Mega Bonus Mega Bonus

Ukiwa na Bima ya mkeka wa UEFA hakuna wasiwasi wa bahati mbaya! Usikubali kuangushwa na timu na timu yenye alama ndogo kwenye mkeka wako tena! Kama timu pendwa (yenye alama ndogo) kwenye mkeka wako itachana mkeka wako na ndio chaguo pekee lililopoteza tutarudisha dau lako hadi 50,000 TSH!

Step 1
Bet on UEFA
Football
Step 2
Favourite let you down?
Bonus
Step 3
Receive your refund!
Bonus

Bashiri zote ni lazima ziwe na machaguo ya mechi za UEFA Champions League, UEFA Europa League au UEFA Europa Conference League pekee ili kufuzu. Kima cha chini cha dau: 2,000 TSH Idadi ya chini ya machaguo: 6 Hakuna kima cha chini cha alama!

Rejesho la Pesa litakua kulingana na kiasi kama ifuatavyo:

 • Dau 2,000 – 3,999 TSH = Rejesho la pesa: 2,000 TSH
 • Dau 4,000 – 9,999 TSH = Rejesho la pesa: 4,000 TSH
 • Dau 10,000 – 19,999 TSH = Rejesho la pesa: 10,000 TSH
 • Dau 20,000 – 39,999 TSH = Rejesho la pesa: 20,000 TSH
 • Dau 40,000 – 49,999 TSH = Rejesho la pesa: 40,000 TSH
 • Dau 50,000 TSH+ = Rejesho la pesa: 50,000 TSH!
 • Marejesho yote ya pesa yatafanyika siku moja baada ya bashiri zote kukamilika kabisa na yatakua kama pesa ya bonasi ikiwa na masharti ya kuzungusha mara 1 (wagering requirement).

  Salio lolote litakalorudishwa kama pesa litakadiriwa na kiasi cha karibu kinachofuata, mf. Kama dau lako ni 20,000 TSH utapokea bonasi ya 12,000 TSH.

  Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla si chini ya 1.50

  Bonasi ni lazima itumike ndani ya siku 7 kuanzia siku uliyopokea la sivyo ita expire.

  Kima cha juu kabisa cha pesa unachoweza kukivuna kutoka kwenye pesa ya bonasi ni mara 100 ya pesa ya bonasi uliyopokea.

  Soko ambalo halitohusika kwenye hii promosheni: Draw No Bet Kipindi cha 1 – Draw No Bet Kipindi cha 2 – Draw No Bet Nyumbani No Bet Ugenini No Bet

  Bashiri Zinazofuzu
  • Bashiri zote ni lazima ziwe na mechi za UEFA Champions League, UEFA Europa League au UEFA Europa Conference League pekee ili kufuzu kwenye hii promosheni.
  • Bashiri za kabla ya mechi, mubashara na mchanganyiko zote zinakubalika kwenye hii promosheni.
  • Ni bashiri za multiway pekee ndizo zitakazofuzu kwenye hii promosheni.
  • Bashiri zilizofanyiwa Cash – out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
  • Bashiri zote ni lazima ziwe na machaguo yasiyopungua 6, bashiri zozote ambazo zitaghairishwa au kua void hazihesabiki kama chaguo.
  • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 2,400 TSH au zaidi ili kufuzu.
  • Bashiri zitakazokua na masoko ambayo yametengwa kwenye hii promosheni hazitofuzu kwenye promosheni hii.
  • Bonasi zitalipwa kwenye chaguo ambalo lina alama ndogo Zaidi kwenye mkeka na likapoteza na machaguo mengine yote yakashinda kwenye huo mkeka.
  • Kama kutakua na machaguo Zaidi ya moja yenye alam ndogo Zaidi na yote yakapoteza basi bima ya mkeka itahesabika kwenye chaguo moja lenye alama chache Zaidi kwenye mkeka.
  • Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ulichopewa ni lazima kizungushwa angalau mara moja na bashiri zote ni lazima ziwe na alama angalau 1.50 au zaidi.
  • Kiasi chochote cha bonasi ulichopewa na hakijatumika ndani ya siku 7 kita expire na hakitoweza kutumika tena na mchezaji.
  • Kima cha juu kabisa cha pesa kinachoweza kubadilishwa kua pesa taslimu kutoka kwenye pesa ya bonasi ni mara 100 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
  General
  • Tuna haki ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
  • Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa busara tukamtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.