Exclusive Offer Exclusive Offer

Pata bonasi kila siku kwa siku 4 za kwanza za Mashindano ya Wimbledon!

Step 1
Nenda kwenye Tennis
Bonus
Step 2
Weka bashiri kwenye mashindano ya Wimbledon
Cash Out
Step 3
Pata bonasi
Cash Out

Je wewe ni shabiki wa mchezo wa tennis ambae anayasubiri mashindano ya kibabe ya Wimbledon? Tuna Grand Slam promosheni maalum kwa ajili yako! Jiunge nasi sasa na ushiriki katika promosheni yetu ya kipekee ya kubashiri kwenye mashindano ya Wimbledon ili kuongeza nafasi zako za kushinda zaidi.

Kwa siku nne za kwanza za mashindano ya Wimbledon, bashiri kwa dau la angalau 5,000 TSH kwenye mechi yoyote na utapata bonasi ya 5,000 TSH kwa siku inayofuata.

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Kima cha chini cha dau: 5,000 TSH
 • Alama zisipungue: 1.50

Masharti ya Ubashiri/Wagering Requirements ya Bonasi

 • Kiasi cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara moja
 • Kima cha chini cha alama kwenye mkeka ni: 2.00
 • Bonasi zitaexpire baada ya siku 7
 • Promosheni hii itaanza siku ya kwanza droo kubwa ya mashindano ya Wimbledon tarehe 03/07/23 na itaisha siku ya nne tarehe 06/07/23.
 • Ili kufuzu kupata bonasi, wachezaji ni lazima waweke bashiri iliyofuzu kwa dau la angalau 5,000 TSH kwenye mechi yoyote ya mashindano ya Wimbledon.
 • Bonasi itatolewa kwa wachezaji waliofuzu ndani ya masaa 24 baada ya kukamilika kwa uwekaji wa bashiri iliyofuzu.
 • Kila bonasi itatolewa siku inayofuata.
 • Kiasi cha bonasi kinachotelewa siku inayofuata ni 5,000 TSH.
 • Bonasi inaweza kutumika kwenye mechi yoyote.
 • Bashiri zinazowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 2.00.
 • Kiasi chote cha pesa ya bonasi ni lazima kizungushwe/wagered angalau mara moja kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi zinazoweza kutolewa kwenye akaunti.
 • Kima cha juu cha pesa ya bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa halisi ni mara 25x ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine yoyote inayoendeshwa wakati huo.
 • Tuna haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni ya Alama Zilizoboreshwa muda wowote bila ya kutoa taarifa kwanza.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu vizingatiwe.
 • Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtenga mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.