Messi Goals Giveaway Messi Goals Giveaway

Weka bashiri kwenye mechi za Ligi ya Jupiler Pro, machaguo 3+, na pata rejesho la dau yako kama chaguo moja litapoteza!

Step 1
Nenda kwenye Mpira wa Miguu > Belgium > Pro League
Football
Step 2
Weka mechi 3+ kwenye Mkeka wako
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure kama chaguo 1 litakuangusha!
Bonus

Bima ya mkekwa kwenye mechi za Ligi ya Belgium Pro inakupa fursa ya kubashiri kwenye mechi za ufunguzi za mwisho wa wiki huku ukiwa na uhakika wa kupata Bashiri ya Bure. Weka bashiri ikiwa na machaguo 3 au zaidi kutoka kwenye mechi za Ligi ya Jupiler Pro, na ikiwa chaguo moja tu litakukwamisha, tutarudisha kiasi cha dau lako kama Bashiri ya Bure hadi TSH 10,000!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Machaguo ya mechi za Ligi ya Jupiler Pro angalau: 3
 • Alama kwa kila chaguo angalau: 1.20

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue:1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni inaanza tarehe 28/07/23 09:00 na itaisha Jumatatu, 31/07/23, 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kwenye hii promosheni. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima zijumuishe machaguo angalau matatu kutoka kwenye mechi za Ligi ya Jupiler Pro zinazocheza kati ya 28/07/23 – 30/07/23.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama zisizopungua 1.20 kwa kila chaguo.
 • Ni bashiri zilizo na chaguo lililopoteza pekee ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri yoyote iliyokua na machaguo ambayo yapo Cancelled au Voided hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofanyiwa Cash out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri iliyofuzu inatakiwa kukamilika kabla ya Jumatatu, 31/07/23, 23:59, ili kufuzu kupata bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu kwa kila mchezaji kwenye ofa hii ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa wachezaji waliofuzu wakati bashiri zinapokamilika au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la kiufundi.
 • Utapata bashiri ya bure kulingana na bashiri ya kwanza ya kufuzu itakayokamilika ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakua ni 100% ya dau uliloliweka hadi kima cha juu cha TSH 10,000.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni zinazoendelea wakati huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.