Crazy Time Crazy Time

Maverick ni mchezo wetu mpya kabisa wa Crash Game ambapo unaweza kujishindia sehemu ya 643,500 TSH kama zawadi ya pesa taslimu kwenye Mashindano yetu ya Maverick! Vizidishi vyako 10 ulivyo vi cash-out vikiwa na alama za juu zaidi vitahesabika kwenye alama zako, kukiwa na washindi 20 wa kwanza watakaojishindia zawadi za pesa taslimu!

Step 2
Cashout na vizidishi vikubwa zaidi
Deposit
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Leaderboard

Mchezo mpya kabisa wa Crash Game ndio huu na unaweza kujishindia sehemu ya 643,500 TSH kutoka kwenye zawadi ya jumla kwenye Mashindano ya Maverick ! Tazama vizidishi vinavyoongezeka na cashout kujishindia alama na upande juu kwenye ubao wa washindi. Washindi 20 wa kwanza watajishindia zawadi ya pesa taslimu, na zawadi ya mshindi wa kwanza itakua ni 180,180 TSH!

Mashindano ya Maverick yataanza kuanzia Jumatatu tarehe 24 Aprili hadi Jumapili tarehe 30 Aprili 2023.

Zawadi:

Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 180,180 TSH 180,180 TSH
2 2 102,960 TSH 102,960 TSH
3 3 51,480 TSH 51,480 TSH
4 10 25,740 TSH 180,180 TSH
11 100 12,870 TSH 128,700 TSH
JUMLA 643,500 TSH

Ili kupata alama na kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi ni rahisi cheza Maverick na u opt-in ndani ya mchezo ili kuingia kwenye mashindano. Alama zinatokana na vizidishi vya ushindi, kwa mfano uki cash-out kizidishi cha 105x tutakupatia alama 105. Ni vizidishi vyako 10 tu vyenye alama za juu zaidi ndivyo vitakavyohesabika. Vizidishi vyako 10 vitakua vinajumlishwa ndani ya mashindano kila utakapo cash out vizidishi vyenye alama za juu na juu zaidi. Kadri unavyochelewa ku-cashout ndivyo unavyozidi kupata alama za juu zaidi na kujishindia zawadi za kubwa zaidi!

Kuhusu mchezo wa Maverick:

Maverick ni mchezo mpya wa kijamii yaan wachezaji wengi wa Crash game wenye na mstari unaokua kwa kasi ambao unaweza kuanguka/crash wakati wowote. Wakati mzunguko unapoanza, ndege inaanza kuruka na kiwango cha kizidishi kinaanza kuongezeka, kisha lazima u cash-out kabla ndege ya bahati haijaruka! Kadri unavyosubiri ndivyo unavyoweza kushinda zaidi.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Maverick Tournament itaanza Jumatatu ya tarehe 24 Aprili 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 30 Aprili 23:59 UTC 2023.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zitakazofuzu ni lazima ziwekwe kwenye mchezo wa Maverick kutoka Ad Lunam.
 • Hakuna kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu.
 • Ili kushiriki kwenye mashindano utahitajika ku opt-in ndani ya mchezo katika muda wote wa promosheni. Ni bashiri pekee zilizowekwa kwenye mchezo kwa kuzingatia ku opt-in ndizo zitahesabika kwenye alama za ubao wa washindi.
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itapata alama (bashiri kutoka mizunguko ya pesa za bonasi haitohesabika).
Ubao wa Washindi
 • Kutakua na ubao mmoja wa washindi ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji watajilimbikizia alama za kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia zawadi za pesa taslimu.
 • Kila vizidishi vikubwa 10 kwa kila mchezaji vilivyokua cashed out vitajumlishwa kupata alama za jumla, na zitaonyeshwa kwenye ubao wa washindi wa kwenye mashindano, mfano: kizidishi cha cash out ya 123.12x ni sawa na alama 123.12
 • Alama za vizidishi 10 vya juu kabisa zitajumlishwa moja kwa moja kila kizidishi kikubwa zaidi kinapokua cashed out.
 • Mchezaji mwenye alama nyingi zaidi za jumla hadi mwisho wa promosheni atapata zawadi ya kwanza, wa pili atapata ya pili na kuendelea.
 • Alama za Ubao wa washindi zitakua zinabadilika katika muda halisi.
Zawadi za Ubao wa Washindi
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya mwisho ya Ubao wa washindi.
 • Washindi 20 wa kwanza kwenye ubao wa washidi wote watapata zawadi za pesa taslimu. Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering).
 • Zawadi ni kama zifuatazo:
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 180,180 TSH 180,180 TSH
2 2 102,960 TSH 102,960 TSH
3 3 51,480 TSH 51,480 TSH
4 10 25,740 TSH 180,180 TSH
11 100 12,870 TSH 128,700 TSH
Jumla 180,180 TSH
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu..
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.