UEFA Challenge UEFA Challenge

Je unaweza kupiga dana dana ngapi ndani ya sekunde 15? 💸 SHINDA hadi 1,200,000 TSH kwenye #PremierSkillsChallenge@ACMILAN’s Charles De Ketelaere, Alexis Saelemaekers, Aster Vranckx & Yacine Adli.Step 1
JIREKODI ukiwa unapiga dana dana nyingi uwezavyo ndani ya sekunde 15 🤳
Step 2
SHARE video na @PremierBetTZ tumia #PremierSkillsChallenge ili kushiriki kwenye mashindano ⚽
Step 3
Top the leaderboard to WINOngoza kwenye ubao wa washindi ili KUSHINDA zawadi za pesa taslimu & vifaa vya michezo original kutoka AC Milan! 🥇


Mshindi wa 1 atashinda 1,200,000 TSH zawadi ya pesa taslimu, simu janja pamoja na jezi ya AC Milan iliyosainiwa atakavyo yeye, na washiriki 25 wa ziada pia watajishindia zawadi.

PremierBet inakuletea ‘Keeping up with AC’, #PremierSkillsChallenge.

Tumeungana na nyota wa AC Milan Charles De Ketelaere, Alexis Saelemaekers, Aster Vranckx & Yacine Adli kutoa zawadi kwa mbabe wa wababe.

Tunahitaji kupata wachezaji wenye uzoefu mkubwa zaidi barani #Afrika… Kuna mtu unamjua? Wakati wa mashindano, unatakiwa uwe na spidi kubwa kama unataka kuonekana na kuacha alama yako. Hivyo unasubiri nini, toa burudani kwa mashabiki na ujenge historia yako. Jukwaa ni lako… ⤵️ Una sekunde 15 kuonyesha ufundi wako (premier skills)!

Jinsi ya Kushiriki

Ili kuingia kwenye mashindano tengeneza VIDEO yako ukiwa unapiga dana dana nyingi uwezavyo ndani ya sekunde 15 kisha SHARE video yako na @PremierBetTZ kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia hashtag ya #PremierSkillsChallenge. Mshindi #1 atashinda zawadi kubwa kabisa na kuna zawadi nyingi sana kwa washiriki watakaoshika nafasi zinazofuata!

Mshindi #1 atashinda zawadi kubwa kabisa na kuna zawadi nyingi sana kwa washiriki watakaoshika nafasi zinazofuata!

Maelezo Kamili ya Zawadi

 • Nafasi ya 1 1,200,000 TSH pesa taslimu | Simu Janja | Jezi 1 ya AC Milan iliyosainiwa kama atakavyo yeye
 • Nafasi ya 2 600,000 TSH pesa taslimu | Jezi 1 ya PB Milan
 • Nafasi ya 3 240,000 TSH pesa taslimu | Jezi 1 ya PB Milan
 • Nafasi ya 4 120,000 TSH pesa taslimu | Mpira 1 wa Miguu wa AC Milan
 • Nafasi ya 5 60,000 TSH pesa taslimu | Mpira 1 wa Miguu wa AC Milan
 • Nafasi ya 6-10 24,000 TSH pesa taslimu | Mpira 1 wa Miguu wa AC Milan

Pia atakaeongoza kwenye kila soko kati ya masoko 16 atapata 120,000 TSH.

Zawadi ya mshindi wa kwanza itaenda kwa mshindi 1 wa jumla atakaeongoza kwenye ubao wa washindi, zawadi nyingine zote zinazofuata zitatolewa kulingana na nafasi za kwenye ubao wa washindi.

Mashindano yatafungwa siku ya Jumatatu tarehe 28 Oktoba 23:59 UTC, Washindi & matokeo ya mwisho ya ubao wa washindi yatatangazwa siku ya Jumanne tarehe 29 Novemba. 18+ Pekee.

🎥 Chukua mpira wowote ulionao, weka rekodi & utuonyeshe ufundi wako!

Je unaweza kuwashinda Mafundi wa Mpira wa Milan na wachezaji wetu kutoka nchi 15 nyingine?
🔴⚫ 🇦🇴 🇨🇮 🇨🇲 🇨🇬 🇬🇭 🇱🇷 🇲🇱 🇲🇼 🇲🇿 🇨🇩 🇸🇳 🇹🇩 🇹🇬 🇹🇿 🇷🇼 🇿🇲

Leaderboard
Nafasi* Jina Nchi Alama
1 Yacine Adli (AC Milan) Algeria / Ufaransa ⚽ 49 🎾 35
2 Alexis Saelemaekers (AC Milan) Ubelgiji ⚽ 37 🎾 35
3 Charles De Ketelaere (AC Milan) Ubelgiji ⚽ 31 🎾 27
4 Aster Vranckx (AC Milan) Ubelgiji / Jamuhuri ya Muungano wa Congo ⚽ 23

*Nafasi ya 1-10 watashinda zawadi zilizotajwa kwenye jedwali ya zawadi za juu.
Watakao ongoza kwenye kila soko pia watajishindia zawadi,
bila kujali wapo nafasi ya ngapi kwenye ubao wa jumla wa washindi.

ANAEONGOZA NCHINI HADI SASA NI:

Leaderboard
Nafasi* Jina Nchi Alama
1 Hervé Tang (Play Zone) Cameroon ⚽ 54
2 Charles Han Senegal ⚽ 53
3 Kwitonda Pierre Rwanda ⚽ 52
4 Chatonda Gondwe Malawi ⚽ 52
5 Mouha Senegal ⚽ 50
6 Zakaria Hashimu Tanzania ⚽ 49
7 Thousand Hills Rwanda ⚽ 49
8 Iradukunda Tanzania ⚽ 48
9 Xophylinda Tanzania ⚽ 48
10 Kirenga Issac Rwanda ⚽ 48
11 Richard Khal Chaba Rwanda ⚽ 47
12 Manzi Rwanda ⚽ 47
13 Henry Manjolo Malawi ⚽ 47
14 Rikanho Mihin Côte d’Ivoire ⚽ 47
15 Medio Erick RDC 🎾 47
16 Arthur Tesha Brian Tanzania ⚽ 46
17 Roland Le Nwaar Tchad ⚽ 46
18 Stephane Eloka Cameroon ⚽ 46
19 Shaban Ake Thierry Zapatha Rwanda ⚽ 45
20 Umwizerwa Rwanda ⚽ 44
21 Innocent Monzato Pique Congo Brazzaville ⚽ 44
22 Bwaji Deo Tanzania ⚽ 43
23 Ishimwee Jouissance Amitie Rwanda ⚽ 43
24 Franck Mamga (Play Zone) Cameroon ⚽ 43
25 Jean Marc Bitra Côte d’Ivoire ⚽ 43
26 Christian (Play Zone) Cameroon ⚽ 42
27 William Maxim (Play Zone) Cameroon ⚽ 42
28 Cecil Chiila Zambia ⚽ 42
29 Uwapa Rwanda ⚽ 41
30 World Aventure Rwanda ⚽ 41

Muda wa Promosheni

Promotion Period
 • Hii #PremierSkillsChallenge & Ubao wa washindi ni kuanzia Jumatatu tarehe 31 Oktoba 00:00 UTC hadi Jumatatu tarehe 28 Novemba 23:59 UTC.
 • Video zote zitakazo wasilishwa nje ya muda wa mashindano hazitohesabika.
 • Washindi & matokeo ya mwisho ya ubao wa washindi yatatangazwa siku ya Jumanne tarehe 29 Novemba.
 • Ushiriki wako utakua umepokelewa kama utaonekana na kuthibitishwa na mtu wa timu yetu, utapokea meseji ya kuutambua ushiriki wako kua umefanikiwa na tumeupokea ndani ya muda wa mashindano.
Ubao wa Washindi & Zawadi
 • Utapata alama 1 kwa kila dana dana iliyokamilika (Viungo vingine vya mwili pia vinaruhusiwa).
 • Aina au muundo halisi wa Simu janja hauwezi kuhakikishiwa na itategemea upatikanaji wake.
 • Zawadi ya kwanza itaenda kwa mshindi wa kwanza wa jumla atakaeongoza ubao wa washindi
 • Nafasi ya 2-10 na mshindi wa kila nchi pia atapatikana kulingana na nafasi walizopo kwenye ubao wa washindi.
 • Kwa matakwa yetu, pia tunaweza kutoa zawadi kwa wafuatao; (Alama za ziada kwa watakao onesha ubunifu, alama za ziada kwa sehemu ngumu/changamoto + alama za ziada kwa watakaokua na views & engagement kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii).
 • Kama kuna watu watafungana, tunaweza kuwasiliana na wote ili washiriki tena Fainali, kama haitowezekana au mmoja wapo asipopatikana – zawadi itagawanyishwa kwa wote wawili au yote itakabidhiwa kwa anaepatikana.
 • Ubao wa washindi utakua updated kila siku na washindi ambao wame rekodi alama nyingi zaidi na wamefanikiwa ku share ushiriki wao kwenye mitandao yetu ya kijamii.
 • Washindi watatangazwa siku ya Jumanne tarehe 29 Novemba.
 • Ubao wa mwisho wa washindi wenye washindi 10 wa kwanza pamoja na wanaoongoza kwenye kila nchi utachapishwa Jumanne tarehe 29 Novemba.
 • Matokeo yatahusisha pia waliotembelea maduka yetu, mawakala, au Fanzones – kama watakuepo.
 • Aina ya simu janja itakayotolewa, itategemea na upatikanaji wake.
 • Uchaguzi wa jezi na sahihi utafanyika baada ya mshindi kufanya machaguo yake yote.
 • Zawadi zote zitatolewa kwenye makao makuu ya ofisi zetu; Tafadhali hakikisha unapatikana kwenye mitandao ya kijamii ili kukupa taarifa zaidi kuhusu kupata zawadi yako.
 • Kwa kuwasilisha ushiriki wako – unaturuhusu sisi ku repost, reshare na kutumia video yako kwenye matangazo yetu, na pia video yako inaweza kuonekana kwenye kurasa rasmi za matangazo ya AC Milan.
 • Unaweza kushiriki mara nyingi uwezavyo kupitia kurasa zetu zote na sehemu nyingine tulizotaja kama utawasilisha kwa usahihi, lakini matokeo yatakayoingia kwenye ubao wa washindi ni moja tu itakayopata zawadi (Yenye alama za juu zaidi).
 • Tuna maamuzi ya mwisho kuhusiana na alama za kila mshiriki & ushiriki.
 • Kama zawadi hazitofatwa au hakuna atakaejitokeza kuzichukua, tutafanya uchaguzi mwingine kuhakikisha zawadi hizo zinatolewa.
Jumla
 • Ni lazima uwe na umri wa miaka 18 na zaidi kushiriki & kufuzu kupokea zawadi.
 • Ni lazima uwe unaishi kwenye moja ya nchi zifuatazo: Cameroon, Côte d’Ivoire, Congo Brazzaville, Ghana, Liberia, Malawi, Mali, RDC, Rwanda, Senegal, Tanzania, Tchad, Togo, Zambia.
 • Ni ushiriki uliokua shared na @PremierBetTZ & na hashtag ya #PremierSkillsChallenge pekee ndizo zitahusishwa kwenye ubao wa washindi & zawadi.
 • Ni ushiriki uliokua shared kupitia Facebook, Instagram & Twitter pekee ndio utahusishwa kwenye ubao wa washindi & zawadi.
 • Ushiriki uliofanyika kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ambazo ni private hazitohesabika – Tafadhali hakikisha kurasa zako zipo public ili tuweze kuhakiki ushiriki wako. Unaweza kututumia ushiriki wako kupitia Direct Message lakini ni lazima iwe na hashtag #PremierSkillsChallenge.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea zawadi zilizochaguliwa.
 • Huitaji kuwa na akaunti ya Premier Bet ili kushiriki kwenye sehemu yoyote ya hii challenge au kupata zawadi.
 • Utumiaji wote wa wachezaji wa AC Milan, logos, au trademarks umeruhusiwa na AC Milan S.p.A.
 • Vifaa vyote vya michezo kutoka AC Milan ni rasmi na vimepitishwa na klabu hio.
 • Vigezo & Masharti Kuzingatiwa.