Cash Drops ya Kurejea kwa Kandanda!

Kandanda imerejea! Tuna tuzo za pesa taslimu takribani 1,000 kushindaniwa, huku mchezaji mmoja mwenye bahati atajinyakulia kitita cha 240,000 TSH!

Ni rahisi kwa kubashiri katika mechi zako za soka unazopendelea na upatae tiketi ya kushiriki droo na kujishindia tuzo ya pesa taslimu!!

BET NOW

 

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Cash Drop ya Kurejeshwa kwa Kandanda inaanza tarehe 12 Juni 15:00 alasiri mpaka tarehe mwezi wa sita saa 17 Juni 03:59.
  • Ubashiri wowote utakaofanyika au kukamilika nje ya muda wa promosheni tajwa hapo juu hautafuzu kupokea ofa hii.
Ubashiri Stahiki
  • Kima cha chini cha ubashiri 465 TSH.
  • Kiwango cha chini cha bashiri 2 au machaguo zaidi ya mechi yatafuzu. Ubashiri wowote wa chaguo moja hautafuzu.
  • Kima cha chini cha jumla ya alama 2.00.
  • Bashiri zitakazo fanyika katika ubashiri wa soka pekee.
  • Bashiri zilizo sahihishwa pekee. Bashiri zilizofanyiwa Cashout au zilizofutwa hazitahesabika.
  • Ubashiri wa pesa taslimu pekee ndio utakaofuzu kuingia katika droo (Ubashiri utakaofanyika kwa pesa za bonasi au Bashiri za bure hautahesabika).
Cash Drop
  • Mchezaji mmoja atapatikana baada ya kucheza droo isiyofuata mpangilio na kupokea tuzo kuu ya 240,000 TSH.
  • Wachezaji 999 watajishindia na kupokea 2,400 TSH kila mmoja.
  • Cash Drops will be paid out within 72 hours of the end of the promo period.
JUMLA
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule (bei nafuu ya uhakika; bonasi; bashiri za bure; thamani zilizoboreshwa; na rejesho la fedha maalum) na promosheni na ofa nyingine.
  • Tunayo haki, kutenga, kufuta au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi wa Bashiri za Bure kwenye akaunti ambazo zimebainika kufanya udanganyifu.