreme
  6. Big Bass Hold & Spinner Megaways
  7. Big Bass Halloween
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitahesabika ( Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Cheza mojawapo ya michezo inayoshiriki iliyoorodheshwa hapo juu na kila ushindi utakupatia alama 100, na kila utakapopoteza utapata alama 30. Kama utapata rejesho la pesa yako, hautopata alama yoyote. Alama zinazopokelewa zitahesabiwa pamoja kwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi kwa ajili ya mashindano kwenye ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi utabadilishwa kwenye muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi kwenye mchezo muda wowote wanaotaka wakati wakicheza mchezo/michezo inayoshiriki.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji ambao wamekusanya alama za juu zaidi wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alipata alama hizo wa kwanza ndie atapata zawadi ya juu.
 • Zawadi zote za fedha zitaonyeshwa ndani ya mchezo katika sarafu unayocheza nayo.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kwenye ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni TSH 780,000 ikiwa na washindi 30.
 • Zawadi zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika na kukubalika kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na dau la chini kwa mashindano haya vimewekwa kwenye mfumo wa EUR au USD na vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji sarafu.
JUMLA
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Kiasi cha ushindi kimepangwa katika mfumo wa EUR na zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ubadilishaji wa sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.