Mega Bonus Mega Bonus

Tuna wiki 3 za tuzo na Bashiri za Bure kushindaniwa zikiwemo Jezi 60 za soka, Simu janja 4, Runinga 1 Kubwa yenye kioo kipana na Bashiri za Bure zenye thamani ya 187,500,000 TSH ! Kwa kila mkeka wenye machaguo mengi wenye dau la 2,500 TSH utakaobashira kwenye mchezo wowote,utapokea tiketi 1 kwa ajili ya droo ya tuzo za kila wiki.

Step 1
Weka dau la angalau 2,500 TSH
Football
Step 2
Pata tiketi ya droo
Bonus
Step 3
Shinda Tuzo na Bashiri za Bure kwa wiki 3!
Bonus

Hatimaye msimu umewadia na ingawa ilitupasa kusubiri kidogo,tuko tayari kusherekea na kuingia mchezoni tukiwa na ofa ya Msimu Mpya ya Kutoa Zawadi. Kila wiki tutakuwa na Kinyanganyiro kujishindia tuzo maridadi! Tuzo na Bashiri za Bure zitashindaniwa kwa wiki 3 zikiwepo jezi 60 za soka, simu janja 4, runinga 1 kubwa na Bashiri za Bure zenye thamani ya 18,500,000 TSH!

Ofa ya Kinyan’ganyiro cha Zawadi kuelekea Msimu Mpya inaanza Jumatatu tarehe 7 mpaka Jumapili tarehe 27 mwezi wa Septemba.

Kwa kila mkeka wenye zaidi ya chaguo mojawenye thamani ya dau la 2,500 TSH kwenye mchezo wowote, utapokea tiketi 1 katika droo ya tuzo ya wiki hiyo. Unavyovuna tiketi zaidi ndivyo unavyopata nafasi zaidi ya kushinda tuzo kubwa!

Wiki ya Kwanza Tarehe 7 mpaka tarehe 13 mwezi Septemba Jezi 60 za Soka na Bashiri za Bure zenye thamani ya 4,125,000 TSH
Wiki ya Pili Tarehe 14 mpaka 20 mwezi Septemba Simu janja 4 na Bashiri za Bure zenye thamani ya 5,750,000 TSH
Wiki ya Tatu Tarehe 21 mpaka 27 mwezi Septemba Runinga 1 Kubwa na Bashiri za Bure zenye thamani ya 8,875,000 TSH

Katika wiki ya Pili na ya Tatu unaweza pia kuvuna Tiketi mbili au Tiketi Tatu kama Tuzo za droo kwa kufanya bashiri maalum katika michezo shiriki ya siku:

Siku Tarehe Vigezo Ofa
Jumatatu 14 Mkeka yote yenye machaguo 5+kwenye mchezo wowote Tiketi Mbili
Jumanne 15 Cheza Mchezo wa Slot wa Burning Classics Tiketi Tatu
Jumatano 16 Cheza mchezo wowote wa Instant Lotto game Tiketi Mbili
Alhamisi 17 Cheza Virtual Instant Football Tiketi Mbili
Ijumaaa 18 Cheza Football 3×3 Slot Game Tiketi Tatu
Jumamosi 19 Bashiri zote kwenye Ligi kuu ya Uingereza Tiketi Mbili
Jumapili 20 Odds Boost zote au Bashiri za Rejesho la pesa Tiketi Mbili
Jumatatu 21 Cheza Mchezo wa Slot wa Booming 7 Deluxe Tiketi Tatu
Jumanne 22 Cheza Mchezo Mubashara wa Lucky 7 Alama Tatu
Jumatano 23 Cheza Virtual Instant Football Alama Mbili
Alhamisi 24 Cheza Mchezo wa Slot Bamboo Rush Tiketi Tatu
Ijumaa 25 Cheza mchezo wowote wa Instant Lotto Tiketi Mbili
Jumamosi 26 Odds Boost zote au Bashiri za Rejesho la pesa Tiketi Tatu
Jumapili 27 Mkeka yote yenye machaguo 5+kwenye mchezo wowote Tiketi Tatu
PROMO PERIOD
  • Ofa Kinyang’anyiro cha Msimu Mpya inaanza siku ya Jumatatu tarehe 7 saa 01:00 usiku mpaka Jumapili tarehe 28 mwezi wa Septemba saa 00:59 usiku.
  • Droo za kila wiki:
  • Wiki ya Kwanza – Jumatatu tarehe 7 saa 01:00 usiku mpaka Jumapili tarehe 14 Septemba saa 00:59 usiku.
  • Wiki ya Pili – Jumatatu tarehe 14 saa 01:00 usiku mpaka Jumapili terehe 21 Septemba saa 00:59 usiku.
  • Wiki ya Tatu – Jumatatu tarehe 21 saa 01:00 usiku mpaka Jumapili tarehe 28 Septemba saa 00:59 usiku.
  • Ubashiri wowote utakaofanyika nje ya muda wa promosheni hautafuzu kushiriki ofa hii.
Bashiri Stahiki
  • Kwa kila mkeka wenye thamani ya 2,500 TSH uliobashiriwa kwenye mchezo wowote utapokea tiketi 1 utapokea tiketi 1 katika droo ya tuzo ya wiki hiyo.
  • Unaweza kuvuna tiketi zisizo na kikomo kwa kila droo ya tuzo ya kila wiki.
  • Kwa wiki ya Pili na ya Tatu unaweza kuvuna mara mbili au mara tatu kwa kucheza bashiri au michezo maalumu kwa siku husika kama iliyo ainishwa kwenye maelezo ya ofa. Iwapo umepokea ofa ya tiketi mbili utavuna tiketi 2 kwa kila mkeka uliobashiriwa kwa dau la 2,500 TSH. Iwapo tiketi umepokea ofa ya tiketi tatu utavuna tiketi 3 kwa kila mkeka uliobashiriwa kwa dau la 2,500 TSH.
  • Bashiri za pesa taslimu pekee zitafuzu kushiriki katika droo (bashiri zitakazo fanyika kwa kutumia pesa za bonasi au Bashiri za Bure hazitahesabika).
Droo ya Tuzo
  • Kila wiki droo za tuzo zitafanyika siku zifuatazo:
  • Wiki ya Kwanza Jumatatu tarehe 14 Septemba
  • Wiki ya Pili Jumatatu tarehe 21 Septemba
  • Wiki ya 3 Jumatatu tarehe 28 Septemba
  • Wachezaji watateuliwa bila mpangilio kujishindia tuzo zifuatazo:
Wiki ya Kwanza Tarehe 7 mpaka 13 mwezi Septemba Jezi 60 za Soka na Bashiri za Bure zenye thamani ya 4,125,000 TSH
Wiki ya Pili Tarehe 14 mpaka 20 mwezi Septemba Simu janja 4 na Bashiri za Bure zenye thamani ya 5,750,000 TSH
Wiki ya Tatu Tarehe 21 mpaka 27 Septemba Runinga 1 Kubwa na Bashiri za Bure zenye thamani ya 8,875,000 TSH
  • Washindi wa tuzo kuu kwa kila wiki watachaguliwa bila mpangilio.
  • Washindi watapewa taarifa kwa njia ya simu ndani ya masaa 72 ya droo kupanga utoaji wa zawadi. Tafadhali hakikisha kwamba namba ya simu uliotumia kujisajilia akaunti ni sahihi na inapatikana.
  • Endapo mshindi yoyote hatopatikana au kutopokea simu apigiwapo ndani ya masaa 72, atapoteza tuzo na droo itarudiwa.
  • Kufuatia droo za tuzo kuu, wachezaji watachaguliwa pasipo kuafata mpangilio maalum ili kushinda tuzo za Bashiri za Bure zifuatazo:
Week 1 Free Bets
Thamani Namba Jumla
1,250,000 1 1,250,000
250,000 1 250,000
125,000 2 250,000
50,000 5 250,000
25,000 10 250,000
12,500 50 625,000
2,500 500 1,250,000
Total 4,125,000 TSH
Bashiri za Bure Wiki ya Pili
Thamani Namba Jumla
1,250,000 1 1,250,000
250,000 1 250,000
125,000 3 375,000
50,000 10 500,000
25,000 25 625,000
12,500 70 875,000
2,500 750 1,875,000
Total 575,000 TSH
Bashiri za Bure Wiki ya Tatu
Thamani Namba Jumla
1,250,000 1 1,250,000
250,000 1 250,000
125,000 5 625,000
50,000 15 750,000
25,000 40 1,000,000
12,500 100 1,250,000
2,500 1,500 3,750,000
Total 8,875,000 TSH
  • Tuzo za Bashiri za Bure zitawekwa katika akaunti za washindi ndani ya masaa 72 ya droo.
  • Wachezaji wanaweza kushinda kiasi kisichozidi tuzo moja kwa kila droo kila wiki.
Bashiri za Bure
  • Bashiri za bure zinaweza kuonekana katika kipengele cha mkeka katika kaunti ya mshindi.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kucheza mchezo wowote kwa alama zisizopungua 1.50.
  • Madai ya Bashiri ya bure ni lazima yafanyike ndani ya siku 7 baada ya kutolewa kwa kuingia katika akaunti yako.
  • Bashiri ya bure itakuwa halali kwa siku 7 baada ya kutolewa.
  • Bashiri y bure yoyote isiyotumika ndani ya siku 7 kuanzia siku ilipotolewa haitaweza kutumika.
  • Ushindi wowote unaotokana na Bashiri ya bure unalipwa pasipo dau. Ikiwa ulibashiria chaguo lenye alama 3.0 kwa Bashiri ya bure ya 2,500 TSH, ushindi wako wa jumla utakuwa 5,000 TSH.
  • Bashiri ya bure haiwezi kutolewa.
  • Bashiri ya bure ni lazima itumike mara moja, kwa ukamilifu wake.
  • Bashiri ya bure haiwezi kufanyiwa cash out.
  • Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia Bashiri ya bure nenda JINSI YA KUTUMIA BASHIRI YAKO YA BURE .
Jumla
  • Tunayo haki ya batilisha alama, au kutokulipa tuzo, ambapo sehemu yote ya alama ittapatikana na makosa, mapungufu au itilafu za kiufundi (ikiwemo malipo batili ya mchezo) yawe yamesababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kulingana na mchezo wowote shiriki.
  • Tunayo haki zaidi ya kubatilisha alama, au kutokulipa tuzo ambapo, katika maoni yetu,zote au sehemu ya alama zinatokana na udanganyifu au njama na wachezaji wengine.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule na promosheni na ofa nyingine.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.