Crystal Cash Drops Crystal Cash Drops

Tuna zawadi Bomba ya 9,564,500 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye Cash Drops zetu zilizonona. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo yetu 10 ya slots inayoshiriki na utaingia moja kwa moja kwenye droo yetu ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi zetu 1,000 za pesa taslimu, ikiwa na zawadi ya kwanza ya 1,175,000 TSH

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda moja ya zawadi za Cash Drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

Jaribu michezo yetu Bomba ya Slots wiki hii kujishindia sehemu ya 9,564,500 TSH kama zawadi ya pesa taslimu! Ni rahisi, cheza mchezo mmoja au yote kumi kwa pamoja kutoka kwenye michezo ya Fazi wiki hii, ikiwa na zawadi 1,000 za pesa taslimu, na unaweza kuwa mchezaji mwenye bahati ya kujishindia ya zawadi ya kwanza ya 1,175,000 TSH. Ni rahisi, zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo 10 au yote kwa pamoja ili kuingia kwenye droo.

Ofa ya Cash Drops Zilizonona itaanza kuanzia Jumanne ya tarehe 26 Oktoba hadi Jumatatu ya tarehe 1st Novemba.

Chagua mchezo mmoja au cheza michezo yote ifuatayo iliyoteuliwa ili kuingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio:

Very Hot 5 / Very Hot 40 / Jewels Beat / Heating Ice/ Heating Ice Deluxe / 5 Fluo Hot / Crystal Jewels / Golden Crown / 5 Fluo Dice 5 / Heating Dice /

Zawadi Namba Jumla
1,175,000 TSH 1 1,175,000 TSH
470,000 TSH 1 470,000 TSH
235,000 TSH 3 705,000 TSH
117,500 TSH 10 1,175,000 TSH
23,500 TSH 75 1,762,500 TSH
4,700 TSH 910 4,277,000 TSH
Total: 1 000 Total: 9,564,500 TSH
Muda wa Promosheni
 • Muda wa Promosheni Bomba ya Cash Drops ni kuanzia Jumanne ya tarehe 26 Oktoba 00:00 hadi Jumatatu ya tarehe 1 Novemba 23:59.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ya Fazi ifuatayo: Very Hot 5, Very Hot 40, Jewels Beat, Heating Ice, Heating Ice Deluxe, 5 Fluo Hot, Crystal Jewels, Golden Crown, 5 Fluo Dice 5 na Heating Dice.
 • Wachezaji ni lazima waweke angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kuingia kwenye droo ya zawadi za cash drop. Dau litakua linajilimbikiza kwa muda wote wa Promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo kumi iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
CASH DROP
 • Zawadi Namba Jumla
  1,175,000 TSH 1 1,175,000 TSH
  470,000 TSH 1 470,000 TSH
  235,000 TSH 3 705,000 TSH
  117,500 TSH 10 1,175,000 TSH
  23,500 TSH 75 1,762,500 TSH
  4,700 TSH 910 4,277,000 TSH
  Total: 1000 9,564,500 TSH

 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya droo kukamilika.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi za pesa taslimu na kima cah chini cha dau kwenye mashindano haya zimewekwa kwa mfumo wa USD na zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.