Wazdan Cash Tournament Wazdan Cash Tournament

Cheza mchezo wowote kwenye michezo yetu ya Wazdan kwa siku 10 na unaweza kujishindia sehemu ya 130,000,000 TSH Cash Drop. Zungusha angalau 265 TSH kwenye moja kati ya michezo yetu ya Wazdan inayoshiriki na kadri unavyocheza ndivyo unavyoweza kuwa mshindi wa moja ya zawadi za Cash Drop ya hadi 2,600,000 TSH kwenye mzunguko mmoja!

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Zungusha angalau 265.00 TSH
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za Cash Drop!
Money Bag

Tuna siku 10 za kujishindia zawadi za Cash Drop za bila mpangilio, ikiwa na jumla ya 130,000,000 TSH ya zawadi za pesa taslimu kushindaniwa! Ni rahisi, cheza moja ya mchezo yetu au michezo yetu yote ya Wazdan na unaweza kushinda pesa taslimu kwa kila mzunguko, zinazotolewa bila mpangilio kadri unavyocheza, zikiwa na zawadi kubwa zaidi ya 2,600,000 TSH!

Ofa ya Disemba Cash Drop kwenye michezo ya Wazdan itaanza kuanzia Alhamisi tarehe 9 hadi Jumapili tarehe 19 Disemba.

Ni rahisi, zungusha angalau 265 TSH kwenye mchezo mmoja au yote ya Wazdan inayoshiriki iliyooredheshwa hapa chini ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu:

Play any game!

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Promosheni ya Wazdan December Cash Drop ni kuanzia Alhamisi ya tarehe 9 Disemba 09:00 hadi Jumapili ya terehe 19 Disemba 03:00.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo: Burning Stars 3™, Clover Lady™, Fortune Reels, Midnight in Tokyo, Power of Gods™: Hades, Prosperity Pearls, Sun of Fortune, Unicorn Reels, Sizzling Bells.
 • Wachezaji ni lazima waweke dau la angalau 265 TSH kwa kila mzunguko kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 10 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash Drop
 • Kuna zawadi 2,530 za cash drop, zikiwa na zawadi ya jumla ya 130,000,000 TSH, na zawadi 13,000,000 TSH za pesa taslimu zinazotolewa kama cash drop kila siku ndani ya muda wa promosheni kama ifuatavyo:
 • Prize Amount
  2,650,000 TSH 1
  2,520,000 TSH 1
  2,390,000 TSH 1
  530,000 TSH 5
  265,000 TSH 10
  132,500 TSH 52
  26,500 TSH 755
  13,250 TSH 1000
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zaidi ya zawadi moja ya pesa taslimu za bila mpangilio ndani ya muda wa kampeni.
 • Wachezaji ni lazima waingie kwenye Kampeni ili kufuzu kupokea zawadi za pesa taslimu.
 • Bashiri yoyote itakayofuzu kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa kampeni inaweza kupokea kiasi cha zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
 • Bashiri itakayofuzu inaweza kupokea zawadi moja tu ya pesa taslimu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya kipindi chote cha promosheni. Zawadi zitatolewa kupitia RNG
 • Moja ya zawadi kubwa tatu zitakua zinatolewa ndani ya muda ambao ni sawa na 5% ya muda wote wa promosheni.
 • Kima cha chini cha dau kinachotakiwa ili kushiriki ni 265 TSH au, kama hakitopatikana, itachukuliwa bashiri yenye thamani ya juu kabisa kwenye mchezo. Kila kiasi cha dau kinaweza kupatikana kwenye mchezo “Bashiri zitakazofuzu”.
 • Idadi ya zawadi zilizopo zinabadilishwa papo hapo.
 • Zawadi zote zitakazopata washindi zitalipwa papo hapo kwenye akaunti za wateja muda huo huo wanapopata taarifa ya ushindi.
 • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye jedwali la zawadi ya jumla
 • Zawadi za pesa taslimu zina thamani ya 130,000 kila siku (130,000,000 TSH total) na itagawanywa miongoni mwa washindi 253 kila siku.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizotolewa kutokana na pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
 • Zawadi ya ushindi italipwa kulingana na sarafu iliyotumika kuweka dau, kulingana na thamani ya Euro wakati bashiri ya ushindi inawekwa.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Kiasi cha pesa ya Ushindi kipo kwenye mfumo wa EUR na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.