US Open Free Bet US Open Free Bet

Weka bashiri yenye mechi za US Open 2023 na ushinde zaidi! Ongeza chaguo la mechi ya US Open kwenye mkeka wako na utapata bashiri ya bure kwa kila bashiri itakayoshinda!

Chagua kujiunga
Step 1
Nenda kwenye US Open
Football
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 3 yenye alama 5.00+
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure kama utashinda!
Bonus
Chagua kujiunga

Weka bashiri yenye chaguo la mechi yoyote ya US Open 2023 na ukifuzu vigezo vya bashiri iliyofuzu kama vilivyo orodheshwa hapo chini utapata bashiri ya bure ya 5,000 TSH kila bashiri yako itakaposhinda.

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo 1 la mechi za US Open 2023.
 • Machaguo angalau: 3
 • Dau la angalau: 5,000 TSH
 • Alama za jumla zisipungue: 5.00
 • Machaguo yako yote ya kwenye mkeka ni lazima yamilike na kushinda ili kufuzu kupata Bashiri ya Bure.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama angalau: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana kuanzia tarehe 27/08/23 14:00 hadi 10/09/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima iwe na chaguo angalau moja la mechi za Tennis US Open 2023 tournament.
 • Bashiri ni lazima iwe na machaguo angalau 3.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 5,000 TSH.
 • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 5.00.
 • Ni bashiri zilizoshinda pekee ambapo machaguo yote kwenye mkeka yameshinda ndizo zitafuzu kupata Bashiri ya bure; bashiri zenye machaguo yaliyopoteza, yaliyokuwa Cancelled, au Voided hazitofuzu.
 • Bashiri zilizokua Cashed out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri iliyofuzu ni lazima ikamilike kati ya tarehe 27/08/23 14:00 – 10/09/23 23:59 ili kufuzu kupata Bashiri ya Bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Idadi ya juu ya bashiri za bure zinazoweza kutolewa kwa kila mchezaji ni 10 tu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wachezaji waliofuzu mara baada ya kukamilika kwa bashiri iliyofuzu au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la ufundi.
 • Utapata bashiri ya bure kutokana na bashiri 10 za kwanza zilizofuzu ambazo zitakamilika ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakua ni 5,000 TSH.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.