Soccer Hero Soccer Hero

Weka bashiri zako kwenye Ligi Kuu kila baada ya dakika 2 kwenye V-League Mchezo bunifu wa mpira wa miguu. Tuna wiki 4 za mashindano ya kushindania ushindi wa sehemu ya 3,290,000 TSH. Utapata alama kwa kila bashiri ya ushindi kupanda kwenye ubao wa washindi wenye wachezaji 50 watakaojishindia zawadi ya pesa taslimu kila wiki!

BASHIRI SASA
Step 1
Nenda kwenye V-League
Sports
Step 2
Weka bashiri
Bonus
Step 3
Shinda zawadi ya Pesa taslimu!
Money Bag
BASHIRI SASA

Ubao wa washindi wa wiki wa V-League wa sasa

Leaderboard
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 2*****9 694 1,175,000 TSH
2 3*****9 467 646,250 TSH
3 3*****9 421 352,500 TSH
4 3*****0 362 293,750 TSH
5 3*****4 263 235,000 TSH
MUDA:SIKU: 7
MWISHO:
ZAWADI YA WASHINDI:587,500 TSH

Mara ya mwisho kubadili ubao wa washindi : 02/12/2021

Je utakua shujaa wetu wa V-League na kupata nafasi ya kujishindia sehemu ya 3,290,000 TSH pesa taslimu? Tuna mashindano manne ambayo unaweza kushinda sehemu ya 587,500 TSH kila wiki. Ili kupata nafasi ya kushinda zawadi ya pesa taslimu, ni rahisi, weka bashiri zako kwenye mchezo wa V-League, ambapo mechi za Ligi ya Uingereza (Premier League) zinacheza kila baada ya dakika 2. Wachezaji 5 wa kwanza wenye alama zilizojilimbikiza za juu zaidi kutoka kwenye bashiri za ushindi ndani ya wiki wataingia kwenye ubao wa washindi wa V-League kwa nafasi ya kunyakua moja ya zawadi za pesa taslimu!

Mashindano ya kila wiki ya V-League yataanza kuanzia Jumatano tarehe 3 hadi Jumanne tarehe 30 Novemba

Hakuna kima cha chini cha dau, alama wala machaguo – ni rahisi weka bashiri zako na utapata alama kulingana na alama zilizopo kwenye bashiri yako ya ushindi, kwa mfano kama utaweka bashiri ya 2,350 TSH na ukashinda 23,500 TSH utapata alama 10. Alama kutoka kwenye kila bashiri ya ushindi zitajumlishwa kwenye ubao wa washindi, unavyopata alama nyingi zaidi, ndivyo nafasi yako ya ushindi inavyozidi kuongezeka.

* Ubao wa washindi wa kila wiki wa V-League utakua unabadilika kila siku

Muda wa Promosheni
 • Mashindano ya kila wiki ya V-League yataanza kuanzia Jumatano tarehe 3 Novemba 02:00 hadi Jumanne tarehe 30 Novemba 01:59.
 • Kila wiki ya promosheni itaanza kuanzia:
  • Jumatano tarehe 3 Novemba 02:00 hadi Jumanne tarehe 9th Novemba 01:59
  • Jumatano tarehe 10 Novemba 02:00 hadi Jumanne tarehe 16 Novemba 01:59
  • Jumatano tarehe 17 Novemba 02:00 hadi Jumanne tarehe 23 Novemba 01:59
  • Jumatano tarehe 24 Novemba 02:00 hadi Jumanne tarehe 30 Novemba 01:59
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zilizowekwa kwenye mchezo bunifu wa V-League ndizo zitakazofuzu. Hakuna kima cha chini cha dau, alama wala machaguo yanayohitajika ili kufuzu.
 • Ni bashiri zilizoshinda pekee ndizo zitakazofuzu.
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Zawadi ya Shujaa wa V-League
 • Kutakua na zawadi 50za Mashindano ya V-League za pesa taslimu kila wiki kwa wateja watakao kua na alama zilizojilimbikiza kubwa zaidi kutoka kwenye Bashiri za ushindi walizoweka ndani ya wiki ya promosheni. Zawadi za pesa taslimu zitatolewa kama tulivyoelezea kwenye ubao wa ushindi hapo juu.
 • Kila mchezaji anaweza kushinda zawadi moja tu ya pesa taslimu.
 • Kama kutakua na mchezaji Zaidi ya mmoja aliefuzu kupokea zawadi (mfano. Wakiwa na alama sare), mchezaji alieweka bashiri yake wa kwanza ndie atakaeshinda zawadi.
 • Ubao wa washindi wa Wiki wa Shujaa wa V-League utakua unabadilika kila siku ukiwa na wachezaji ambao wameshinda mkeka wenye alama kubwa Zaidi kuanzia mwanzo wa promosheni hadi tarehe husika. Ubao wa mwisho wa washindi wenye mshindi utawekwa Jumatano inayofuata, na ubao wa mwisho utawekwa siku ya Jumatano tarehe 1 Disemba.
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 kutoka kwenye matokeo ya mwisho ya uhakika ya kwenye Ubao wa washindi wa wiki wa V-League.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada, na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.