Tumeboresha mchezo wetu wa Jackpot ya Soka kuelekea kwenye msimu mpya, na sasa unahadhi ya KIFALME.

Mchezo ni rahisi sana:

Tunachagua mechi 18 za soka kila wikiendi

Patia yote sahihi, na utashinda Jackpot 575,000,000 TSH na upate kuwa MFALME WA JACKPOT YA SOKA

Dau ni 500 TSH, na unaweza ukabashiria mara nyingi kila wiki kadiri upendavyo

Kuhakiki ubashiri wako wa Jackpot ya Mfalme wa Soka, ni rahisi kwa kuchagua kitufe cha 'Historia' kilichopo ndani ya mchezo wa Jackpot ya Mfalme wa Soka

 

Pia tuna toa Kifuta jasho halali:

  • Matokeo sahihi 17: 10,000,000 TSH
  • Matokeo sahihi 16: 2,000,000 TSH
  • Matokeo sahihi 15: 400,000 TSH

JE, UTAKUWA MFALME WA JACKPOT YETU YA SOKA?

 

CHEZA SASA

 

Football Jackpot Rules

1. Ubashiri wa Jackpot unakubalika mpaka dakika 15 kabla mechi ya kwanza kwenye orodha haijaanza. Kama mechi ya kwanza inaanza saa 9:00 mchana mwisho wa kutoa tiketi ni saa 8:45 mchana.

2. Kama chaguo la Jackpot limesharekodiwa kwenye mfumo wetu wa Ubashiri, uchaguzi wa ubashiri hauwezi kufutwa wala kurekebishwa.

3. Matokeo ya mechi zote yanazingatia muda wa kawaida wa kubashiria ambao ni dakika 90 (Muda wa ziada, Magoli ya Dhahabu, mikwaju ya penati haijumuishwi).

4. Chagua matokeo sahihi ya kila mchezo katika michezo 18, bashiri kwa usahihi matokeo yote na ujishindie jackpot. Katika tukio la washindi wengi, fedha ya Tuzo ya Jackpot itagawanywa.Kama uchaguzi wowote umehairishwa , umesitishwa au haujakamilika Jackpot itabatilishwa ndani ya masaa 48.

5. Matokeo ya Jackpot yatatolewa ndani ya masaa 24 baada ya kuthibitishwa kwa matokeo ya mechi zote za Jackpot.

6. Tunayo haki ya kuomba taarifa za uthibitisho kutoka kwa washidi wa Jackpot

7. Washidi wa Jackpot watakubali kuchukuliwa picha zao na majina ili zitumike kama nyenzo za matangazo kwa kampuni (mf. Mitandao ya Kijamii, Magazeti).

8. Tunayo haki ya kulipa Jackpot yoyote kwa Uhamishaji wa Fedha kwa njia ya Benki au Hundi.

9. Ushindi wa Jackpot haujakatwa kodi. Inaamisha ushindi wote wa Jackpot utakatwa kodi na washindi watawajibika kulipa makato ya kodi yanayoambatana na ushindi.

10. Kila mchezaji wa Jackpot ana safu itakayokuwa anastahiki kwa faraja tuzo moja (1) kwa wiki tu bila kujali idadi ya tiketi haki kwa ajili ya faraja tuzo

11. Akitokea mshindi zaidi ya mmoja, Kiasi cha jakpoti kinachoshindaniwa kitagawanywa.