Combi Insurance Combi Insurance

Ni mashindano makubwa kabisa ya mwaka yakiwa na zawadi bomba zinazoshindaniwa ikiwemo: safari ya kwenda Milan, Italia ikiwa na tiketi 2 za VIP za kwenda kutazama mechi ya AC Milan live uwanja wa San Siro, na Jezi namba 11 ya Ibrahimovic iliyosainiwa, Jezi Original ya AC Milan yenye jina lako, mpira original wa AC Milan uliosainiwa, Televisheni kubwa za kisasa na 174,375,000 TSH kama zawadi ya bonasi! Kwa kila 2,325 TSH itakayojilimbikiza kama dau kwenye mchezo wowote, Vegas au michezo bunifu (Virtuals games) utapokea tiketi 1 ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio.

BASHIRI SASA
Step 1
Bashiri angalau 2,325 TSH
Sports
Step 2
Pata tiketi ya kuingia kwenye mashindano
Bonus
Step 3
Shinda moja ya zawadi 10,022 za kibabe!
Money Bag
BET NOW

Kama Washirika rasmi wa AC Milan kwenye Michezo ya Kubashiri – Afrika , tumeandaa mashindano kabambe ya Mwisho wa mwaka kwa ajili yako! Kuna zawadi 10,022 za kibabe zinazoshindaniwa ikiwemo safari ya kwenda San Siro kutazama mechi ya AC Milan wakicheza na Juventus live! Ni rahisi, weka bashiri zako na unaweza kua mmoja wa washindi wa zawadi hizi:

 • Zawadi ya Kwanza: Tiketi mbili za VIP kwenda kutazama mechi ya AC Milan v Juventus tarehe 23 mwezi Januari, inayojumuisha gharama za usafiri na malazi ukiwa Milan, Italia kwa usiku miwili.
 • Jezi 1 namba 11 ya Ibrahimovic iliyosainiwa
 • Jezi 1 ya AC Milan yenye jina lako
 • Mpira 1 wa AC Milan uliosainiwa
 • Televisheni 9 za kisasa
 • Simu 9 za mkononi
 • Bonasi ya x 5,000 ya virtuals & slots ya 23,500 TSH
 • Bonasi ya x 5,000 ya michezo ya 11,750 TSH

Mashindano Bab Kubwa ya mwisho wa mwaka yataanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 3 Disemba hadi Jumapili ya tarehe 2 Januari.

Kwa kila 2,325 TSH itakayojilimbikiza kwenye dau lako kwenye bashiri yoyote ya michezo, virtuals au lottery, utapokea tiketi 1 ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio. Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au mubashara/live, ikiwa na alama za jumla zisizopungua 1.20 ili kufuzu. Unaweza kukusanya tiketi mara nyingi uwezavyo – unavyokusanya tiketi nyingi zaidi, ndivyo unavyoongeza nafasi yako ya kushinda moja ya zawadi 10,022 za kibabe! Droo itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 3 Januari.

Muda wa Promosheni
 • Mashindano Bab Kubwa ya mwisho wa mwaka yataanza kuanzia Ijumaa ya terehe 3 Disemba 02:00 hadi Jumatatu ya terehe 2 Januari 2021 01:59.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Kwa kila 2,325 TSH itakayojilimbikiza kama dau kwenye bashiri yoyote ya michezo, vegas au virtuals, utapokea tiketi 1 ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio.
 • Bashiri inaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au mubashara, na lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 1.20. Ni bashiri zilizowekwa na kukamilika pekee ndani ya muda wa promosheni ndizo zitakazohesabika.
 • Unaweza kukusanya tiketi nyingi uwezavyo za kuingia kwenye droo ya kushindania zawadi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bashiri zilizoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri za mfumo au Bashiri za Odds Boost hazitohesabika kwenye promosheni hii.
Zawadi
 • Droo ya zawadi itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 3 Januari 2022.
 • Kuna jumla ya zawadi 10,022. Kwa kila zawadi mchezaji mmoja atachaguliwa bila mpangilio kushinda zawadi moja pekee. Wachezaji hawawezi kushinda zaidi ya zawadi moja na endapo jina litachaguliwa kwenye moja ya zawadi litaondolewa lisishiriki kwenye droo nyingine zitakazoendelea:
Zawadi ya Kwanza
 • Tiketi mbili za VIP kwenda kutazama mechi ya AC Milan v Juventus uwanja wa San Siro siku ya tarehe 23 Januari 2022
 • Tiketi za ndege daraja la economy (itajumlisha kodi na usafiri) kwa watu wawili kutoka nchi yao husika hadi Milan, Italia kwa siku ya tarehe 22 na 24 Januari 2022.
 • Malazi ya usiku miwili (2) kwenye hoteli ya nyota 3 mjini Milan kuanzia tarehe 22 hadi 24 Januari 2022. Hoteli itachaguliwa na Premier Bet kulingana na upatikanaji wake.
Zawadi za washindi wanaofuata
 • Jezi moja namba 11 ya Ibrahimovic iliyosainiwa
 • 1 AC Milan shirt with your name on it
 • Jezi moja ya AC Milan yenye jina lako
 • Mpira mmoja wa AC Milan uliosainiwa
 • Zawadi tisa za Televisheni kubwa za kisasa (thamani haitozidi 23,500 TSH)
 • Zawadi tisa za simu za mkononi (thamani haitozidi 11,750 TSH)
 • Kwa mshindi wa zawadi ya kwanza na atakaeamua kwenda nae wanatakiwa wawe na miaka 18 au zaidi, wawe na hati ya kusafiria (passport) inayofanya kazi na wawe na afya nzuri inayoruhusu kusafiri bila usaidizi wowote
 • Bima ya kusafiri, hati ya kusafiri na viza (kama itahitajika) ni jukumu la wasafiri.
 • Mshindi wa zawadi ya kwanza anajukumu la kugharamia gharama za ziada za usafiri zinazohusika na usafiri wa ndege kama malazi (kama yatahitajika), usafiri, chakula, pesa ya kutumia, viza, bima na mahitaji/nyaraka nyingine.
 • Washindi watahusika na malipo ya yote ya kodi ya ndani ya nchi husika
 • Kama mshindi hatoweza kusafiri, anaweza kupatiwa pesa taslimu kama ushindi wake jumla ya 7,050,000 TSH.
 • Zawadi za washindi wanaofuata zinaweza kuchukua hadi siku 30 kufika nchi husika, na inaweza kuchukua muda zaidi kwa baadhi ya nchi.
 • Zawadi za TV na simu za mkononi zitachaguliwa kulingana na chapa yenye ubora zaidi hadi kufikia thamani ya 1,762,500 TSH kwa Televisheni bora na za kisasa na 587,500 TSH kwa simu za mkononi
 • Washindi wote wa zawadi watatafutwa kwa njia ya simu ndani ya masaa 72 tangu matokeo ya mwisho ya droo yalipotoka, kuandaa jinsi atakavyoipokea zawadi yake. Tafadhali hakikisha nambari ya simu uliyoiandika kwenye akaunti yako ipo sahihi.
 • Kama mshindi yoyote hatopatikana au kututafuta ndani ya masaa 72, tutafuta ushindi wake na zawadi itashindaniwa kwa mara nyingine.
 • Zawadi haziwezi kuhamishika na haziwezi kurudishwa, na hakutokua na ubadilishaji labda kama ni wa ndani.
 • Zawadi za Bonasi
 • Kutakua na zawadi 5,000 za bonasi ya michezo bunifu na slots ya $10 & zawadi za bonasi 5,000 za 11,750 TSH za michezo.
 • Zawadi zote za bonasi zitawekwa kwenye akaunti 10,000 za washindi ndani ya masaa 72 tangu kukamilika kwa droo. Wachezaji wanaweza kushinda zawadi 1 tu ya bonasi,
 • Unaweza kutumia bonasi yako mara tu utakapoingia kwenye akaunti yako baada ya kuwekewa bonasi.
 • Utapewa muda hadi kufikia tarehe 31 Januari 2022 kuitumia bonasi yako. Baada ya tarehe hio bonasi itaondolewa kwenye akaunti yako.
 • Taarifa ya Bonasi ya Virtuals & Slots

  Kiasi cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaani kabla ya kuweza kutoa pesa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitakaa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.

  Michezo yote ya slots na virtual itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri (isipokua michezo ya Booming na Playson, na Racing Roulette), na kwa maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha chini cha dau kwa kila mzunguko wa mchezo ni 11,750 TSH (kiasi chochote kitakachokua zaidi ya 11,750 TSH kwa mzunguko mmoja wa mchezo hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).

  Kama utaweka bashiri yenye dau kubwa kuliko kima hiki cha juu cha dau kwa mzunguko mmoja wa mchezo unakubali kuwa bonasi yako na ushindi wote uliotokana na bonasi hio unaweza kubatilishwa.

  Kima cha juu kabisa cha bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,175,000 TSH.

  Una siku 7 za kutimiza masharti ya ubashiri. Kiasi chochote cha bonasi ambacho hakitaweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na kiasi chochote cha pesa ulichoweka kwenye akaunti yako kitarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu. /p>

  Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi kwenye Casino ni lazima utimize masharti ya ubashiri kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha bonasi yako na ushindi wote uliotokana na pesa ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.

  Taarifa ya Bonasi za Michezo

  Kiasi cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 5 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaani kabla ya kuweza kutoa pesa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitakaa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.

  Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 2.00, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au mubashara/live. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ndogo zaidi itakatwa kwenye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.

  Kwa maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu zaidi cha dau kitakachohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,750 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).

  Kima cha juu kabisa cha bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 587,500 TSH.

  Una siku 7 za kutimiza masharti ya ubashiri. Kiasi chochote cha bonasi ambacho hakitaweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na kiasi chochote cha pesa ulichoweka kwenye akaunti yako kitarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.

  Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima utimize masharti ya ubashiri kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha bonasi yako na ushindi wote uliotokana na pesa ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.

  Ni bashiri zilizokamilika tu ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.

  Bashiri za Odds Boosts, Cash Back boosts na bashiri za mifumo (system bets) hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.

  Jumla
  • Ofa hii ni ya mtandao kwenye nchi zote zinazoshiriki.
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.