Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Kila wiki unaweza kushinda sehemu ya 325,000,000 TSH zawadi za pesa taslimu kama DROPS & WINS Mashindano ya kila wiki na Drops za zawadi za Kila Siku. Ni rahisi, chagua mchezo mmoja kati ya inayoshiriki, ingia kwenye mashindano ya DROPS & WINS yaliyo ndani ya mchezo na ucheze angalau 1,250 TSH kwenye kuzungusha na uanze kupanda kwenye ubao wa washindi au ushinde papo hapo zawadi za pesa taslimu!

Step 1
Chagua mchezo wako wa Slot
Casino
Step 2
Ingia kwenye mashindano
Slots
Step 3
Zungusha angalau 1,250 TSH ili kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Money Bag

Kila wiki unaweza kujishinidia sehemu ya 325,000,000 TSH zawadi za pesa taslimu kama DROPS & WINS mashindano ya Kila Wiki na Drops za zawadi za kila Siku. Kila wiki kutakua na mashindano ya kila wiki ya kujishindia sehemu ya 155,000,000 TSH ikiwa na zawadi 1,500 za pesa taslimu, pamoja na 157,500,000 TSH kushindaniwa kama Drops za zawadi za kila siku za bila mpangilio. Unaweza kujishindia Drops za zawadi za kila siku zaidi ya mara moja, na ukiwa na vizidishi vya zawadi (Prize Multipliers) unaweza kujishindia zawadi kubwa zaidi za pesa taslimu!

Promosheni ya DROPS & WINS itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 9 Februari 2022 hadi Jumatano ya tarehe 8 Februari 2023.

Ni rahisi chagua moja ya michezo hii inayoshiriki, ingia kwenye mashindano ya DROPS & WINS yaliyopo kwenye mchezo na ucheze angalau 1,250 TSH kwa kuzungusha ili kufuzu kupokea Drops za zawadi za kila siku za bila mpangilio na kushiriki kwenye mashindano ya Kila Wiki na uanze kupanda kwenye ubao wa washindi:

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya DROPS & WINS itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 9 Februari 2022 hadi Jumatano ya tarehe 8 Februari 2023.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii

Vigezo na Masharti ya Jumla ya Drops & Wins
 • Promosheni ya DROPS & WINS ina jumlisha mashindano ya siku hamsini na mbili (52) saba (7)- (kila “Shindano la Wiki”) na jumla ya zawadi za cash drops mia tatu na sitini na nne (364) za kila siku (kila “Drops za Zawadi ya kila siku”) itakayoendeshwa kila wiki ndani ya muda wa Promosheni.
 • Muda wa Promosheni umegawanyika kwenye hatua kumi na tatu (13), kila hatua ina wiki nne (4)na (kila wiki nne (4) zitakua zinaitwa “Hatua/Stage”), ambapo kila wiki iliyopo kwenye hatua itakua ni wiki ya kufuzu(hivyo kila wiki itaitwa “Wiki ya Kufuzu”).
 • Ili kushiriki kwenye mashindano yoyote ya kila wiki au kupata zawadi yoyote ya siku kwenye Promosheni hii ya mtandao, wachezaji ni lazima wafungue moja ya michezo inayoshiriki na kushiriki/kuingia.
 • TZawadi za Promosheni hii ya mtandao zinaweza kunyakuliwa na wachezaji kama kiasi cha pesa taslimu, kiasi cha kizidishi(multiplier) au Bonasi za mizunguko ya bure (kama ilivyoelezewa hapo chini):
  • PWachezaji watakaoshiriki ndani ya wiki za kawaida wanaweza kujishindia zawadi kwa mfumo wa kiwango flani cha pesa taslimu ndani ya mashindano ya kila wiki (Wiki za kawaida) na Drops za zawadi za kila siku (Wiki za kawaida)
  • Wachezaji wanaoshiriki ndani ya wiki ya vizidishi wanaweza kujishindia zawadi kwa mfumo wa vizidishi (multiplier) vya dau aliloweka mchezaji na Bonasi za mizunguko ya Bure kama ilivyo kwenye Mashindano ya wiki (Wiki ya vizidishi vya zawadi) na Drops za zawadi za kila siku (Wiki ya vizidishi vya zawadi)
  • Kama ushindi utazidi 25,000 TSH, zawadi italipwa kulingana na dau la bashiri ya 25,000 TSH au sawa na kiasi kilichopo kulingana na sarafu iliyopo X kizidishi ulichopokea.
 • Bila kupinga chochote kinyume, ushindi kutoka kwenye Bonasi za mizunguko ya Bure uliopatikana kwenye Wiki ya vizidishi hautojumuishwa kwenye mechanics za kuzidisha zawadi.
 • Bonasi za mizunguko ya Bure (the “Free Round Bonus/es”) zitatolewa kwa mchezaji katika mfumo wa Bonasi za mizunguko ya Bure kumi (10) kwa mchezo ule ule unaoshiriki ambao mchezaji alishinda zawadi alipokua anacheza.
 • Bonasi za mizunguko ya bure hazitokua na masharti yoyote ya ziada zitakapotolewa kwa mchezaji.
 • Kama kiasi cha dau kwenye bonasi za mizunguko ya bure kitazidi 25,000 TSH au sawa na kiasi kilichopo kulingana na sarafu, Bonasi ya mzunguko wa bure italipwa kulingana na dau la bashiri ya 25,000 TSH au kiasi sawa na sarafu iliyopo.
 • Kama mchezo unaoshiriki hauna dau la bashiri ya 25,000 TSH, bonasi ya mizunguko ya bure italipwa kulingana na kiasi cha juu kabisa cha dau kilichopo kwenye mchezo unaoshiriki.
 • Zawadi za Bonasi za Mizunguko ya Bure zitalipwa kwa washindi siku hio hio ambayo ushindi wa zawadi ya bonasi ya mizunguko ya bure utapatikana.
 • Zawadi za bonasi ya mizunguko ya bure zilizotolewa kwenye Mashindao ya kila wiki zitatolewa kwa washindi mwisho wa kila shindano.
 • Zawadi zote zilizopatikana kwa vigezo vya Promosheni ya mtandao ni lazima zilipwe kama kiasi kilichoandikwa bila masharti yoyote ya ziada.

Mashindano ya Kila Wiki (Wiki za Kawaida):
 • Kila wiki ya kufuzu ndani ya vigezo vya Promosheni ya Mtandao itajumuisha Shindano moja (1) la kila Wiki.
 • Bashiri ya mzunguko mmoja (1) iliyofuzu (kama ilivyoelezewa hapa chini) inaweza kumruhusu mchezaji kupanda kwenye ubao wa washindi.
 • o Ili wachezaji waweze kushiriki kwenye Mashindano ya Kila Wiki (Wiki za kawaida), bashiri ya pesa halisi ya dau la angalau 1,250 TSH au sawa na kiwango cha sarafu kilichopo kwenye mchezo/michezo inayoshiriki kitahitajika (na hii imeelezewa kwenye “Bashiri ya mzunguko itakayofuzu”).
 • Ubao wa washindi utaandikwa kulingana na matokeo, na matokeo ni kulingana na kiasi kikubwa cha ushindi kitakachopatikana kwenye michezo inayoshiriki kulingana na dau lililowekwa.
 • Ubao wa washindi unabadilika kila muda na wachezaji wanaweza wanaweza kutazama ubao wa washindi wa mchezo muda wowote watakaohitaji wakati wakiendelea kucheza kwenye michezo inayoshiriki.
 • Ikitokea kuna washindi wawili (2) au zaidi watakaomaliza Mashindano ya Kila wiki wakiwa kwenye nafasi sawa/sare, mchezaji aliekua wa kwanza kufikisha alama hizo za juu ndie atakaepokea zawadi kubwa zaidi.
 • Zawadi zinatolewa kwa wachezaji kulingana na kiwango kilichowekwa.
 • Ili kuondoa wasiwasi wowote, kiasi chochote cha zawadi ambacho hakitotolewa kutoka kwenye zawadi ya jumla hadi mwisho wa kila wiki ya mashindano kitaendelea kuwepo na kutolewa kwenye hatua nyingine za mashindano ya kila wiki au kwenye Promosheni nyingine ya mtandao.

Wachezaji wanawezaje kushiriki kwenye Mashindano ya Kila Wiki (Wiki za kawaida):
 • Mchezaji anatakiwa ashiriki au aingie kwenye michezo inayoshiriki.
 • Zawadi zitatolewa kwa wachezaji kulingana na matokeo ya mwisho yatakayoonyeshwa kwenye ubao wa washindi mwisho wa kila shindano la Wiki.
 • Jinsi kiwango cha ushindi kinavyozidi kua kikubwa kwenye mzunguko mmoja kulingana na kiasi cha dau alichoweka mchezaji kwenye mzunguko mmoja, ndivyo alama za ushindi zinavyoweza kuzidi kuwa kubwa.

Drops za zawadi za kila siku(Wiki za Kawaida):
 • Kila wiki ya kufuzu ndani ya vigezo vya Promosheni ya mtandao itajumlisha Drops saba (7) za zawadi za kila siku(kila “siku ya Drop za zawadi”).
 • Mzunguko mmoja (1) utakaofuzu (kama ulivyoelezewa hapa chini) unaweza kuruhusu zawadi moja (1) kutoka kwenye zawadi ya jumla kila siku ya Drop ya zawadi.
 • Sheria ya Drop za zawadi za kila siku na majedwali ya zawadi yatajengwa kwenye michezo inayoshiriki. Jedwali la zawadi litakua linabadika kila muda likionesha maendeleo pamoja na zawadi zilizobaki.
 • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye kipengele cha ‘zawadi’, kilichopo kwenye kila mchezo unaoshiriki.
 • Zawadi zinatolewa kwa wachezaji kulingana na kiwango kilichowekwa.
 • Mchezaji anaweza kujishindia Drops za zawadi nyingi zaidi kwa siku kila siku ya Drop ya zawadi.
 • Ili mchezaji aweze kufuzu kushiriki kwenye Drops za zawadi za kila siku (Wiki za kawaida), ni lazima aweke bashiri ya pesa halisi ya angalau 1,250 TSH au sawa na kiwango cha sarafu kilichopokwenye mchezo/michezo inayoshiriki (yaani baada ya “Mzunguko uliofuzu”).
 • Mwisho wa Drop za zawadi za kila siku ni mapema kuanzia: (i) 18:59 CEST/CET; au (ii) zawadi za siku zitakapoisha.
 • Ili kuondoa wasiwasi wowote, kiasi chochote cha zawadi ambacho hakitotolewa kutoka kwenye zawadi ya jumla hadi mwisho wa siku ya Drop za zawadi za kila siku kitaendelea kuwepo na kutolewa kwenye hatua nyingine za Drop za zawadi za kila siku au kwenye Promosheni nyingine ya mtandao.

Jinsi gani wachezaji wanaweza kushiriki kwenye Drop ya zawadi za kila siku (Regular Weeks):
 • Mchezaji anatakiwa ashiriki au aingie kwenye michezo inayoshiriki.
 • Mchezaji ni lazima aweke bashiri ya pesa halisi kwenye mchezo mmoja (1) ikiwa na dau la angalau 1,250 TSH au sawa na kiwango cha sarafu kilichopo kwenye mchezo/michezo inayoshiriki.
 • Bashiri yoyote iliyofuzu itakayowekwa kwenye mchezo wowote kati ya inayoshiriki inaweza kupokea zawadi moja (1) bila mpangilio kutoka kwenye zawadi ya jumla ndani ya muda wa Promosheni.

Mashindano ya kila wiki (Wiki za Vizidishi vya Zawadi)
 • Kila wiki ya kufuzu ndani ya muda wa Promosheni ya mtandao itakua na Shindano moja (1) la Kila Wiki.
 • Mzunguko mmoja (1) uliofuzu (kama ilivyoelezewa hapachini) unaweza kuruhusu mchezaji kupanda kwenye ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi utaandikwa kulingana na matokeo, na matokeo ni kulingana na kiasi kikubwa cha ushindi kitakachopatikana kwenye michezo inayoshiriki kulingana na dau lililowekwa.
 • Ubao wa washindi unabadilika kila muda na wachezaji wanaweza wanaweza kutazama ubao wa washindi wa mchezo muda wowote watakaohitaji wakati wakiendelea kucheza kwenye michezo inayoshiriki.
 • Ikitokea kuna washindi wawili (2) au zaidi watakaomaliza Mashindano ya Kila wiki wakiwa kwenye nafasi sawa/sare, mchezaji aliekua wa kwanza kufikisha alama hizo za juu ndie atakaepokea zawadi kubwa zaidi.
 • Zawadi zitatolewa kama vizidishi vya kiasi cha dau la ushindi alilowekaa mchezaji bila kuhesabia bonasi za zawadi za mizunguko ya Bure.
 • Hakuna kima cha chini cha dau la pesa halisi kitakachohitajika kwa mchezaji ili kufuzu kushiriki kwenye Mashindano ya kila Wiki (Wiki za vizidishi vya zawadi) (yaan “Mzunguko utakaofuzu”).
 • Ili kuondoa wasiwasi wowote, kiasi chochote cha zawadi ambacho hakitotolewa kutoka kwenye zawadi ya jumla hadi mwisho wa kila wiki ya mashindano kitaendelea kuwepo na kutolewa kwenye hatua nyingine za mashindano ya kila wiki au kwenye Promosheni nyingine ya mtandao.

Jinsi gani wachezaji wanaweza kushiriki kwenye Mashindano ya Kila Wiki (Wiki za vizidishi vya zawadi):
 • Mchezaji anatakiwa ashiriki au aingie kwenye michezo inayoshiriki.
 • Mchezaji ni lazima aweke bashiri ya pesa halisi kwenye moja ya michezo yote inayoshiriki na ni lazima ashinde angalau kwenye mchezo mmoja (1) ili kufuzu kushiriki kwenye Mashindano ya kila Wiki.
 • Zawadi zitatolewa kwa wachezaji kulingana na matokeo ya mwisho yatakayoonyeshwa kwenye ubao wa washindi mwisho wa kila shindano la Wiki.
 • Jinsi kiwango cha ushindi kinavyozidi kua kikubwa kwenye mzunguko mmoja kulingana na kiasi cha dau alichoweka mchezaji kwenye mzunguko mmoja, ndivyo alama za ushindi zinavyoweza kuzidi kuwa kubwa.

Drops za zawadi za Kila Siku (Wiki ya vizidishi vya Zawadi)
 • Kila wiki ya Kufuzu ndani ya muda wa Promosheni ya mtandao inajumlisha Drops za zawadi za kila siku saba (7) (kila “Siku ya Drops za zawadi”).
 • Mzunguko mmoja (1) uliofuzu (kama ilivyoelezewa hapa chini) unaweza kuruhusu zawadi moja (1) kutoka kwenye zawadi ya jumla ndani ya kila promosheni.
 • Hakuna kima cha chini cha dau la pesa halisi kitakachohitajika kwa mchezaji ili kufuzu kushiriki kwenye Drops za zawadi za kila siku (Wiki za vizidishi vya zawadi) (yaan “Mzunguko utakaofuzu”).
 • Sheria ya Drop za zawadi za kila siku na majedwali ya zawadi yatajengwa kwenye michezo inayoshiriki. Jedwali la zawadi litakua linabadika kila muda likionesha maendeleo pamoja na zawadi za bonasi zilizobaki.
 • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye kipengele cha ‘zawadi’, kilichopo kwenye kila mchezo unaoshiriki.
 • Zawadi zitatolewa kama vizidishi vya kiasi cha dau la ushindi alilowekaa mchezaji bila kuhesabia bonasi za zawadi za mizunguko ya Bure.
 • Mchezaji anaweza kujishindia Drops za zawadi nyingi zaidi kwa siku kila siku ya Drop ya zawadi.
 • Mwisho wa Drop za zawadi za kila siku ni mapema kuanzia: (i) 18:59 CEST/CET; au (ii) zawadi za siku zitakapoisha.
 • Ili kuondoa wasiwasi wowote, kiasi chochote cha zawadi ambacho hakitotolewa kutoka kwenye zawadi ya jumla hadi mwisho wa siku ya Drop za zawadi za kila siku kitaendelea kuwepo na kutolewa kwenye hatua nyingine za Drop za zawadi za kila siku au kwenye Promosheni nyingine ya mtandao.

Jinsi mchezaji anavyoweza kushiriki kwenye Drop za zawadi za siku (Wiki ya vizidishi vya zawadi):
 • Mchezaji anatakiwa ashiriki au aingie kwenye michezo inayoshiriki.
 • Mchezaji ni lazima aweke bashiri ya pesa halisi kwenye moja ya michezo inayoshiriki.
 • Bashiri yoyote iliyofuzu itakayowekwa kwenye mchezo wowote kati ya inayoshiriki inaweza kupokea zawadi moja (1) bila mpangilio kutoka kwenye zawadi ya jumla ndani ya muda wa Promosheni.

MUDA WA PROMOSHENI YA MTANDAO: WIKI 29-32: Ikiwemo Mashindano ya kila wiki (Wiki za kawaida) na Kila Siku
 • Ili kufuzu kushiriki kwenye Mashindano ya Kila Wiki (Wiki za kawaida) na Drop za zawadi za kila Siku (Wiki za kawaida) Promosheni ya mtandao mchezaji anatakiwa kucheza kwenye michezo ya pesa halisi kwa masharti yafuatayo (yaan “mzunguko utakaofuzu”):
 • Mizunguko yote itakayokua na bashiri ya dau la chini ya 1,250 TSH au sawa na kiwango cha sarafu kilichopo kwenye mchezo/michezo inayoshiriki itaingia kwenye Drops za zawadi na Mashindano.
 • Mzunguko uliofuzu utamruhusu mchezaji alieingia/shiriki kupokea Promosheni zote za Drops na Wins mfululizo.
 • Wolf Gold™, Mustang Gold™, Sweet Bonanza™, John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen™, Great Rhino Megaways™, John Hunter and the Book of Tut™, The Dog House™, The Dog House Megaways™, Chilli Heat™, Fruit Party™, Big Bass Bonanza™, Madame Destiny Megaways™, Gates of Olympus™, Power of Thor Megaways™, Buffalo King Megaways™, Juicy Fruits™, Bigger Bass Bonanza™, Joker’s Jewels™, Big Bass Bonanza Megaways™, Book of The Fallen, 5 Lions Megaways™, Buffalo King™, Extra Juicy Megaways™, Cleocatra, Wild West Gold Megaways, Big Bass Splash, Cash Patrol
 • Ratiba:
 • Wiki ya 29: Jumatano tarehe 24 Agosti 2022 19:01 CEST – Jumatano tarehe 31 Agosti 2022 18:59 CEST.
 • Wiki ya 30: Jumatano tarehe 31 Agosti 2022 19:01 CEST – Jumatano tarehe 1 Septemba 2022 18:59 CEST.
 • Wiki ya 31: Jumatano tarehe 1 Septemba 2022 19:01 CEST – Jumatano tarehe 7 Septemba 2022 18:59 CEST.
 • Wiki ya 32: Jumatano tarehe 7 Septemba 2022 19:01 CEST – Jumatano tarehe 14 Septemba 2022 18:59 CEST.

MASHINDANO YA KILA WIKI (Wiki za Kawaida)
 • Kigezo cha ushindi: Mzunguko wenye kiasi kikubwa zaidi cha ushindi kulingana na dau lililowekwa.
 • Zawadi: Zawadi ya jumla ya kila wiki ya takribani Euro/British Pounds (€/£ 62,000)Kwa ujumla na zawadi elfu moja mia tano (1,500) za pesa taslimu.
 • Jedwali la zawadi la Mashindano ya kila wiki (Wiki za vizidishi vya zawadi) litaonyeshwa kwenye michezo.

B. DROPS ZA ZAWADI ZA KILA SIKU (Wiki za Kawaida)
 • Kigezo cha ushindi: Mzunguko wowote wa pesa halisi kwenye michezo inayoshiriki inaweza kupokea zawadi ya bila mpangilio.
 • Zawadi: Zawadi ya jumla ya kila wiki ya takribani Euro/British Pounds (€/£ 63,000), zawadi za kila siku za jumla ya takribani Euros/British Pounds (€/£9,000) na zawadi mia tano (500) za pesa taslimu.

Jumla
 • Hii ni promosheni ya mtandaoni kwenye tovuti zote za Pragmatic Play zinazoshiriki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea promosheni zilizochaguliwa (mfano. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa; na ofa maalumu za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kuondoa au kubatilisha Bashiri za Bure na Ushindi wa Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitajulikana zimefanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.