Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Ikiwa na wiki 8 za kusherehekea, Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 36,000,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, mashindano, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Zungusha reels
Deposit
Step 3
Shinda zawadi za pesa taslimu!
Leaderboard
CHEZA SASA

Vegas Holiday Festival ni sherehe ya Ushindi! Festival itakua kwa wiki 8, ikiwa na njia mpya za kusherehekea na ushindi mpya kila wiki! Jiunge kusherehekea na ushinde zaidi ya zawadi 12,000,000 TSH za pesa taslimu na zawadi nyingine. Iwe cash drops, mashindano, rejesho la pesa au ushindi wa surprise kadri unavyocheza, kila mtu atapata kitu!

Ofa ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai.

Hii ni wiki ya ku- Boost Ushindi wako, ambapo tunakupatia zawadi mchanganyiko zenye thamani ya 14,400,000 TSH! Unaweza kujishindia sehemu ya 4,800,000 TSH kama cash drops

Cheza michezo ifuatayo ya Fazi ili kujishindia sehemu ya 9,600,000 TSH :Very Hot 5, Fruits and Stars 40, Crystal Hot 40, Jazzy Fruits, Twinkling Hot 5, Giga Hot 40, Lucky Brilliants, Lolla’s World, Retro 7 Hot, Vegas Dice, Winning Stars

Cheza michezo ifuatayo ya Pragmatic ili kujishindia sehemu ya 4,800,000 TSH: Wolf Gold, Fire Strike, Aztec Gems Deluxe, Buffalo King Megaways, Sweet Bonanza, Gates of Olympus, Fruit Party 2

Shinda sehemu ya 9,600,000 TSH kwenye Mega Flash wins, ambapo utazawadiwa na ushindi wa bila mpangilio wa hadi 1000x ya dau lako! Cheza michezo ifuatayo ya Spinomenal ili kufuzu: Aztec Spell, Book Of Demi Gods II, Majestic King, Book Of Tribes, Nights Of Egypt, Book Of Rebirth, Origins Of Lilith, Book Of The Divine, Book Of Demi Gods III, Goddess Of Lotus

PROMOTION PERIOD
 • Promosheni ya Vegas Holiday Festival itaanza Jumatatu ya tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili ya tarehe 31 Julai 23:59 CET.
 • Wiki za promosheni zitakua kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1: Jumatatu tarehe 6 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 12 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 2: Jumatatu tarehe 13 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 19 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 3: Jumatatu tarehe 20 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 26 Juni 23:59 CET
  • Wiki ya 4: Jumatatu tarehe 27 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 3 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 5: Jumatatu tarehe 4 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 10 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 6: Jumatatu tarehe 11 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 17 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 7: Jumatatu tarehe 18 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 24 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 8: Jumatatu tarehe 25 Julai 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 31 Julai 23:59 CET
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
 • Week 8 Boost your winnings
  Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo:
 • Cash drops:
  • Cheza michezo ifuatayo ya Pragmatic ili kujishindia sehemu ya 4,800,000 TSH: Wolf Gold, Fire Strike, Aztec Gems Deluxe, Buffalo King Megaways, Sweet Bonanza, Gates of Olympus, Fruit Party 2 Mega Flash Wins:
 • Mega Flash Wins:
  • Spinomenal games: Aztec Spell, Book Of Demi Gods II, Majestic King, Book Of Tribes, Nights Of Egypt, Book Of Rebirth, Origins Of Lilith, Book Of The Divine, Book Of Demi Gods III, Goddess Of Lotus
CASH DROP

 • Cash Drops kwenye Michezo ya Pragmatic: Kuna zawadi 256 za cash drop zitakazotolewa ndani ya wiki ya 1 ya promosheni kama ifuatavyo:
Cash Drop Number Total
600,000 TSH 1 600,000 TSH
120,000 TSH 5 600,000 TSH
24,000 TSH 10 1,200,000 TSH
12,000 TSH 200 2,400,000 TSH

 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizotolewa kutokana na pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
 • Zawadi ya ushindi italipwa kulingana na sarafu iliyotumika kuweka dau, kulingana na thamani ya Euro au USD wakati bashiri ya ushindi inawekwa.
  Mega Flash Wins
  • Feature hii itakua active bila mpangilio unapocheza moja ya michezo iliyofuzu kutoka Spinomenal.
  • Chagua kiasi chako cha dau unachopendelea na anza kuzungusha
  • Wakati unacheza mchezo wowote unaoshiriki hapo chini, tafuta alama ya Mega Flash Win ili kupata Mega Flash Win na kuzawadiwa na ushindi wa ziada wa hadi X1000 ya dau lako la ujumla.
  • Kwa mfano: kama utaweka bashiri ya 2,550 TSH na ukapata Mega Flash Win, unaweza kujishindia hadi 2,550,000 TSH kwenye salio lako.
  • Kizidishi cha Mega Flash Win ni kulingana na dau uliloliweka kwenye bashiri yako wakati Mega Flash Win imekua triggered.
  • Ushindi unawekwa moja kwa moja kwenye salio la mchezaji
  • Hakuna ukomo wa idadi ya Mega Flash Wins ambazo unaweza kuzipata.
  • Mega Flash Win unaweza kuipata bila kujali kama tiketi imeshinda au imepoteza.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliofuzu ndizo zitahesabika kwenye hii promosheni (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
  • Kima cha juu cha kizidishi ambacho mchezaji anaweza kukipata kutoka kwenye Mega Flash Win ni mara 1000 ya dau lako.
  • Ushindi kutoka kwenye Mega Flash Win unalipwa kama pesa taslimu na unaweza kutolewa bila masharti yoyote ya ziada.
  Double Chance
  • Bashiri zote za pesa taslimu zilizofuzu ni lazima ziwekwe kwenye mchezo wa Hot36 Roulette na Tiny Roulette pekee.
  • Feature ya Double chance/Re-spin itatolewa bila mpangilio wakati unacheza.
  • Wachezaji watakaopewa hii feature watapata nafasi ya kurudia bashiri yao/spin bure; hii inajumlisha kiasi kile kile cha dau na chaguo lile lile la kama bashiri iliyopita. Wachezaji hawatoweza kubadili, kutoa au kuongeza chaguo kwenye bashiri ya double chance ya bure.
  • Ushindi unaopatikana kutoka kwenye hii feature utalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
  Jumla
  • Kiasi cha zawadi kimewekwa kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
  • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.