Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Ikiwa na wiki 8 za kusherehekea, Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 35,250,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, mashindano, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Zungusha reels
Deposit
Step 3
Shinda zawadi za pesa taslimu!
Leaderboard
PLAY NOW

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Festival itakua kwa wiki 8, ikiwa na njia mpya za kusherehekea na ushindi mpya kila wiki! Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 35,250,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, mashindano, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

Ofa ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai.

Hii ni wiki ya Cash Frenzy, ikiwa na zawadi za bila mpangilio zinazotolewa kadri unavyozungusha gurudumu! Unaweza kujishindia sehemu ya 2,350,000 TSH kama cash drops kwa kucheza tu kwenye moja ya michezo ya slots kutoka Fazi, ikiwa na zawadi 200 za cash drops ya 11,750 TSH kushindaniwa! Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote (hakuna kima cha chini cha dau) kwenye moja ya michezo au yote 10 kwa pamoja ya Fazi iliyochaguliwa hapo chini kwa nafasi ya kushinda zawadi za pesa taslimu:

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai 23:59 CET.
  • Wiki za promosheni zitakua kama ifuatavyo:
    • Wiki ya 1: Jumatatu tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 12 Juni 23:59 CET
    • Wiki ya 2: Jumatatu tarehe 13 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 19 Juni 23:59 CET
    • Wiki ya 3: Jumatatu tarehe 20 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 26 Juni 23:59 CET
    • Wiki ya 4: Jumatatu tarehe 27 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 3 Julai 23:59 CET
    • Wiki ya 5: Jumatatu tarehe 4 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 10 Julai 23:59 CET
    • Wiki ya 6: Jumatatu tarehe 11 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 17 Julai 23:59 CET
    • Wiki ya 7: Jumatatu tarehe 18 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 24 Julai 23:59 CET
    • Wiki ya 8: Jumatatu tarehe 25 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 31 Julai 23:59 CET
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Wiki ya 2 Cash Frenzy
Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo kutoka Fazi: Fruit Island, Wild Hot 40, Very Hot 5, Retro 7 Hot, Twinkling Hot40, Crystal Hot 80, Winning Stars, 40 Wild Clover, Reel Dice, Vegas Dice.
  • Bashiri yoyote itakayofuzu kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa kampeni inaweza kupokea kiasi cha zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
  • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash Drop
  • Kuna zawadi 200 za pesa taslimu za 11,750 zitakazotolewa ndani ya wiki ya 2 ya promosheni.
  • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizotolewa kutokana na pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
  • Zawadi ya ushindi italipwa kulingana na sarafu iliyotumika kuweka dau, kulingana na thamani ya Euro au USD wakati bashiri ya ushindi inawekwa na italipwa kwenye akaunti ya mteja siku ya Jumatatu tarehe 20 Juni.
Jumla
  • Kiasi cha zawadi kimewekwa kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
  • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.