Become an Express Agent Become an Express Agent
Become an Agent

Kuwa Wakala

Je unataka kukuza biashara yako na kupata mauzo zaidi? Tutakusaidia kuanzisha kituo cha Premier Bet kwenye sehemu yako ya biashara ili kuvutia wateja zaidi!

Become an Agent

Faida Utakayopata

Tunakupatia teknolojia na vifaa vyote vitakavohitajika kuanza kufanya mauzo na Premier Bet. Utakua unaweza kupata michezo yetu bunifu maarufu na michezo ya kushinda papo hapo, na mengine zaidi.

Become an Agent

Unacho Hitaji?

Utakapo taja eneo la biashara, tutakupatia vifaa vyote! Unachohitaji ili kuchezesha michezo ya Premier Bet utahitaji TV mbili (2) na mtandao yaani intaneti.