

Weka bashiri ya Bet 2,000 TSH au zaidi kwenye mechi za UEFA Champions League siku ya tarehe 14 au 15 Machi na utapata bonasi ya bashiri ya bure ya 1,000 TSH siku inayofuata!

Nenda kwenye Mpira wa Miguu

Weka bashiri kwenye mechi za UEFA Champions League

Pata bashiri ya bure siku inayofuata!
Weka bashiri yenye mechi ya UEFA Champions League kati ya tarehe 14 Machi au 15 Machi na utapata Bonasi ya Bure ya 1,000 TSH siku inayofuata!
Bashiri ni lazima ziwe na dau lisilopungua 2,000 TSH na alama zisizopungua 1.50 ili kufuzu.
Jinsi ya kutumia Bonasi:
- Machaguo kwenye mkeka yasipungue: 3
- Alama kwa kila chaguo zisipungue: 1.50
- Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika kwenye hii promosheni.
- Bonasi zita expire baada ya siku 7
Bashiri zitakazofuzu
- Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja la mechi ya UEFA Champions League kati ya tarehe 14/03/23 au 15/03/23 ili kufuzu.
- Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau X ili kufuzu.
- Bashiri zilizokua cashed-out hazitohusika kwenye promosheni hii.
- Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bonasi ya Michezo
- Kima cha juu kabisa cha idadi za bonasi ambazo mchezaji anaweza kupata ni bonasi moja.
- Kiasi chote cha pesa ya bonasi utakachopewa ni lazima kitumike angalau mara moja kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
- Bashiri zitakazowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na machaguo yasiyopungua matatu ili bashiri ihesabike kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/ wagering requirements.
- Machaguo yote ndani ya mkeka ni lazima yawe na alama zisizopungua 1.50 ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
- Kima cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye ushindi ni 25x ya kiasi cha bonasi ulichokipata.
- Bonasi yako ita expire baada ya siku saba.
- Majaribio yoyote utakayoyafanya kwa kuweka bashiri kwenye masoko mengi yanayomaliza machaguo yote yatapelekea kutokulipwa bonasi na itapelekea kuzuiwa kupata bonasi zozote hata mbeleni.
Jumla
- Tuna haki ya kubatilisha ushindi, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
- Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
- Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
- Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
- Vigezo na Masharti kuzingatiwa.