Win Bonus Win Bonus

Jackpot 15 Vigezo na Masharti

Zawadi ya Jackpot 15 ya TSHS 585,000,000 inatolewa kama machaguo yote kumi na tano (15) yaliyotabiriwa 1, X au 2, yatakua sahihi.
Dau la kuingia kwenye Jackpot 13 ni TSHS 1,170 na inaweza kubadilika.
Zawadi kuu ya Jackpot 15 itagawanywa sawa kwa washindi wote wa Jackpot 15 kama kutakua na mshindi Zaidi ya mmoja kwenye tovuti zetu zote zinazoshiriki.
Zawadi za washindi wanaofuata wa Jackpot 15 zitatolewa kama ifuatavyo, hata hivo zinaweza kubadilika:
Zawadi zitakazotolewa kwa kila mchezaji

14/15 : TSHS 1,170,000
13/15 : TSHS 585,000
12/15 : TSHS 58,500
11/15 : TSHS 5,850

Ni zawadi 1 tu itatolewa kwa kila ingizo, kwahiyo kwa kila ingizo atakae tabiri kwa usahihi 14/15 atashinda zawadi ya wanaofuata ya 14/15 na hatohusika na zawadi ya bonasi ya 13/15, 12/15 au 11/15. Na sheria hii itafuatwa hata kwa mshindi wa Jackpot 15 au washindi wote wanaofuata.
Washindi wanaweza kuweka bashiri kwenye Jackpot 15 kwa machaguo mawili kwenye mchezo mmoja, inayotambulika kama bashiri ya Double Chance.
Kila chaguo la Double Chance litahesabika kama ingizo moja la nyongeza kwenye jackpot
Mahesabu ya nambari za Double Chance kwenye bashiri ni sawa na 2n (ambapo n ni nambari za bashiri za Double Chance). Kwa mfano, double combinations 5 zitakuwa sawa na 32 (2*2*2*2) kwenye ingizo moja la jackpot.
Unaweza kuweka machaguo matano (5) tu ya Double Chance kwenye orodha ya mechi kumi na tano (15). Kwahiyo, kila mchezaji anaweza kuwa na maingizo 32 tu tofauti ya mojamoja kwa wakati mmoja kwenye Jackpot.
Jackpot 15 inapatikana mtandaoni tu.
Unaruhusiwa kushiriki hadi kufikia muda uliopangwa wa mechi ya kwanza iliopo kwenye Jackpot 15.
Pesa ya Bonasi au Bashiri za bure/Free Bets haziwezi kutumika kuweka bashiri za Jackpot 15.
Bashiri za Jackpot 15 haziwezi kufutwa wala kurekebishwa zikishawekwa.

Mechi zilizokamilka, zilizoishia njiani na Zilizosogezwa mbele.

Mechi zote zitakua settled kulingana na matokeo yatakayopatikana mwisho wa muda wa kawaida. Hii itajumlisha muda wowote utakaoongezwa kwa kusimamishwa kwa mechi lakini muda wa ziada na penati hazitohesabika.
Tafadhali kumbuka kuwa matokeo ya mechi za Jackpot 15 yanaweza kuchukua hadi masaa 24.
Kama kutatokea mechi yoyote ikaghairishwa au ikasogezwa mbele, Kampuni itakua na haki ya kusubiri masaa 24 hours hadi mechi itakapoanza/kuendelea
Kama kutatokea mechi yoyote ikaghairishwa au ikasogezwa mbele, na isiendelee ndani ya masaa 24 kutoka muda uliopangwa awali, sheria ya “game above”/ ‘’mechi ya juu’’ itafuatwa – Mechi yoyote iliyoghairishwa itapata matokeo yake kwenye mechi ya juu yake kwenye tiketi/mkeka.
Mechi ya kwanza kwenye tiketi itapata matokeo kutoka kwenye mechi ya mwisho. Kwa mfano –
Mechi ya 1 – Imeghairishwa: Matokeo yatakua “2” kutoka kwenye mechi ya 5
Mechi ya 2 – Imeghairishwa: Matokeo yatakua “2” kutoka kwenye mechi ya 1
Mechi ya 3 – 2-2: Kama “X”
Mechi ya 4 – Imeghairishwa: Matokeo yatakua “X” kutoka kwenye mechi namba 3
Mechi ya 5 – 0-1: Kama “2”

Kama angalau 30% ya mechi zitakua zimeghairishwa/kusogezwa mbele na hazitocheza ndani ya masaa 24 kuanzia muda wa awali uliopangwa, tiketi zote zilizobaki zitafutwa na wachezaji watarudishiwa dau lao.
Kama uwanja uliopangwa kutumika kwenye mechi utabadilishwa, mechi hii itafutwa endapo tu uwanja mpya utakua uwanja wa nyumbani wa timu iliokuwa ugenini awali. Mechi zitakazobadilishwa uwanja tofauti na hapo zitabaki vile vile haitojalisha ni timu ipi ilitajwa ipo nyumbani.
Matokeo ya mwisho ya Jackpot 15 yatachapishwa mtandaoni na kwenye kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii ikiwezekana.
Muda wa kutwaa zawadi ya Jackpot 15 ni siku saba (7). Baada ya muda huu, tunaweza kubatilisha ushindi, labda kama tutaongeza muda, kwa hiari yetu.
Washindi wa Jackpots zote watatakiwa kuja kwenye ofisi zetu wakiwa na Ushahidi wa vitambulisho kabla ya kufanya malipo yoyote. Tuna haki ya kuwathibitisha washindi wote wa Jackpot zote kwa kuomba nyaraka sahihi za utambulisho kutoka mamlaka husika kabla ya kufanya malipo yoyote.
Pia ni masharti ya kupokea zawadi yetu ya Jackpot kwamba utakubali kurekodiwa na kutumia jina lako kwa kwenye kampeni za masoko yetu na kutangaza mchezo.
Tuna haki ya kuzuia kulipa zawadi ya pesa yote mpaka utakapokubali kushiriki kwenye tafrija ya utoaji zawadi.
Tuna haki ya kulipa kiasi chote cha pesa cha zawadi kwa mshindi kwa njia ya hundi au kumuhamishia benki.
Ushindi wa Jackpot 15 na bonasi zote za zinazohusiana na Jackpot 15 zinahusika na makato ya kodi ya ndani ya nchi. Kwahiyo, ushindi halisi utakaoupokea unaweza kupungua kulingana na kiasi cha kodi.