Odds Boost Odds Boost

Endelea kutupia jicho kwenye ofa ya Premier Bet ya Risk Free Boosts. Tunakupatia Odds Boosts za bila kupoteza. Kama bashiri yako itashinda, tutakulipa! Kama utapoteza, tutakupa rejesho la pesa, hakuna kupoteza!

Weka bashiri ya hadi 500 TZS ili kupata ofa yetu ya Risk Free Boosts sasa

Step 2

Nenda kwenye ukurasa wa Risk Free

Bonus
Step 2

Weka bashiri yako

Bonus
Step 3

Shinda au Pata rejesho la pesa… hakuna kupoteza!
Bonus

Ukiona Risk Free Boost kwenye tovuti ya Premier Bet, weka bashiri yako haraka!

Kama boost itashinda, tutakulipa! Kama itapoteza, tutakupa rejesho la pesa yako ndani ya masaa 48!

Kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mchezaji kwenye Risk Free Boost ni 500 TZS

Vigezo & Masharti:
 • Kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mchezaji kwenye Risk Free Boost ni 500 TZS
 • Kama mchezaji, kwa bahati mbaya, akaweka bashiri ya kiasi kikubwa kuliko kima cha juu cha dau kwenye Risk Free Boost, ambacho kimetajwa kwenye hivi vigezo na masharti na bashiri ikashinda, tuna haki ya kulipa kiwango sawa na kile kilichotokana na kima cha juu kabisa cha dau kilichotajwa kwenye Risk Free Boost. Kama bashiri ikipoteza, kiasi chote cha dau kitarudishwa.
 • Bashiri zote zilizopoteza zitarudishwa ndani ya masaa 48, isipokua kama kutakua na tatizo la kiufundi ambapo tutajitahidi kurudisha pesa zote kwa haraka iwezekanavyo.
 • · Ni bashiri moja moja tu ndizo zitahesabika kwenye hii promosheni.
 • Bashiri za mifumo/System bets hazihesabiki kwenye hii promosheni na hazitopata ofa ya rejesho la pesa kama zitapoteza.
 • Risk Free Boosts haziwezi kujumlishwa na machaguo mengine yoyote kua sehemu ya bashiri ya machaguo ya Combi au Multiway. Kama kwa bahati mbaya, bashiri ya Risk Free Boost ikijumlishwa na machaguo mengine, bashiri hio itabatilishwa.
 • Bashiri zilizokua Cashed-out hazitohesabika kwenye hii promosheni.
 • Promosheni hii inapatikana kwa mchezaji mmoja kwenye kila akaunti moja tu. Majaribio yoyote ya kuweka bashiri kwenye akaunti zaidi ya moja hayatakubalika na inaweza kusababisha akaunti zikafungwa na pesa zote zilizokuepo kufungiwa. .
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.