Crazy Wild Cash Drops Crazy Wild Cash Drops

Kua Queen wetu wa michezo ya reels ikiwa na sehemu ya 235,000 TSH pesa taslimu kutoka kwenye ofa yetu ya Cash drops ya Queen of Queens. Zungusha angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo yetu 8 kabambe ya Slots na utaingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja kati ya zawadi 20 za pesa taslimu ya 11,750 TSH!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Jishindie moja ya zawadi zetu za Cash Drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

Sherehekea siku ya wanawake Duniani na ofa yetu ya Cash drops ya Queen of Queens ambapo wachezaji wetu 20 wenye bahati watajishindia sehemu ya 235,000 TSH pesa taslimu! Cheza moja kati ya michezo yetu 8 ya Queen Slots wiki hii, ukizungusha angalau, ili 2,350 TSH, kuingia moja kwa moja kwenye droo na unaweza kua mmoja wa wachezaji wetu 20 wenye bahati ya kushinda 11,750 TSH.

Ofa ya Cash drops ya Queen of Queens itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 8 hadi Jumatatu ya tarehe 15 March.

Chagua moja ya michezo hii au cheza michezo yote ifuatayo iliyoteuliwa ili kuingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio:

Utangulizi – Muda wa Promosheni
 • Muda wa Promosheni wa ofa ya Cash Drops ya Queen of Queens ni kuanzia Jumatatu ya tarehe 8 March 02:00 hadi Jumatatu ya tarehe 15 March 01:59.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu zinatakiwa ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo: Queen of Queens II (Habanero), Queen of Atlantis (Pragmatic), Queen of Gold (Pragmatic), Panther Queen (Pragmatic), John Hunter na the Tomb of the Scarab Queen (Pragmatic), Ice Queens (Gaming 1×2), Blood Queen (Gaming 1×2) na Queen of Embers (Gaming 1×2).
 • Wachezaji wanatakiwa waweke angalau 2,350 TSH kwa ujumla kwenye michezo iliyoteuliwa ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi moja wapo ya cash drop. Dau litakua linajilimbikiza ndani ya kipindi cha Promosheni.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu kwenye michezo 8 iliyoteuliwa ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
CASH DROP
 • Wachezaji 50 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya pesa taslimu ya 11,750 TSH siku ya Jumatatu ya 15 March.
 • Cash Drops zitalipwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 ya droo.
 • Cash Drops hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering), na inaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi za pesa taslimu na kiwango cha chini cha bashiri kwenye michuano hii zimewekwa kwa mfumo wa USD na zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.