Pragmatic Slots Tournament Pragmatic Slots Tournament

Mashindano ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee! Shinda sehemu ya zawadi ya jumla ya 5,600,000 TSH katika Mashindano yetu ya Maze of Wins Tournament. Tunayo michezo BOMBA zaidi ya slots kutoka Pragmatic Play, chagua mmoja wowote na ucheze kwa dau kuanzia 280 TSH ili kukusanya alama kwenye ubao wa washindi. Kukiwa na zawadi 100 za pesa taslimu, unaweza kushinda zawadi ya pesa taslimu ya hadi 840,000 TSH!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo wa slot
Sports
Step 2
Cheza angalau 280 TSH ili kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Bonus
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Money Bag
CHEZA SASA

Unaweza kushinda sehemu ya 5,600,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu katika Maze of Wins Tournament! Tunatoa zawadi za pesa taslimu kwa washindi 100, ikiwa ni pamoja na zawadi kubwa ya 840,000 TSH kwa mshindi wa kwanza. Kuingia ni rahisi, chagua moja ya michezo ya Pragmatic Play Best Slot games inayoshiriki, zungusha angalau 280 TSH, na kila utakaposhinda au utakapopoteza utapata alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda zawadi ya pesa taslimu!

Ofa ya Maze of Wins Tournament itaanza Ijumaa tarehe 19 April hadi Alhamisi tarehe 25 April 2024.

Jinsi ya Kushinda:
Cheza angalau 280 TSH kwenye mojawapo ya michezo inayoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama 100 na kila utakapopoteza utapata alama 30. Na kama utapata rejesho la pesa, hutopata alama yoyote. Alama unazozipata zitahesabiwa pamoja kwa kipindi chote cha Mashindano. Kadri unavyokusanya alama nyingi, ndivyo nafasi yako itakavyokuwa juu kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 100 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watagawana zawadi ya 5,600,000 TSH!

MUDA WA PROMOSHENI
 • Promosheni ya Maze of Wins Tournament itaanza Ijumaa tarehe 19 Aprili 00:00 UTC to Alhamisi tarehe 25 Aprili 23:59 UTC 2024.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kwenye hii promosheni.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
 • Ili kushiriki kwenye mashindano, utakua ume opt in moja kwa moja utakapozungusha kwenye mchezo wowote unaoshiriki.
 • Kima cha chini cha dau kwa kila mzunguko ili kushiriki kwenye mashindano ni 280 TSH. Kama kima cha chini cha dau kitakua hakipo, Itasawazishwa hadi kiasi cha dau kinachofuata kinachopatikana katika mchezo.
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itahesabika kwenye ushiriki kwa mashindano (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bashiri za pesa taslimu zilizofuzu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Pragmatic Play:
  1. Joker’s Jewels
  2. Super 7s
  3. Buffalo King Megaways
  4. Diamond Strike
  5. Gates of Olympus
  6. Ultra Hold and Spin
  7. Book of the Fallen
  8. Madame Destiny Megaways
  9. Fire Strike
  10. Pompei Megareels Megaways
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itahesabika kwenye ushiriki kwa mashindano (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndio zitahesabika ( Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Cheza mojawapo ya michezo inayoshiriki iliyoorodheshwa hapo juu na kila ushindi utakupatia alama 100 na kila utakapopoteza utapata alama 30. Na kama utapata rejesho la pesa, hutopata alama yoyote. Alama zinazopokelewa zitahesabiwa pamoja kwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi kwa ajili ya mashindano kwenye ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi utabadilishwa kwenye muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi kwenye mchezo muda wowote wanaotaka wakati wakicheza mchezo/michezo inayoshiriki.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji ambao wamekusanya alama za juu zaidi wakati wa mashindano.
 • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alipata alama hizo wa kwanza ndie atapata zawadi ya juu.
 • Zawadi zote za fedha zitaonyeshwa ndani ya mchezo katika sarafu unayocheza nayo.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kwenye ubao wa washindi.
 • Zawadi zote za fedha zitaonyeshwa ndani ya mchezo katika sarafu unayocheza nayo.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kwenye ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 5,600,000 TSH itatolewa kwa washindi 100.
 • Zawadi zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika na kukubalika kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na dau la chini kwa mashindano haya vimewekwa kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji sarafu.
JUMLA
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Kiasi cha ushindi kimepangwa katika mfumo wa EUR na zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ubadilishaji wa sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.