NBA 10% Boost on 3-Folds!

Michezo ya NBA imerejea nasi tukakupa boresho la alama la asilimia 10% boost kwenye ushindi wako wa mkeka wenye machaguo mawili!

  1. Nenda kwenye Michezo
  2. Teua machaguo yako mawili ya NBA
  3. Shinda na upate asilimia 10% ya pesa zaidi!

 

BASHIRI SASA

 

Muda wa Ofa
  • Ofa ya NBA 10% Boost on Doubles itadumu kuanzia Ijumaa tarehe 1 Agosti 03:00 usiku mpaka Jumapili tarehe 24 Agosti saa 02:59 usiku.
  • Bashiri zozote zitakazofanyika nje ya muda wa promosheni tajwa hapo juu hazitafuzu kupokea ofa hii.
Promo Details
  • NBA Imerejea ikiwa na michezo ya haraka na hasira iliyojaa msisimko na matukio kila jioni! Hakuna w3akati bora wa ku slam dunk ushindi wa ziada kwa ongezeko la asilimia 10% kwenye ushindi wa mkeka wako wenye machaguo mawili.
  • Weka bashiri yoyote yenye machaguo 2 ya michezo ya NBA yenye alama zisizopungua 1.50 kwa chaguo na endapo ubashiri wako utashinda tutaongeza ushindi wako kwa asilimia 10% - papo hapo!
  • Ukiwa una tengeneza mkeka wako wa machaguo mawili utaona ushindi wako wa ziada kwenye mkeka wako!
SIFA ZA KUFUZU BONASI
  • Lazima ubashirie machaguo yoyote 2 kutoka kwenye Ligi ya mpira wa kikapu ya NBA yenye alama zisizopungua 1.50 kwa kila chaguo ili kupokea ongezeko la asilimia 10% kwenye ushindi wako.
  • Kiwango cha juu cha kubashiria ni 24,000 TSH.
  • Ubashiri wa pesa taslimu pekee utafuzu kupokea bonasi (bashiri zilizofanyika kwa kutumia pesa za bonasi au Bashiri za bure hazitahesabika).
  • Bashiri zilizosahihishwa pekee. Bashiri zilizo fanyiwa Cashout au zilizobatilishwa hazitahesabika.
  • Bashiri za mfumo hazitahesabika kwenye promosheni hii.
  • Ongezeko la ushindi linakokotolewa kutokana na alama zilizo nakiliwa kwenye mkeka, ikiwa alama za asili ni 5.0 zikiwa na Ongezeko la asilimia 10% utapokea alama za 5.50
TAARIFA ZA BONASI
  • Ushindi wako wa bonasi utathibitika tu endapo ubashiri wako utakuwa umeshinda.
  • Ushindi wa Bonasi utalipwa kwa pesa taslimu (hakuna masharti ya kubashiria)
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
  • Tunayo haki ya batilisha alama, au kutokulipa tuzo, ambapo sehemu yote ya alama ittapatikana na makosa, mapungufu au itilafu za kiufundi (ikiwemo malipo batili ya mchezo) yawe yamesababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kulingana na mchezo wowote shiriki.
  • Tunayo haki zaidi ya kubatilisha alama, au kutokulipa tuzo ambapo, katika maoni yetu,zote au sehemu ya alama zinatokana na udanganyifu au njama na wachezaji wengine.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule na promosheni na ofa nyingine.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.