Spaceman Spaceman

Mchezo wa Spaceman umefika na unaweza kujishindia sehemu ya zawadi ya jumla ya 625,000 TSH kwenye Mashindano yetu ya Spaceman Tournament! Mizunguko yote ya ushindi inapata alama kwenye ubao wa washindi, kukiwa na washindi 20 wa kwanza watakaojishindia zawadi ya pesa taslimu!

Step 1
Pata alama kwenye vizidishi vikubwa na ushindi mfululizo
Deposit
Step 1
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Leaderboard

Mchezo wa Spaceman umefika na unaweza kujishindia sehemu ya zawadi ya jumla ya 625,000 TSH kwenye Mashindano yetu ya Spaceman/ Spaceman Tournament! Tazama vizidishi vinavyoongezeka na cashout kujishindia alama na upande juu kwenye ubao wa washindi. Washindi 20 wa kwanza watajishindia zawadi ya pesa taslimu, na zawadi ya mshindi wa kwanza itakua ni 175,000 TSH!

Mashindano ya Spaceman yataanza kuanzia Ijumaa tarehe 17 Machi hadi Alhamisi tarehe 23 Machi 2023.

Zawadi:

Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 175,000 TSH 175,000 TSH
2 2 100,000 TSH 100,000 TSH
3 3 50,000 TSH 50,000 TSH
4 10 25,000 TSH 175,000 TSH
11 20 12,500 TSH 125,000 TSH
JUMLA 625,000 TSH

Ili kupata alama na kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi ni rahisi cheza Spaceman kwa dau lolote la pesa halisi. Alama zinatokana na vizidishi vya ushindi, tazama ubao wa alama za vizidishi kwenye vigezo na masharti. Nyongeza ni kwamba alama zitakua zinahesabiwa unapopata ushindi mara mbili mfululizo, haijalishi ni ushindi mkubwa kiasi gani. Kadri unavyochelewa ku-cashout ndivyo unavyozidi kupata alama za juu zaidi na kujishindia zawadi za kubwa zaidi!

Spaceman:

Je unaweza kusubiri ushindi mkubwa zaidi bila ku cash out kwenye mchezo huu maarufu wa Virtual Crash? Dhumuni la mcheo ni ku cashout kabla spaceman’s haija crash au kutua. Wachezaji wenye ujasiri wanaoweza kuzuia hisia zao wanaweza kujishinida kizidishi kikubwa ziaid cha hadi 5,000x, lakini pia unaweza ku cashout muda wowote, pia kuna kipengele cha kipekee cha cashout kwa 50%. Ikiwa na matokeo ya haraka zaidi, chat na marafiki na uone nani mwingine anashinda kwenye mchezo huu wa vizidishi, unaweza kwenda kwa ujasiri ambapo hakuna mchezo mwingine wa Virtual Crash umewahi kwenda!

Muda wa Promosheni
  Promosheni ya Spaceman Tournament itaanza Ijumaa ya tarehe 17 Machi 00:01 UTC hadi Alhamisi tarehe 23 Machi 23:59 UTC 2023.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zitakazofuzu ni lazima ziwekwe kwenye mchezo wa Spaceman kutoka Pragmatic Play.
 • Hakuna kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu.
 • H Ili kushiriki kwenye mashindano utahitajika kucheza mchezo wa spaceman ndani ya ndani ya muda wa promosheni. Ni bashiri halisi pekee zilizowekwa kwenye mchezo ndizo zitahesabika kwenye alama za ubao wa washindi.
 • HWachezaji wanaoshiriki wataingia moja kwa moja kwenye promosheni kwa kuweka bashiri kwenye mchezo.
 • HNi bashiri za pesa halisi pekee ndizo zitapata alama (bashiri za pesa za bonasi hazitohesabika).
Ubao wa Washindi
 • Kutakua na ubao mmoja wa washindi ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji watajilimbikizia alama za kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia zawadi za pesa taslimu.
 • Mchezaji mwenye alama nyingi zaidi za jumla hadi mwisho wa promosheni atapata zawadi ya kwanza, wa pili atapata ya pili na kuendelea.
 • Alama za Ubao wa washindi zitakua zinabadilika katika muda halisi.
 • The player with the most cumulative points at the end of the promotional period will win the first prize, second will win second, and so on.
 • The Leaderboard points will be updated in real time.
Ubao wa Alama za Vizidishi
 • Alama zinatokana na vizidishi vya ushindi, tazama jedwali hapo chini kwa taarifa zaidi:
Kizidishi ulichopata Alama ulizopewa
2-5 10
6-10 15
10-20 25
21-50 50
51-100 75
101-250 175
251-500 375
501-1000 750
1001-2500 1750
2501-5000 3500
Ushindi mfululizo (ushindi wowote mkubwa kuliko 1x):
Idadi ya ushindi mfululizo uliopata Alama ulizopewa
2-5 3
6-10 8
11-15 12
16-25 20
Zawadi za Ubao wa Washindi
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya mwisho ya Ubao wa washindi.
 • Washindi 20 wa kwanza kwenye ubao wa washidi wote watapata zawadi za pesa taslimu. Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering).
 • Zawadi ni kama zifuatazo:
 • Kuanzia nafasi ya Hadi ya nafasi ya Zawadi Jumla
  1 1 175,000 TSH 175,000 TSH
  2 2 100,000 TSH 100,000 TSH
  3 3 50,000 TSH 50,000 TSH
  4 10 25,000 TSH 175,000 TSH
  11 20 12,500 TSH 125,000 TSH
  JUMLA 625,000 TSH
Jumla
 • Hii ni promosheni ya mtandao kwenye tovuti zote za Premier Vegas zinazoshiriki.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.