NBA Boost NBA Boost

Poteza chaguo moja kwenye bashiri yako ya combi na urejeshewe dau lako kama Bashiri ya Bure! Weka bashiri ya combi yenye machaguo 10 au Zaidi na kama moja ya chaguo lako likipoteza utazawadiwa Bashiri ya Bure moja kwa moja kulingana na kiasi cha dau lako hadi 58,750 TSH (kila chaguo lazima liwe na angalau alama zisizopungua 1.2 ili kufuzu).

Step 1
Nenda kwenye Michezo
Sports
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 10+
Bonus
Step 3
Poteza chaguo moja na upate Bashiri ya Bure!
Money Bag

Poteza chaguo moja na urejeshewe dau lako kama Bashiri ya Bure! Unapoweka bashiri yako ya combi ikiwa na machaguo angalau 10, na alama si chini ya 1.2 kwa kila chaguo kwenye mchezo wowote au soko lolote, hapo utakua umefuzu kupokea bima ya Kombi. Kama bashiri yako ya combi itapoteza kwa chaguo moja basi moja kwa moja utazawadiwa Bashiri ya Bure.

Zawadi ya Bashiri ya Bure itakua ni kiasi cha dau lako hadi 58,750 TSH na itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako. Unatakiwa uweke bashiri ya combi ikiwa na machaguo angalau 10, na alama si chini ya 1.2 kwa kila chaguo, kabla ya mechi au wakati mechi inacheza (machaguo ya bashiri mubashara). Utafuzu kupokea Bashiri ya Bure ikiwa utapoteza chaguo moja na machaguo mengine yote ya kwenye bashiri yako ya combi yakashinda. Bashiri yako ya Bure inaweza kutumika kwenye mchezo wowote au soko lolote.

Bashiri zitakazofuzu
 • Bima ya Combi itakua inapatikana kwenye Mchezo wowote au Soko lolote, Kabla ya mechi na mechi ikiwa inacheza (mubashara)
 • Ili kufuzu bashiri ya combi lazima iwe na machaguo yasiyopungua 10, na alama kuanzia 1.20 na kuendelea kwa kila chaguo.
 • Ili kufuzu, moja ya machaguo yako kati ya machaguo 10 au zaidi ya kwenye bashiri yako ya combi inabidi lipoteze.
 • Bashiri ni lazima ziwekwe kwa pesa halisi (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu).
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitahesabika kwenye ofa hii.
 • Bashiri za mfumo hazitahesabika kwenye promosheni hii.
 • Endapo moja ya machaguo yako yatatolewa, yatakua hewa au yatashushwa hadi 1.00 basi bashiri yako ya combi bet itashushwa kulingana na namba za machaguo halali kwa ofa ya Bima ya Combi. Ni lazima kuwa na angalau machaguo 9 au Zaidi yaliyoshinda kwenye mkeka wako na moja tu lililopoteza ili kufuzu kupata Bashiri ya Bure ya Bima ya Combi.
Bashiri ya Bure
 • Kiasi cha Bashiri ya Bure kitakua sawa na dau lako hadi 58,750 TSH.
 • Kima cha juu kutolewa kama Bashiri ya Bure ni 58,750 TSH.
 • Bashiri ya Bure italipwa baada ya mkeka wote kukamilika.
 • Bashiri ya Bure ni lazima itumike ndani ya siku 7 baada ya kupewa kwa kuingia kwenye akaunti yako. Isipotumika, Bashiri ya Bure haitoweza kutumiwa tena baada ya siku 7 tangu ulivyopewa.
 • Bashiri ya bure inatumika kwenye Ubashiri wa michezo tu.
 • Bashiri ya Bure inaweza kuonekana kwenye upande wa kipengele cha mikeka kwenye akaunti ya mchezaji husika.
 • Ushindi wote unaotokana na Bashiri ya Bure unalipwa tofauti na dau. Kama utaweka bashiri yenye alama ya 3.0 kwa bashiri ya Bure ya 2,350 TSH, ushindi wako wa jumla utakua 4,700 TSH.
 • Bashiri ya Bure ni lazima itumike mara moja, yote kwa Pamoja.
 • Ni bashiri moja tu itakua inatolewa kwa kila mechi 10+ zitakazofuzu.
 • Bashiri ya Bure haiwezi kutolewa kama pesa.
 • Bashiri ya Bure hairuhusu Cash Out.
 • Kwa taarifa Zaidi juu ya jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure nenda kwenye JINSI YA KUTUMIA BASHIRI YAKO YA BURE.
Kwa Ujumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa busara tukamtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.