Become an Affiliate Become an Affiliate
Become an Affiliate

Kuwa Mshirika Wetu

Sasa una fursa nzuri ya kutengeneza pesa kwa kuwa mshirika wa Premier Bet. Utapokea linki ya kipekee ya usajili kwa ajili ya tovuti yetu ambayo utaitumia kusajili wateja wapya.

Acquire Customers

Wateja Utakao Wasajili

Tumia linki yako ya usajili kuleta wateja wapya kwenye mtandao wako ambao wataweka pesa kwenye tovuti yetu. Tutakupatia ofa nyingi za kipekee na za kuvutia na maelezo ya maana ya kukusaidia katika usajili.

Earn Money

Tengeneza Pesa

Tutakupatia sehemu ya mapato yatakayopatikana kutoka kwa kila mteja uliyempata na kumsajili! Utapata 30% ya mapato kwa siku 90 za kwanza na asilimia 10% kwa siku zitakazofata.