Soccer Hero Soccer Hero

Unamisi uwepo wa Ligi ya Uingereza (Premier League)? Bado unaweza kushiriki kwenye mechi za kila dakika 2 na mchezo wetu bunifu wa mpira wa miguu wa V-League. Cheza sasa hadi kufikia Jumatatu ya tarehe 18 Oktoba, tutawazawadia wachezaji 15 walio na mikeka iliyoshinda ikiwa na alama kubwa Zaidi sehemu ya 23,500,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu!

BASHIRI SASA
Step 1
Nenda kwenye V-League
Sports
Step 2
Weka bashiri
Bonus
Step 3
Shinda zawadi ya Pesa taslimu!
Money Bag
BASHIRI SASA

Ubao wa washindi wa sasa wa Shujaa wa V-League:

Leaderboard
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 4*****0 2153.79 11,750,000 TSH
2 3*****6 2114.72 2,350,000 TSH
3 3*****0 1190.09 2,350,000 TSH
4 3*****0 1130.41 2,350,000 TSH
5 3*****1 1128.28 2,350,000 TSH
6 3*****4 993.72 235,000 TSH
7 3*****8 899.9 235,000 TSH
8 3*****6 785.26 235,000 TSH
9 5*****6 762.33 235,000 TSH
10 3*****7 713.89 235,000 TSH
11 5*****1 704.03 235,000 TSH
12 3*****0 682.52 235,000 TSH
13 2*****2 647.86 235,000 TSH
14 4*****9 570.18 235,000 TSH
15 3*****1 522.46 235,000 TSH
MUDA:SIKU: 13
MWISHO:
ZAWADI YA WASHINDI:K170,000

Mara ya mwisho kubadili ubao wa washindi : 19/10/2021

Je utakua shujaa wetu wa V-League na kupata nafasi ya kujishindia sehemu ya 230,000,000 TSH pesa taslimu? Ili kupata nafasi ya kushinda zawadi ya pesa taslimu, ni rahisi, weka bashiri zako kwenye mchezo wa V-League, ambapo mechi za Ligi ya Uingereza (Premier League) zinacheza kila baada ya dakika 3. Wachezaji 15 wa kwanza wenye mikeka iliyoshinda na alama kubwa Zaidi wataingia kwenye ubao wa washindi wa V-League kwa nafasi ya kunyakua moja ya zawadi za pesa taslimu!

Challenge ya shujaa wa V-League itaanza kuanzia Jumanne tarehe 5 hadi Jumatatu tarehe 18th Oktoba

Hakuna kima cha chini cha dau, alama wala machaguo – ni rahisi, weka bashiri yako na hakikisha inashinda ikiwa na alama kubwa ili kupata nafasi ya kushinda!

*Ubao wa ushindi wa Shujaa wa V-League utakua unabadilika kila siku

Muda wa Promosheni
 • Challenge ya Shujaa wa V-League itaanza kuanzia Jumanne tarehe 5 Oktoba 01:00 AM hadi Jumatatu tarehe 18 Oktoba 00:59.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zilizowekwa kwenye mchezo bunifu wa V-League ndizo zitakazofuzu. Hakuna kima cha chini cha dau, alama wala machaguo yanayohitajika ili kufuzu.
 • Ni bashiri zilizoshinda pekee ndizo zitakazofuzu.
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Zawadi ya Shujaa wa V-League
 • Kutakua na zawadi 15 za pesa taslimu za Shujaa wa V-League kwa wachezaji wenye mikeka iliyoshinda kwa alama kubwa Zaidi ndani ya muda wote wa promosheni. Zawadi za pesa taslimu zitatolewa kama ifuatavyo:
  • Nafasi ya kwanza 1 = 11,750,000 TSH
  • Nafasi ya 2 hadi ya 5 = 2,350,000 TSH
  • Nafasi ya 6 hadi 15 = 235,000 TSH
 • Kila mchezaji anaweza kushinda zawadi moja tu ya pesa taslimu.
 • Kama kutakua na mchezaji Zaidi ya mmoja aliefuzu kupokea zawadi (mfano. Wakiwa na alama sare), mchezaji alieweka bashiri yake wa kwanza ndie atakaeshinda zawadi.
 • Ubao wa washindi wa Shujaa wa V-League utakua unabadilika kila siku ukiwa na wachezaji ambao wameshinda mkeka wenye alama kubwa Zaidi kuanzia mwanzo wa promosheni hadi tarehe husika. Ubao wa mwisho wa washindi wenye mshindi utawekwa siku ya Jumanne tarehe 19 Oktoba.
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 kutoka kwenye matokeo ya mwisho ya uhakika ya kwenye ubao wa washindi wa Shujaa wa V-League.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada, na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.