Cash Back Boosts Cash Back Boosts

Je unapenda kubashiri mubashara? Pata nyongeza ya 10% kwenye ushindi wako utakapo bashiri mubashara machaguo mawili-Ongezeko hili litafanyika moja kwa moja kwenye mkeka wako. Weka bashiri zako kwenye machaguo mawili mubashara kwa alama angalau 2.00 kwa kila chaguo na tuta ongeza 10% kwenye ushindi wako moja kwa moja!

Step 2
Weka bashiri zako mbili
Bonus
Step 3
Shinda na upate nyongeza ya 10% zaidi!
Money Bag

Hakuna kitu kinavutia na chenye msisimko kama ubashiri mubashara, Kwa wiki hii tunaifanya iwe ya kuvutia na kufurahisha zaidi kwa kuongeza 10% kwenye ushindi wako utakapo bashiria machaguo mawili na kuongezwa moja kwa moja kwenye tiketi yako.

Weka bashiri zako kwenye machaguo mawili mubashara kwa alama angalau 2.00 kwa kila chaguo na tuta ongeza 10% kwenye ushindi wako moja kwa moja!

Ofa hii Ubashiri Mubashara na Nyongeza ya 10% kwa Machaguo mawili ita anza tarehe 12 Oktoba mpaka tarehe 19 Oktoba.

Utakapo weka bashiri yako uta ona nyongeza hii ya ushindi kwenye mkeka yako!

Muda wa Promosheni
  • Ofa hii Ubashiri Mubashara na Nyongeza ya 10% kwa Machaguo mawili ita anza Jumatatu tarehe 12 Oktoba saa 01:00 usiku mpaka Jumatatu tarehe 19 Oktoba saa 00:59 usiku.
  • Bashiri zozote zitakazofanyika nje ya muda wa ofa tajwa hapa juu hautofuzu ofa hii.
Vigezo Vya Bonasi
  • Lazima uweke bashiri mubashara kwenye chaguzi zozote 2 zenye alama 2.00 kwa kila moja ili upokee ongezeko la 10% kwenye ushindi wako.
  • Bashiri wa juu zaidi ambao unaweza kuwekwa ni 25,000 TSH.
  • Ubashiri wa pesa taslimu pekee ndio utakaohesabika kwenye ofa hii (bashiri zitakazofanyika kwa kutumia pesa za bonasi hazitahesabika).
  • Bashiri za kabla ya mechi kuanza hazito hesabika.
  • Bashiri zilizo kwisha na kuamuliwa ndio zitakazo hesabika pekee, cash out na bashiri zilizo batilishwa hazito hesabika.
  • Bashiri za system hazito hesabika kwenye promosheni hii.
  • Ushindi ulio wezeshwa utapatikana kulingana na alama zilizopo kwenye mkeka wako, kama alama zako za awali ilika 3.0 uki ongeza 10% ya nyongeza alama zako zitakua 3.3.
Taarifa Za Bonasi
  • Bonasi yako ya ushindi ita onakana kama mkeka wako utashinda.
  • Bonasi ya ushindi italipwa kweye akaunti yako pasipo na sharti la kuitumia.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
  • Tunayo haki ya kufuta matokeo, au kutoa lipa rejesho la pesa taslimu, ambapo yote au sehemu ya matokeo ya alama kutoka kwa makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na ulipaji sahihi wa mchezo) ikiwa imesababishwa na mashine au kosa la mwanadamu kwa heshima ya yoyote michezo inayoshiriki.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa