St. Patrick's Treasures Tournament St. Patrick's Treasures Tournament

Cheza mchezo wetu wowote ya kwenye vipengele vya michezo ya Vitabu wiki hii na unaweza kujishindia sehemu ya of 235,000 TSH. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja kati ya michezo yetu mitatu na utaingia kwenye droo ya bila mpangilio na kujishindia moja ya zawadi 20 za bonasi!

CHEZA SASA
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za bonasi!
Leaderboard
CHEZA SASA

Wiki hii unachotakiwa kufanya ni kucheza michezo ya Vitabu iliyochaguliwa ili kujishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya bonasi! Ni rahisi cheza moja ya mchezo wetu ya Slots au yote kwa pamoja na unaweza kua mmoja wa wachezaji wetu 20 wenye bahati ya kujishindia 11,750 TSH zawadi ya bonasi. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye mchezo mmoja au yote mitatu kwa pamoja iliyo orodheshwa hapo chini ili kuingia kwenye droo.

Ofa ya Kitabu cha Bonasi inaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 26 April hadi Jumatatu ya tarehe 3 May.

Chagua mchezo mmoja au cheza michezo yote ifuatayo ya kipengele cha michezo ya Vitabu ili kushiriki kwenye droo:

Cheza mchezo wowote!

Utangulizi – Muda wa Promosheni
  • Muda wa Promosheni ya Kitabu cha Bonasi ni kuanzia Jumatatu ya tarehe 26 April 01:00 hadi Jumatatu ya tarehe 3 May 00:59.
  • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri zilizofuzu za pesa taslimu zinatakiwa ziwekwe kwenye michezo ifuatayo kutoka kwenye michezo ya 1X2 Gaming: Van Helsing’s Book of the Undead, Book of Loki na Book of Merlin.
  • Wachezaji ni lazima waweke angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kuingia kwenye droo ya zawadi za cash drop. Dau litakua linajilimbikiza kwa muda wote wa Promosheni.
  • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu kwenye michezo mitatu iliyochaguliwa ndizo zitakazo hesabiwa (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
Zawadi za Bonasi
  • Wachezaji 20 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya bonasi ya 11,750 TSH kutumika kwenye mchezo wowote wa slot siku ya Jumatatu ya tarehe 3 May.
  • Zawadi ya bonasi itawekwa ndani ya masaa 72 baada ya droo.
  • Salio la bonasi litatakiwa lizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kua pesa taslimu (yaani kabla ya kuweza kuitoa kwenye akaunti). Salio la bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti yatakapotimizwa.
  • Michezo yote ya slots inachangia 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, dau la juu kabisa litakalochangia kutimiza masharti ya ubashiri ni 11,750 TSH kwenye mzunguko mmoja wa mchezo (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo kitakachozidi 11,750 TSH hakitahesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
  • Ukibashiri zaidi ya dau hili kwa mzunguko mmoja wa mchezo, unakubali kua bonasi yako na ushindi wowote unaohusiana utaondolewa.
  • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi kinachoweza kubadilishwa kua pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,175,000 TSH.
  • Una siku 14 za kutimiza masharti. Salio lolote la bonasi ambalo halitabadilishwa ndani ya muda huu litatolewa kwenye akaunti yako, na salio lolote litakalokua limesalia litarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
  • Kabla ya bonasi yoyote kutolewa unatakiwa utimize masharti. Unaweza kutoa pesa yako halisi muda wowote baada ya kusalimisha bonasi yako na ushindi wowote ulioupata kama masharti hayajatimizwa.
  • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu kwa kila wiki ya Promosheni.
Jumla
  • Hakuna dau la chini litakalo ruhusiwa kushiriki katika sehemu yoyote ya hii Promosheni, ukijumlisha masharti ya salio la bonasi. Wachezaji watakaojulikana kutumia mbinu za kutimiza masharti kwa dau la chini kukomboa bonasi yao au salio lao la pesa taslimu watakua na hatia na watasababisha kuchukuliwa bonasi zao au pesa taslimu au ushindi wote uliopatikana. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, dau hewa au dau la chini ya kiwango linachukuliwa kama michezo isiyo ya kawaida. Mfano mwingine wa michezo ya kubahatisha isiyo ya kawaida inajumlisha lakini sio lazima kuweka pesa sawa kwenye mchezo wa Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka dau moja sawa na au Zaidi ya 20% au Zaidi ya thamani ya bonasi waliyopewa kwenye akaunti zao mpaka masharti ya bonasi yatakapotimizwa.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.