Instant Football Cashback!!

Cheza Kandanda Bunifu na timu toka kwenye ligi uzipendazo na kama hutoshinda utapata rejesho la pesa taslimu 20% ya kiasi ulicho poteza! Ni rahisi weka dau lako si chini ya 2,500 TSH kuweza kuingia kwenye ofa hii na kama utapoteza kiasi chochote ndani ya wiki moja utapata rejesho la 20% ya kiasi ulichopoteza, hadi shilingi 50,000 TSH.

  1. Bofya Bunifu
  2. Cheza Kandanda Bunifu
  3. Win or get 20% cashback!

 

CHEZA SASA

 

Promo Details
  • Je, ume misi kubashiria team zako toka kwenye ligi pendwa? Cheza michezo yetu bunifu ya papo kwa papo ya Kandanda, unaweza kuchagua timu zako toka ligi mbali mbali barani ulaya siku nzima. Na kumbuka usiposhinda utapata rejesho la pesa taslimu 20% ya kiasi ulicho poteza kwa wiki.
  • Ofa hii ya Rejesho ya Pesa taslimu kwenye Kandanda bunifu ita anza Jumatatu tarehe 7 Septemba saa 01:00 hadi Jumapili Tarehe 14 Septemba 00:59.
  • Pata bashiri zako pendwa katika kandanda bunifu papo kwa papo kama utapoteza kiasi chochote ndani ya wiki moja utapata rejesho la 20% ya kiasi ulichopoteza, hadi shilingi 50,000 TSH!
  • Bashiri zozote zitakazofanyika nje ya muda wa ofa tajwa hapa juu hautafuzu ofa hii.
Rejesho la pesa taslimu
  • Rejesho la pesa taslimu linapatikana kwenye michezo bunifu wa Kandanda pekee .
  • Wacheza wanastahili kulipwa pesa taslimu 20% kwenye hasara hadi 50,000 TSH.
  • Ubashiri wa pesa taslimu pekee kwenye michezo ya Lotto Instant Win games utahesabika kwenye ofa hii (bashiri zitakazofanyika kwa kutumia pesa za bonasi hazitahesabika).
  • Wachezaji wanapaswa kucheza kima cha chini cha 2,500 TSH ili kustahili kupata ofa hii.
  • Kima cha juu cha kiasi ambacho mteja anawezakupokea ni 50,000 TSH.
  • Malipo ya rejesho la pesa taslimu yatafanyika ndani ya masaa 72 baada ya ofa kumalizika.
  • Rejesho la pesa taslimu litalipwa kweye akaunti yako pasipo na sharti la kuitumia.
JUMLA
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
  • Tunayo haki ya kufuta matokeo, au kutoa lipa rejesho la pesa taslimu, ambapo yote au sehemu ya matokeo ya alama kutoka kwa makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na ulipaji sahihi wa mchezo) ikiwa imesababishwa na mashine au kosa la mwanadamu kwa heshima ya yoyote michezo inayoshiriki.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.