Rugby WC Free Bet Rugby WC Free Bet

Weka bashiri kwenye mechi za Rugby World Cup 2023 na upate bashiri ya bure sawa sawa na dau lako!

Chagua kujiunga
Step 1
Nenda kwenye Rugby Union
Football
Step 2
Weka bashiri kwenye mechi za Rugby World Cup
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure!
Bonus
Chagua kujiunga

Weka bashiri kwenye mechi yoyote ya Rugby World Cup 2023 yenye alama zisizopungua 1.50 na utapata bashiri ya bure sawa sawa kwa 100% na dau lako hadi 5,000 TSH.

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo la mechi yoyote ya Rugby World Cup 2023.
 • Bashiri ni lazima zikamilike ndani ya muda wa promosheni.
 • Alama za jumla si chini ya: 1.50

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla si chini ya: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana kuanzia tarehe 08/09/23 12:00 CET hadi 10/09/23 23:59 CET.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye chaguo la mechi za Rugby World Cup 2023 ndizo zitafuzu.
 • Bashiri ni lazima zikamilike ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri zilizokua Cashed out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri hewa/Voided, zilizokua Cancelled hazitofuzu.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Kiasi cha bashiri ya bure itakayotolewa kitakua ni sawa sawa kwa 100% na kiasi cha dau la bashiri iliyofuzu, hadi 5,000 TSH.
 • Zawadi ya bashiri ya bure itatolewa kutokana na bashiri ya kwanza kukamilika yenye chaguo lolote la mechi za Rugby World Cup 2023.
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu, kwa kila mchezaji.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye Mechi yoyote.
 • Bashiri ya bure ni lazima iwekwe kwenye bashiri yenye alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.