Mega Bonus Mega Bonus

Weka bashiri kwenye Kombe la Dunia la Wanawake 2023 na ushinde zaidi! Weka bashiri yenye chaguo la mechi ya Kombe la Dunia la Wanawake na utapata bashiri ya bure kila bashiri iliyoshinda!

Step 1
Nenda kwenye Mpira wa Miguu
Football
Step 2
Weka chaguo la mechi ya Women’s World Cup kwenye bashiri yako
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure ukishinda!
Bonus

Weka bashiri yenye chaguo kutoka mechi yoyote ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 na ukikidhi vigezo vya bashiri iliyofuzu kama inavyoonyeshwa hapo chini utapata dau la bure la TSH 1,000 kila utakaposhinda.

Bashiri Zitakazofuzu

Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la mechi za FIFA Women’s World Cup 2023.

Machaguo angalau 3

Kiasi cha dau angalau TSH 1,000

ama za jumla angalau 10.00

Machaguo yote kwenye mkeka wako ni lazima yakamilike na kushinda ili kupata Bashiri ya Bure.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’

Alama za jumla zisipungue: 1.50

Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7

Muda wa Promosheni
 • Promosheni itaanza tarehe 20/07/23 00:00 na itaisha tarehe 20/08/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu kwenye ofa hii.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja kutoka kwenye Mashindano ya FIFA Women’s World Cup 2023.
 • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 3.
 • Dau la bashiri halitakiwi kua chini ya TSH 1,000.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama za jumla zisizopungua 10.00.
 • Ni bashiri zilizoshinda pekee ambazo machaguo yote ya kwenye mkeka yatakua yameshinda ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri yoyote yenye machaguo yaliyopoteza au zilizokua Cancelled au Voided hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofanyiwa Cash out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri yako iliyofuzu inatakiwa kukamilika kati ya tarehe 20/07/23 00:00 – 20/08/23 23:59 ili kufuzu kupokea Bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Kima cha juu cha idadi ya bashiri zitakazotolewa kwa kila mchezaji kwenye hii promosheni ni 10.
 • Bashiri za bure zitatolewa kwa wachezaji waliofuzu wakati bashiri zinapokamilika au ndani ya masaa 48 endapo kutakua na tatizo la kiufundi.
 • Utapewa zawadi ya bashiri ya bure kwa bashiri 10 za kwanza zilizofuzu zitakazokamilika ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakuwa ni TSH 1,000.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni zinazoendelea wakati huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au kosa la kibinadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.