UEFA Challenge UEFA Challenge

Pata Karibu Bonasi ya Michezo – 100% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 100,000 TSH! Bonasi ya michezo inatumika kwa machaguo si chini ya 2, alama angalau 2.00 kwa kila chaguo na masharti ya kuzungusha/wagering requirement mara 7.

PATA SASA
Step 2
WEKA BASHIRI YA ANGALAU 2,000 TSH
Cash Out
Step 3
PATA BONASI YA MICHEZO!
Cash Out
PATA SASA

Kama ukaribisho maalumu wa Premier Bet, unaweza kuchagua Bonasi ya michezo ya 100% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 100,000 TSH! Unaweza kupata bonasi zifuatazo unapoweka pesa kwa mara ya kwanza:

 • Salio la kwanza – Bonasi ya Michezo ya 100%
 • Weka salio & Ucheze 2,000 TSH au zaidi = Bonasi ya michezo ya 2,000 TSH
 • Weka salio & Ucheze 5,000 TSH au zaidi = Bonasi ya michezo ya 5,000 TSH
 • Weka salio & Ucheze 20,000 TSH au zaidi = Bonasi ya michezo ya 20,000 TSH
 • Weka salio & Ucheze 100,000 TSH au zaidi = Bonasi ya michezo ya 100,000 TSH

Ili kupata Bonasi yako ya kwanza ya Michezo utahitaji kuweka kwa ukamilifu salio la angalau 2,000 TSH, weka bashiri ya kiasi hiko hiko kama ulichokiweka, angalau 2,000 TSH kwenye mechi yoyote, na utapokea bonasi yako ya michezo utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine. Pesa yako ya Bonasi itatolewa kulingana kiasi cha salio uliloweka hadi 100,000 TSH.

Jinsi ya Kupata:

1) Ingia kwenye akaunti yako au sajili akaunti mpya bure

2)Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa.

3)Weka salio la kwanza la angalau 2,000 TSH hadi 100,000 TSH

4)Weka bashiri ya salio lote uliloliweka, kwa mfano kama utaweka salio la 2,000 TSH itabidi uweke bashiri ya 2,000 TSH

5)Bonasi itawekwa moja kwa moja kwenye pesa zako za bonasi unapoingia kwenye akaunti yako kwa mara ya pili!

Bonasi ya Michezo: unaweza kupata bonasi ya hadi 100,000 TSH kuweka bashiri kwenye mechi yoyote, kabla ya mechi au mubashara, yenye machaguo yasiyopungua 2 na alama zisizopungua 2.0 kwa kila chaguo. Pesa yako ya bonasi inatakiwa kuzungushwa angalau mara 7 kabla ya kuweza kutoa ushindi wako wowote. Tafadhali tambua kama utatumia bonasi yako ya ukaribisho kuweka bashiri kwenye mechi yenye machaguo zaidi ya 2, machaguo yote ya zaidi ni lazima yawe na alama zisizopungua 2.0 ili kufuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.

MUDA WA PROMOSHENI
 • Unaweza kupata ofa ya Karibu Bonasi kuanzia Jumatatu mwezi Agosti tarehe 1 2022 12:00 CET hadi Jumatano tarehe 31 May 2023 23:59 CET.
 • Akaunti zote zilizosajiliwa na kuweka salio nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
 • Ofa hii inapatikana kwa siku 14 tu kuanzia tarehe uliojisajili
Deposits zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wateja wapya pekee.
 • Bonasi yako itapatikana unapoweka salio kwa mara ya kwanza. Unaweza kupata bonasi moja tu unapoweka pesa.
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ambacho mchezaji mmoja anaweza kukipata kila anapoweka salio ni Bonasi ya michezo ya 100,000 TSH
 • Bonasi ya Michezo ya 100% inapatikana unapoweka salio kwa mara ya kwanza. Ili kupata ni lazima uweke salio la angalau 2,000 TSH hadi 100,000 TSH na utumie hiko kiasi kuweka bashiri kwenye mechi yoyote, bonasi zitatolewa kama ifuatavyo kulingana na kiasi ulichoweka:
  • Weka salio & Ucheze 2,000 TSH hadi 4,999 TSH = Bonasi ya michezo ya 2,000 TSH
  • Weka salio & Ucheze 5,000 TSH hadi 19,999 TSH = Bonasi ya michezo ya 5,000 TSH
  • Weka salio & Ucheze 20,000 TSH hadi 99,999 TSH = Bonasi ya michezo ya 20,000 TSH
  • Weka salio & Ucheze 100,000 TSH au zaidi = Bonasi ya michezo ya 100,000 TSH
 • BBonasi yako itawekwa moja kwa moja utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine baada ya kufanikiwa kuweka pesa na bashiri sawa na kiasi cha salio ulichoweka kwenye akaunti yako. Tafadhali tambua kua unaweza kutolewa kwenye akaunti yako kwa dakika 30 ili kumaliza kipindi chako kabla ya bonasi yako kuwekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako unapoingia kwa mara nyingine.
 • Wachezaji ambao watapata bonasi nyingine yoyote wanapoweka pesa kwa mara ya kwanza hawatofuzu kwenye promosheni hii.
TAARIFA YA BONASI YA MICHEZO
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 7 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na machaguo yasiyopungua 2 alama zisizopungua 2.00 kwa kila chaguo, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi, iwe moja au nyingi. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ya chini ya iliyotajwa hapo juu pesa itakatwa kweye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Kama machaguo zaidi ya 2 yataongezwa kwenye bashiri, basi machaguo yote ya ziada ni lazima yawe na alama zisizopungua 2.0 ili kufuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu cha dau ambacho kitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni 24,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja ambacho kitakua juu ya 24,000 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 14 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa/cashed out au bashiri hewa/void hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bashiri za Odds Boosts, Cash Back boosts na system bets hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu kila unapoweka salio kwa mara 2 za kwanza.Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine za bonasi au promosheni.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.