Majestic Tournament Majestic Tournament

Cheza kwenye vipengele vyetu vyovyote vya michezo ya slot ya kihistoria (Legendary Slot Games) wiki hii na unaweza kujishindia sehemu ya 235,000 TSH. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja kati ya michezo yetu teule mitano (5) na utaingia kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 20 za bonasi!

Cheza Sasa
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Jishindie moja ya zawadi zetu za cash drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

Tuna wiki nzima ya michezo ya Kihistoria kwa ajili yako kucheza na kujishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya bonasi! Ni rahisi, cheza moja ya michezo yetu ya slot au yote iliyochaguliwa na unaweza kua mmoja wa wachezaji wetu wenye bahati 20 kujishindia zawadi ya bonasi ya 11,750 TSH. Ni rahisi, zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye mchezo mmoja au michezo yote mitano 5 iliyoorodheshwa hapo chini ili kuingia kwenye droo.

Jitihada za kupata ofa ya bonasi kwenye Michezo ya Kihistoria (Legends Bonus) zitaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 22 hadi Jumatatu ya tarehe 1 March.

Chagua mchezo mmoja au cheza yote kati ya michezo hii ifuatayo ili kuingia kwenye droo:

Battle Maidens / Battle Maidens Cleopatra / Blackbeard’s Compass / Viking Wilds / Theseus Rises

Cheza mchezo wowote!

Utangulizi– Muda wa Promosheni
 • Ofa ya bonasi kwenye michezo ya kihistoria (Legends Bonus) itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 22 February 02:00 hadi Jumatatu ya tarehe 1 March 01:59.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zinatakiwa ziwekwe kwenye moja au michezo yote ifuatayo: Battle of Maidens, Battle of Maidens Cleopatra, BlackBeard Compass, Viking Wilds na Theseus Rise kwenye michezo ya 1×2.
 • Wachezaji ni lazima waweke angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya mchezo wowote teule ili kuingia kwenye droo kwa ajili ya zawadi moja wapo ya cash drop. Dau litakua linajilimbikiza kwa muda wote wa promosheni.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu kwenye michezo 5 iliyoteuliwa ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
Zawadi za Bonasi
 • Wachezaji waliofuzu 20 watachaguliwa bila mpangilio ili kujishindia zawadi ya bonasi ya $5 kucheza kwenye mchezo wowote wa slot siku ya Jumatatu ya tarehe 1 March.
 • Zawadi ya bonasi itawekwa ndani ya masaa 72 baada ya droo kukamilika.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Michezo yote ya slot ina mchango wa 100% kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi, na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,750 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,175,000 TSH.
 • Una siku 14 kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu ya bonasi kwa wiki nzima ya Promosheni.
Jumla
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.