Kuanza kutumia Premier Bet ni rahisi. Tafadhali andikisha taarifa zako, weka pesa na unaweza anza kuweka Bet moja kwa moja.
Kumbuka ni lazima uwe mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 ili kuweka bet nasi.

Bofya kwenye ‘sajili’ na ujaze kwenye fomu ya usajili habari zako za kibinafsi Pindi tu unapowasilisha, utapokea barua pepe ya makaribisho.ail.

Baada ya akaunti yako kuwekwa pesa, fanya uteuzi wako na utaonyeshwa kwenye betslip.

Chagua aina ya bet kutoka miongoni mwa moja, jumlishi,au mfumo wa chaguo mbalimbali, weka kiasi chako na ubonyeze WEKA.
Bonasi yoyote iliyopo kwa bet yako itatokeza.

Bofya WEKA Kwa mara ya pili na utume bet yako.

Ingia kwa akaunti yako, bofya kwenye WEKA PESA, ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka na uchague njia unayopendelea ya malipo.

Kwa sasa tuna toa njia 3 za malipo ya kuweka fedha: Vocha, Tigo na Vodacom.
Kwanza, unahitaji kununua vocha yako ya Premier Bet kutoka kwa mojawapo ya mawakala wetu wa Premier Bet. Unaweza ukawapata katika mojawapo ya maduka yetu au mtaani. Una siku 30 kuweka vocha yako kwa mujibu wa uhalali wa tarehe kwenye tikiti.

 • Ili kuiweka, ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet bonyeza kwenye WEKA PESA, weka kiasi cha pesa na ubonyeze kwenye kitengo cha vocha.
 • Utapokea bonsai yoyote inayoendelea ambayo umefuzu kupata. Utahitajika kubonyeza ili kukubali boansi yoyote inayoendelea ambayo ungetaka kushiriki
 • Bofya endelea kwenye malipo
 • Unaweza kuweka namba ya vocha yako ya Premier Bet na ubofye WASILISHA

  Namba ya vocha yako ikifaulu kuthibitishwa, pesa zitawekwa kwenye akaunti yako na unaweza kuweka bashiri papo hapo.
 • Kuweka fedha kwenye akaunti yako kupitia Vodacom Mobile Money tafadhali fuatisha maelekezo hapa chini:
  • Ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya KUWEKA FEDHA, ingiza kiasi cha pesa kisha bofya kwenye kitufe cha Vodacom Mobile Money
  • Utapokea bonasi yoyote hai uliyofuzu kuipokea na utahitajika kubofyakukubali bonasi yoyote hai utakayopenda kushiriki
  • Bofya kwenye ENDELEA NA MALIPO
  Kisha utahitajika kukamilisha hatua zifuatazo kwenye simu yako kuhitimisha muhamala huu.
  • Piga *150*00# kupata menyu yako ya Mpesa
  • Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye Menyu yako ya Mpesa
  • Chagua 4 kwa “Lipa kwa Kampuni” na ingiza “Premier Bet
  • Ingiza namba ya Kampuni “500700
  • Ingiza namba yako ya kumbukumbu ya malipo
  • Ingiza kiasi unachotaka kulipa
  • Ingiza PIN kuthibitisha
  • Utapokea ujumbe wa kuthibitisha ukamilifu wa muhamala kutoka Vodacom.
  Kuweka fedha kwenye akaunti yako kupitia Tigo Pesa Mobile Money tafadhali fuatisha maelekezo hapa chini:
  • Ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya KUWEKA FEDHA, ingiza kiasi cha pesa kisha bofya kwenye kitufe cha Vodacom Mobile Money
  • Utapokea bonasi yoyote hai uliyofuzu kuipokea na utahitajika kubofyakukubali bonasi yoyote hai utakayopenda kushiriki
  • Bofya kwenye ENDELEA NA MALIPO
  Kisha utahitajika kukamilisha hatua zifuatazo kwenye simu yako kuhitimisha muhamala huu.
  • Piga *150*01# kupata menyu yako ya Tigo Pesa
  • Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye Menyu yako ya Tigo Pesa
  • Chagua 3 kwa “Lipa kwa Kampuni” na ingiza “Premier Bet
  • Chagua 2 kwa “Ingiza Namba ya Kampuni
  • Ingiza namba ya Kampuni “500700
  • Ingiza namba yako ya kumbukumbu ya malipo
  • Ingiza kiasi unachotaka kulipa
  • Ingiza PIN kuthibitisha
  • Utapokea ujumbe wa kuthibitisha ukamilifu wa muhamala kutoka Tigo pesa.
  Ingia kwenye akaunti yako, bofya TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na uteue Akaunti ya Malipo unayorejelea kwa kutumia orodha.

  Kwa sasa, tuna njia moja za kutoa pesa,vocha – kwa sasa tuna njia tatu za kutoa pesa, ambazo ni vocha, Vodacom(mpesa) na Tigo (Tigopesa)
  Ingia kwa akaunti yako ya Premier Bet, bonyeza TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na uchague vocha kutoka kwa akaunti ya malipo kwenye orodha.

  Bofya kwenye Toa Ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa moja kwa moja. Nambari yako ya siri ya vocha yaweza kupatikana kwenye sehemu ya Kunihusu/ukurasa wa kifedha.

  Utahitaji kuonyesha nambari ya siri ya vocha kwenye mojawapo ya mawakala wetu wa Premier Bet/maduka yetu ili kupokea pesa.

  Pindi tu nambari ya siri vocha imetolewa, ni sharti itumike ndani ya siku 7, hutaweza kupata pesa zako baada ya siku saba kukamilika.

  Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet, bofya WITHDRAW, ingiza kiasi cha kutoa na chagua kitufe cha MPESA kutoka kwenye menyu ya malipo ya akaunti.
  Bofya kwenye WITHDRAW kasha ENDELEA NA MALIPO
  Ombi lako la kutoa pesa limetekeleza moja kwa moja na utaweza wa kuona muhamala ukikamilika kupitia My Profile/ Ukurasa wa Fedha.

  Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet, bofya WITHDRAW, ingiza kiasi cha kutoa na chagua kitufe cha Tigo Pesa kutoka kwenye menyu ya malipo ya akaunti.
  Bofya kwenye WITHDRAW kasha ENDELEA NA MALIPO
  Ombi lako la kutoa pesa limetekeleza moja kwa moja na utaweza wa kuona muhamala ukikamilika kupitia My Profile/ Ukurasa wa Fedha.

   

  Ombi la kutoa pesa linaweza kukataliwa iwapo sheria na masharti yetu hayatimizwi. Tafadhali hakikisha umetimiza vigezo vifuatavyo:

 • Weka ombi moja tu la kutoa pesa za kiwango kamili kinachoruhusiwa.
 • Masharti ya bonasi yametimizwa: Unafaa kukamilisha mahitaji ya bonasi ulizopewa kabla ya kuruhusiwa kutoa pesa
 • Kutofautiana kwa mbinu ya Kuweka/Kutoa pesa: Tafadhali tumia mbinu ya kutoa pesa sawa na ile uliyoitumia kuweka
 • Hukuweka bet yoyote kwa kutumia pesa ulizoweka kwa akaunti yako: Sisi siyo benki na asilimia 100 ya pesa zote zinazowekwa kwenye akaunti lazima zitumike

  Akaunti za wateja wanaopuuza masharti yetu mara kwa mara zitafungwa, mteja atapoteza pesa zilizosalia kwenye akaunti na huenda akapata adhabu zaidi
 • Voucha
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 1,000,000 TZS
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 2,500 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 50,000,000 TZS
  Vodacom
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 3,000,000 TZS
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 2,000 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 50,000,000 TZS
  Tigo
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 1,000 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 3,000,000 TZS
  • Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 2,000 TZS na kiwango cha juu zaidi ni 50,000,000 TZS
  Pesa unazoweka kwenye bet
  • Kiwango cha chini zaidi cha kuwekea bet ni 200 TZS
  • Kiwango cha juu ni 2,250,000 TZS
  Pato la ushindi wowote litawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako mtandaoni pindi tu mchezo unapokamilika
  Kiwango cha juu zaidi kwa kila mchezo ni 234,000,000 TZS

  Iwapo mechi itafutiliwa mbali, bashiri zote zitabatilishwa na pesa zilizowekewa zitarudishwa kwenye akaunti yako.

   

  Mechi inayohairishwa ni batili ila tu inapopangiwa kuchezwa ndani ya masaa 24 ya muda wa awali wa kuanza kwa mchezo husika, na hii inafaa kuthibitishwa ndani ya masaa 12 ya muda ulioratibiwa kuanza kwa mchezo hapo awali.

   

  Ikiwa mechi iliyobatilishwa ni miongoni mwa nyingine jumlishi (multibet), bet itaamuliwa kutokana na uteuzi mwingine halali uliosalia.

  Unaweza kuona historia ya bet kama ifuatavyo.

  Rununu
  Chaguo la bets yako linaweza kupatikana chini ya skrini

  Tarakilishi
  Chaguo la historia linaweza kupatikna kwenye mkeka upande wa kuume wa ukurasa. Chagua tarehe na bofya maalum ili uone maelezo ya michezo yaliyochaguliwa.

  Iwapo umesahau jina au nywila yako. Bofya kwenye the Ingia kwenye sehemu ya juu mkono wa kulia wa ukurasa.

   

  Weka anwani ya barua pepe iliyosajiliwa ulipofungua akaunti yako na ubonyeze WEKA UPYA NYWILA. Utapokea barua pepe yenye URL ya kupanga upya nywila yako kutoka kwetu muda mfupi baadaye. Bofya kwenye URL ya kupanga upya nywila yako na ufuate maagizo kwenye skrini ili kupanga upya nywila yako.

   

  Ikiwa unahitaji kubadilisha nywila yako, unaweza kufanya hivyo ndani ya akaunti yako > ukurasa wa taarifa za kibinafsi pindi tu unapoingia mtandaoni.

  1 inaashiria timu ya nyumbani kushinda au timu ya kwanza kwenye orodha
  X inaashiria sare
  2 inaashiria timu ya ugenini au timu ya pili kwenye orodha

  unaweza kupata sheria nyinginezo za kuweka bet kwa kubonyeza hapa

  Bet jumlishi ni bet ambayo inajumuisha chaguzi mbili au zaidi ambazo zitahitaji ushindi ili kukupa faida. Unaweza kuchagua hadi michezo 25 kwenye betslip yako.
  Kuna njia mbili za kutumia WhatsApp kwenye tarakilishi:

    Wavuti wa WhatsApp
  • Sakinisha kivinajri cha wavuti cha Google Chrome kwenye tarakilishi yako.
  • Nenda kwenye programuya WhatsApp kwa simu, kisha ingia kwa mipangilio ambapo utapata kitanzi cha WhatsApp kwa wavuti. Ibofye na utaelekezwa kufungua web.whatsapp.com kutoka kwenye kivinjari chaa Google Chrome kwenye tarakilishi yako.
  • Rudufisha msimbo wa QR kwenye skrini ya tarakilishi yako kwa kutumia kamera ya simu yako, kwa kuhakikisha kipo ndani ya kisanduku kwenye kamera. Baada ya kukamilisha hayo, unafaa kufungua mazungumzo yaliyomo na itajumuisha nambari zote za simu ulizo nazo kwenye simu yako
      Programu ya WhatsApp
  • Pakua programu ya WhatsApp Desktop kwenye https://www.whatsapp.com/download/ Simika jalada lenyewe baada ya kupakua
  • Ili kuendesha programu ya Eneo kazi la WhatsApp, kwanza unahitaji kurudufisha msimbo wa QR kwa kutumia smartphone.
  • Fungua WhatsApp kwenye simu yako--> Menyu--> wavuti wa WhatsApp Rudufishamsimbo wa QR kwenye tarakilishi kwa kutumia simu ili kuunganisha.
  • Pindi msimbo wa QR unavyorudufishwa, utaingia kwenye programu yako ya Eneo kazi la WhatsApp. Inafanana na programu kwenye smartphone yako iliyo na sifa sawa. Unaweza kufanya chochote kama unavyofanya kwenye Smartphone yako.