Exclusive Offer Exclusive Offer

Pata bashiri ya bure ya X unapoweka bashiri kwenye mechi yoyote ya Fainali ya Wimbledon!

Step 1
Nenda kwenye Tennis
Bonus
Step 2
Weka bashiri kwenye Fainali ya Wimbledon
Cash Out
Step 3
Pata bashiri ya bure
Cash Out

Ni Fainali za Wimbledon! Weka bashiri yenye chaguo kutoka kwenye mechi yoyote ya Fainali za mashindano ya Wimbledon na utapata Bashiri ya bure ya TSH 5,000!

Bashiri zitakazofuzu:

 • Kima cha chini cha dau: TSH 5,0000
 • Kima cha chini cha Alama: 1.50

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
MUDA WA PROMOSHENI
 • Pomosheni itaanza tarehe 15/07/23 00:00 na itaisha 16/07/23 17:00.
KUFUZU KUPATA BASHIRI YA BURE
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu kwenye ofa hii.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo lolote la mechi za Fainali ya Wimbledon zitakazochezwa tarehe 15/07/23 au 16/07/23. Unaweza kuweka machaguo mengine kutoka mechi tofauti tofauti kwenye mkeka wako.
 • Bashiri yako iliyofuzu ni lazima iwe na kiasi cha dau kisichopungua TSH 5,000.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama za jumla zisizopungua 1.50.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri zilizokua Cancelled, Voided au Cashed-out hazitofuzu.
 • Bashiri yako iliyofuzu inatakiwa kukamilika kati ya tarehe 15/07/23 00:00 – 23/07/23 ili kufuzu kupokea Bashiri ya bure.
TAARIFA YA BASHIRI YA BURE
 • Utapokea bashiri ya bure moja tu kwenye ofa hii.
 • Bashiri ya bure itawekwa kwenye akaunti za wachezaji waliofuzu pale ambapo bashiri zitakamilika.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa ni TSH 5,000.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika katika mechi yoyote ya michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa au promosheni nyingine zinazoendeshwa kwa muda huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.