Go for Goals Go for Goals

Tunakupatia ofa ya kipekee ukiweka bashiri ya magoli kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal siku ya Jumamosi! Ni rahisi, weka bashiri kabla ya mechi ya hadi 235,000 TSH kwenye mechi (ikiwa yenyewe au zikiwa nyingi) na utapata bonasi itakayozidishwa na namba za magoli yatakayopatikana!

Step 1
Nenda kwenye michezo
Sports
Step 2
Weka bashiri kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya bure kulingana na idadi ya magoli yatakayopatikana!
Money Bag

Mbio za kuelekea ubingwa wa Ligi ya Kuu ya Uingereza zinazidi kupamba moto, na tunashauku ya kuona nani ataibuka kinara kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal y siku ya Alhamisi. Mechi hii itakua na matukio mengi na magoli, na kuifanya iwe na msisimko zaidi tutakupatia ofa ya kipekee ya Bonasi ya Bure – itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana! Ni rahisi weka bashiri kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal na tutakupatia Bonasi ya kipekee itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi kama ifuatavyo;

  • Weka bashiri ya 47,000 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 11,750 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana
  • Weka bashiri ya 117,500 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 29,375 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana
  • Weka bashiri ya 235,000 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 58,750 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana

Ofa ya bashiri ya magoli itaendeshwa hadi siku ya Alhamisi tarehe 12 Mei

Ili kufuzu weka bashiri ya angalau 47,000 TSH ikiwa na mechi ya Tottenham vs Arsenal siku ya Alhamisi, na inaweza kuwekwa kabla ya mechi kwenye mkeka ikiwa peke ake au na nyingine, bashiri inaweza kuwekwa kwenye soko la mechi yoyote ikiwa na alama si chini ya 1.50 na siku inayofuata utapokea bonasi ya bure ya hadi 58,750 TSH itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi, kwahiyo kama kutakua na magoli 4 utapokea bonasi ya 235,000 TSH siku ya Alhamisi!

Mda wa promosheni
  • Promosheni ya weka bashiri ya magoli itaanza kuanzia Jumatatu 9 Mei 00:00 hadi Alhamisi 12 Mei 20:45.
  • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Ni lazima uweke bashiri kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal kabla ya muda wa mechi kuanza.
    • Weka bashiri ya 47,000 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 11,750 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana
    • Weka bashiri ya 117,500 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 29,375 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana
    • Weka bashiri ya 235,000 TSH au zaidi na kupokea bonasi ya 58,750 TSH itakayo zidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana
  • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye soko lolote la mechi ya Tottenham vs Arsenal.
  • Bashiri ni lazima iwekwe moja au pamoja na nyingine, kabla ya mechi (bashiri mubashara hazitohesabika).
  • Bashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
  • Mchezaji anaweza kufuzu kupokea Bonasi ya bure moja tu ndani ya muda wa promosheni. Kama kutakua na bashiri zaidi ya moja iliyowekwa, bashiri yenye dau kubwa zaidi ndio itakayotumika kuamua thamani ya Bonasi ya Bure.
  • Bonasi ya bure itatolewa endapo tu kutakua na magoli kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal. Kiasi cha Bonasi kitatolewa kulingana na kiasi cha kufuzu bonasi (kulingana na kiasi cha dau) kitazidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana. Kwa mfano kama dau lako ni 235,000 TSH na mechi ikaisha na magoli 2-2, kiasi cha dau cha 58,750 TSH kitazidishwa mara 4 na zawadi yako ya bonasi itakua 235,000 TSH.
  • Bonasi itatolewa kwa bashiri zilizokamilika, haijalishi kama imeshinda au imepoteza.
  • Bonasi ya bure itatolewa endapo tu kutakua na goli kwenye mechi ya Tottenham vs Arsenal. Kiasi cha bonasi kitakua ni 235 TSH kitazidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi. Kwa mfano kama mechi itaisha na matokeo ya 3-2, kiasi cha bonasi cha 235 TSH kitazidishwa mara 5 na zawadi yako ya bonasi itakua ni 235 TSH.
  • Bonasi itatolewa kwa bashiri zilizokamilika tu, haijalishi kama imeshinda au imepoteza.
  • Bonasi ya Bure italipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
  • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
  • Bashiri za mifumo hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Bashiri ya Bonasi
  • Pesa ya bonasi inatakiwa izungushwe angalau mara 3 kabla haijabadilishwa kuwa pesa halisi (i.e kabla ya kuruhusiwa kuitoa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.
  • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 2.00, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi, iwe moja au nyingi. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ya chini ya iliyotajwa hapo juu pesa itakatwa kweye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Kima cha juu cha pesa ya bonasi unachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 11,750,000 TSH.
  • Una siku 7 za kukamilisha masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitoweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na masalia yoyote ya pesa yako uliyoweka yatarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
  • Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha pesa yako ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.
  • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kuchanganywa na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki juu ya kukataa matokeo, au kukataa kulipa kama pande zote za magoli zinaonyesha tatizo la wazi, uzembe au ufundi(ukijumlusha makosa ya malipo ya mchezo) haijalishi imetokana na mashine au Binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshiriki.
  • Tuna haki juu ya kukataa matokeo, au kukataa kulipa kama kwa upande wetu tutahisi kuna wizi wa matokeo au kujichanganya na wachezaji mwengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti ya Matangazo ya ofa tunayotoa kwa maamuzi yetu juu ya ushindi tunaotoa.
  • Yunaweza kwa maamuzi yetu, kumtoa mchezaji yoyote kupokea tangazo au matangazo yoyote ya ofa.
  • Vigezo na masharti kuzingatiwa.