Tumempata Shujaa wetu wa Soka!

Imechapishwa: 12 Julai, 2021

Premier 6

Baada ya siku 31 za matukio ya kuvutia ya michezo, tuna furaha ya kumtangaza Shujaa wetu wa Soka ambae ameshinda jackpot yetu ya TSH 230,000,000!

Tunalipa ZAWADI KUBWA ZAIDI YA PESA TASLIMU AMBAYO IMEWAHI KUTOLEWA kwa mchezaji ambae ameshinda bashiri yenye alama kubwa Zaidi kwenye tovuti yetu tangu Juni tarehe 11 – na tumempata shujaa wetu!

Shujaa wetu wa Soka ni nani?/h3>

Zawadi yetu kubwa ajabu inaenda kwa Mauro J., ambae amebashiri kwa alama za 202,277.58 hakuna ambae ameweza kumpita! Sahau kuhusu Lionel Messi na Leonardo Bonucci – huyu ndio Shujaa halisi!

Shujaa wetu aliweka bashiri yake tarehe 28 Juni, na mkeka wake ulikua na machaguo nane tu kutoka kwenye fixtures za mpira wa miguu wa ligi tofauti tofauti Duniani. Hii inathibitisha nini? Kwamba unaweza kupata alama kubwa kwenye mechi yoyote kama unajua wapi pa kutazama!

Shujaa wetu wa Soka ameshindaje?

Mechi za kwanza zote zilikua hazina magoli hadi muda wa mapumziko, lakini San Martin de Tuouman (Argentina) na JC (Brazil) walifunga kwenye kipindi cha pili na kushinda kulingana na fixtures zao. Bashiri ilianza vizuri!

Bashiri tano zilizofuata kwenye mkeka zilishinda pia – likabaki chaguo moja tu.

Lakini kulikua na tatizo!

Chaguo la mwisho lilikua ni ushindi kwa Vila Nova waliocheza na Operario, lakini magoli yalikua ni 1-1 hadi zilipobaki dakika 15 mechi kuisha! Vila Nova hakushinda kwenye mechi zake nne zilizopita za ligi. Kulikua na matumaini madogo sana…

Shujaa wetu anapaswa kumshukuru Alesson! Kiungo huyu alifunga goli dakika ya 81 na kuipatia Timu yake ushindi wenye thamani – na muhimu zaidi, bashiri hii ya kushangaza ilishinda!

Furahia zawadi yako, Mauro!

Msemaji wa Premier Bet alisema:

Michezo inaweza kumletea kila mtu furaha kama hii, na bashiri ya ajabu kama hii inapaswa kutambulika. Tunatumaini kuwa Mauro atafurahia TSH 230,000,000 zake, na pia ushindi wa kwenye mkeka wake. Hongera!!”

Na pia tumelipa zawadi za kufariji kwa kila mtu aliemaliza kwenye nafasi kumi za mwanzo kwenye ubao wetu wa ushindi, na pia zawadi ya bonasi zenye thamani ya TSH 58,750 kwa kila mtu ambae alifanikiwa kuwa kwenye nafasi 25 za mwanzo kwenye ubao wetu wa ushindi wa kila siku. Kila mchezaji amefanya juhudi kubwa lakini hazikufanikiwa kumshinda Mauro!

Unafikiri unaweza kutengeneza bashiri kama hii? Jiunge Premier Bet leo!