Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Kua bingwa wa Virtuals kwenye Virtual Crash World Cup. Tumeandaa michezo yako pendwa ya Virtual na Crash games ucheze na ushinde ili kujishindia zawadi za cash drops kila siku, ikiwa na 2,400,000 TSH kama pesa taslimu kushindaniwa. Na pia kama utacheza mchezo wowote wa Virtual na Crash games kila siku utapata zawadi ya bonasi ya 240,000 TSH!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Weka dau la angalau 1,200 TSH
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya pesa taslimu!
Leaderboard
CHEZA SASA

Virtual Crash World Cup 20222 imewadia! Unaweza kushinda sehemu ya zaidi ya 2,400,000 TSH zawadi ya pesa taslimu! Ni rahisi, cheza moja ya michezo ya virtual na crash games na utafuzu kupokea zawadi ya cash drop KILA SIKU! Pia ukicheza moja ya michezo hii kila siku kwa siku 45 tutakupa zawadi ya bonasi ya 240,000 TSH ya kuanza mwaka mpya vyema!

Ofa ya Virtual Crash World Cup itaanza kuanzia Jumanne 22 Novemba 2022 hadi Alhamisi 5 Januari 2023.

Ili kujishindia zawadi ya cash drop ya bila mpangilio kadri unavyocheza, ni rahisi chagua moja ya michezo inayoshiriki kwa siku husika na uweke dau la angalau 1,200 TSH kwa ujumla! Cheza mchezo wowote kati ya hii kupata nafasi ya kushinda:

 • Aviator
 • Instant Premier Football
 • Instant Retro Football

Pia cheza angalau 1,200 TSH kwenye mchezo wowote wa virtual na crash game kwa siku 40 za ofa ya promosheni, kuaniza tarehe 27 Novemba hadi siku ya mwisho ya 5 Januari, na tutakuzawadia bonasi ya 240,000 TSH ya michezo ya Virtual mwezi Januari!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Virtual Crash World Cup itaanza kuanzia Jumanne 22 Novemba 2022 00:00 UTC hadi Alhamisi 5 Januari 2023 UTC.
 • Promosheni ya cash drop za kila siku ni kuanzia 00:00 hadi 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Cash Drops
Bashiri Zitakazofuzu
 • Kutoka 22/11/22 to 26/11/22: Aviator & Mines from Spribe, VLeague from Incentive.
 • Kutoka 27/11/22 to 01/12/22: Crashout Fireworks, Coin Vault and Virtual Soccer.
 • Kutoka 02/12/22 to 06/12/22: Rocketman, Lucky Crumbling + Goal Football Kutoka Elbet, Evoplay and Kiron
 • Kutoka 07/12/22 to 11/12/22: FootballX, JetX + Football Cup – World Kutoka SmartSoft & LEAP
 • Kutoka 12/12/22 to 16/12/22: Spaceman, Boxes + Instant Football Kutoka Pragmatic, Hacksaw & LEAP
 • Kutoka 17/12/22 to 21/12/22: Penalty Shoot Out + FootballX + World Cup Football
 • Kutoka 22/12/22 to 26/12/22: Football manager from Evoplay, Crashout Fireworks Kutoka 1X2Network, Virtual Soccer Kutoka Gaming1x2
 • Kutoka 27/12/22 to 31/12/22: Spaceman from Pragmatic, Cappadocia from SmartSoft, GOAL FOOTBALL from Kiron
 • Kutoka 01/01/23 to 05/01/23: Aviator, Instant Retro Football, Instant Premier Football from Solid Icon
Cash Drop
 • Kuna zawadi 10 za pesa taslimu zitakazotolewa bila mpangilio ndani ya kila siku ya promosheni. Zawadi zitakua 10 za pesa taslimu kiasi cha 4,800 TSH.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizotolewa kutokana na pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
 • Zawadi za cash Drop zitatolewa siku inayofuata kwenye akaunti zote za washindi wa bila mpangilio.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi mara moja tu ndani ya kila siku ya promosheni.
Bonasi ya michezo ya Virtual
 • Ili kushinda zawadi ya bonasi ya 240,000 TSH ya michezo ya Virtual tarehe 6 Januari 2023, unatakiwa kuweka dau la angalau 1,200 TSH kila siku kati ya tarehe 27 Novemba 2022 hadi siku ya mwisho ya tarehe 5 Januari 2023.
 • Bonasi itawekwa kwenye akaunti za wachezaji wote waliofuzu tarehe 6 Januari 2023. Kila mchezaji aliefuzu anaweza kupata bonasi moja tu ya michezo ya Virtuals ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 50 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio kila mchezo utachangia, au utachangia kwa kiasi sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ya Virtual iliyopo kwenye tab ya Virtual (link to virtual) ikiwemo michezo kutoka LEAP, Kiron, Golden Race and Bet Radar, ndio itahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements, isipokua mchezo wa Kiron Racing Roulette ambao hautohesabika.
 • Michezo yote hapo juu inayoshiriki inachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 12,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 12,000 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni 1,200,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Kiasi cha zawadi kimewekwa kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.