Cash Out Cash Out

Chagua kati ya Bonasi ya Michezo 100% AU Bonasi ya Slots 200% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza na upate hadi 100,000 TSH kama Bonasi ya Michezo au 200,000 TSH kama Bonasi ya Slots!Bonasi ya michezo machaguo si chini 2, alama si chini ya 2.0 kwa kila chaguo na masharti ya kuzungusha/wagering requirements mara 5. Bonasi ya Slots ikiwa na masharti ya kuzungushwa mara 30 (wagering requirements).

Step 2
CHAGUA BONASI YA 100% MICHEZO AU BONASI YA 200% SLOTS
Cash Out
Step 3
WEKA PESA & PATA BONASI YAKO PAPO HAPO!
Cash Out

Kama ukaribisho maalumu wa Premier Bet, unaweza kuchagua Bonasi ya michezo ya 100% AU Bonasi ya Slots ya 200% unapoweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 100,000 TSH! Ili kupata, ni rahisi, nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa na chagua bonasi ambayo ungependa kuipata. Pata hadi 100,000 TSH kuweka bashiri kwenye Michezo bure AU Bonasi ya hadi 200,000 TSH kuzungusha magurudumu ya slots bure! Unapofanikiwa kuweka salio, moja kwa moja utapokea bonasi sawa na salio lako!

Jinsi ya Kupata:

1) Ingia kwenye akaunti yako au sajili akaunti mpya bure.

2)Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa. page.

3)Chagua bonasi ambayo ungependa kuipata kutoka kwenye bonasi zilizopo.

4)Weka salio

5)Furahia kutumia bonasi yako!

Bonasi ya Michezo: unaweza kupata bonasi ya hadi 100,000 TSH kuweka bashiri kwenye mechi yoyote, kabla ya mechi au mubashara, yenye machaguo yasiyopungua 2 na alama zisizopungua 2.0 kwa kila chaguo. Kiasi chako cha pesa na bonasi yako vitatakiwa kuzungushwa angalau mara 5 kabla ya kuweza kutoa ushindi wako wowote. Tafadhali tambua kama utatumia bonasi yako ya ukaribisho kuweka bashiri kwenye mechi yenye machaguo zaidi ya 2, machaguo yote ya zaidi ni lazima yawe na alama zisizopungua 2.0 ili kufuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.

Bonasi ya Kasino: unaweza kupata bonasi ya hadi 200,000 TSH kutumika kwenye mchezo wowote wa slots kati ya michezo 30 inayoshiriki iliyoonyeshwa hapa chini. Kiasi chako cha salio na pesa yako ya bonasi ni lazima vizungushwe angalau mara 30 kabla ya kuweza kutoa ushindi wako. Unaweza kutumia pesa yako ya bonasi kucheza kwenye moja ya michezo ifuatayo:

MUDA WA PROMOSHENI
 • Unaweza kupata ofa ya Karibu Bonasi kuanzia Jumatatu mwezi Agosti tarehe 1 2022 12:00 CET hadi Jumatatu tarehe 31 Julai 2023 23:59 CET.
 • Akaunti zote zilizosajiliwa na kuweka salio nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
 • Ofa hii inapatikana kwa siku 14 tu kuanzia tarehe uliojisajili
Deposits zitakazofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wateja wapya pekee.
 • Bonasi hii inapatikana unapoweka salio kwa mara kwanza.
 • Kiasi kikubwa cha bonasi anachoweza kukipata mchezaji mmoja ni:
  • Bonasi ya michezo ya 100,000 TSH au
  • Bonasi ya Slots ya 200,000 TSH
 • Unatakiwa ku-activate moja ya ofa hizi za bonasi unapoweka salio ili bonasi iwekwe kwenye akaunti yako ya bonasi kwa kuchagua ofa yako unayopendelea kutoka kwenye bonasi zilizopo. Unaweza kuchagua moja ya bonasi hizi zifuatazo kwa kuweka salio la hadi 100,000 THS:
  • Bonasi ya Michezo ya 100% ya hadi 100,000 TSH
  • Bonasi ya Slots ya 200% ya hadi 200,000 TSH
 • Kwa Ofa ya Karibu Bonasi ya Michezo utapokea bonasi ya 100% kulingana na kiasi cha salio ulichoweka hadi 100,000 TSH. Kwa mfano, kama utaweka salio la kwanza la 10,000 TSH, utapokea Bonasi ya Michezo ya 10,000 TSH.
 • Kwa Ofa ya Karibu Bonasi ya Slots utapokea bonasi ya 200% kulingana na kiasi cha salio ulichoweka hadi 200,000 TSH. Kwa mfano, kama utaweka salio la kwanza la 10,000 TSH, utapokea Bonasi ya Slots ya 20,000 TSH.
TAARIFA YA BONASI YA MICHEZO
 • Bonasi yako itawekwa kwenye akaunti yako moja kwa moja baada ya kufanikiwa kuweka pesa kwa mara ya kwanza.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 5 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na machaguo yasiyopungua 2 alama zisizopungua 2.00 kwa kila chaguo, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi, iwe moja au nyingi. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ya chini ya iliyotajwa hapo juu pesa itakatwa kweye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Kama machaguo zaidi ya 2 yataongezwa kwenye bashiri, basi machaguo yote ya ziada ni lazima yawe na alama zisizopungua 2.0 ili kufuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu cha dau ambacho kitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni $10 (kiasi chochote kwenye bashiri moja ambacho kitakua juu ya $10 hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 14 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa/cashed out au bashiri hewa/void hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bashiri za Odds Boosts, Cash Back boosts na system bets hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bonasi yako itawekwa kwenye akaunti yako moja kwa moja baada ya kufanikiwa kuweka pesa kwa mara ya kwanza.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Unaweza kutumia pesa yako yabonasi kwenye michezo 30 pekee inayoshiriki. Michezo 30 ifuatayo ya slots itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirement (hakuna mchezo mwingine wowote utakaohusika), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mzunguko ambacho kinachangia kwenye kila mzunguko kutimiza masharti ya kubashiri ni $10 (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambacho kitakua juu ya $10 hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 14 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote kutoka Casino ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
JUMLA
 • Unaweza kupata bonasi moja unapoweka salio kwa mara kwanza.Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine za bonasi au promosheni.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine. Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • We may, at our sole discretion, exclude any customer from receiving selected promotions and any other promotions and offers.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.