Social Media Prize Social Media Prize

Tuna zawadi kabambe zinazotolewa kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii ambapo unaweza kushinda zawadi kubwa- kila wiki! Unaweza kupita kwenye kurasa zetu rasmi za Facebook, Twitter and Instagram. Pita kila siku kuangalia mashindano mapya na maelezo ya kupata zawadi zetu.

Step 1
Nenda kwenye kurasa zetu
Social media prizes Social media prizes Social media prizes
Step 2
Ingia kwenye mashindano
Bonus
Step 3
Jishindie zawadi!
Money Bag

Jiunge kwenye jamii yetu na muda wote uwe na sababu ya kucheza. Husika na zawadi zetu zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii na ujipatie zawadi za maana. Shindano lolote la kwenye mtandao wa kijamii litawekwa na kuelezewa kwenye kila kurasa yetu ya mtandao wa kijamii na itakua inakusubiri wewe tu kuingia!

Jinsi ya kushiriki

 1. Tembelea kwenye kurasa yetu rasmi moja wapo ya mtandao wa kijamii:
 1. Tafuta ofa yetu ya karibuni ya zawadi na utoe maoni/ au jibu lako kwenye chapisho & ID ya account yako (Player ID)
 2. Washindi watatangazwa kwenye machapisho. Na pia tutawasiliana nao moja kwa moja.
MUDA WA PROMOSHENI
 • Vitu vinavyohitajika, maelezo ya kujiunga & tarehe, zawadi na taarifa zote muhimu kuhusu mashindano vitawekwa katika chapisho.
 • Washiriki wowote watakaoshiriki njee ya muda wa Promosheni uliotajwa kwenye chapisho hawatofuzu kuingia kwenye mashindano.
WASHIRIKI WATAKAOFUZU
 • Mchezaji atashiriki mara moja tu kwenye haya mashindano.
 • Mashindano yatafanyika muda wote kwenye kurasa zetu zote za mitandao ya kijamii.
 • Ni lazima uwe mkazi wa kurasa ya mtandao wa kijamii ya nchi husika ambayo umeshiriki mashindano yake.
 • Ili kufuzu ni lazima uwe na akaunti hai Premier Bet. Kama hauna akaunti, pia unaweza kujisajili bure hapa.
 • Ni lazima uweke akaunti ID yako (Player ID). Majibu yatachukuliwa sio sahihi kama mchezaji hatotumia Akaunti ID (Player ID) anapowasilisha majibu yake.
 • Wachezaji watakao bainika kuingia kwenye mashindano kwa kutumia akaunti tofauti tofauti za mitandao ya kijamii watatolewa kwenye mashindano na watazuiliwa kushiriki mashindano haya.
 • Majibu ya 0 au majibu hewa hayatohesabika. Kwa mfano ‘hakuna mfungaji’ inachukuliwa kama jibu la 0. Pia inahusisha sare ya 0-0.
 • Kama jibu linahusika na mfungaji wa goli la kwanza, zawadi itatolewa kwa mfungaji sahihi wa goli la pili kama goli la kwanza ni own goal.
 • Kama jibu linahitaji jina, na kuna utata kwenye hilo jina (kwa mfano David Silva na Bernardo Silva), ni lazima utoe jina kamili yaani jina la kwanza na la mwisho, kwa mfano David Silva. Tofauti na hapo, jina la ukoo linakubalika.
 • Kama jibu linahusiana na mtoano katika ndondi, ni lazima jibu lielezewe vizuri. Kwa mfano, mzunguko wa 12 wa mtoano pia utahesabika
 • Kama jibu linahusiana na mchezo wa cricket, kwenye tukio la wachezaji wawili au Zaidi kufungana kwenye idadi sawa ya mbio, sheria ya Dead-heat itahusika.
 • Premier Bet wanatoa maamuzi ya mwisho kwenye kuchagua mshindi/ washindi. Mshindi/ washindi watachaguliwa bila mpangilio kama yatapatikana majibu sahihi mengi.
 • Kama inawezekana, taarifa zinazohusiana na majibu zitatolewa kwenye vyanzo husika, ikiwemo ( ila sio lazima ) BBC Sport, Sky Sports na Racing Post.
 • Mshindi/ Washindi watataarifiwa kwa ujumbe wa moja kwa moja kwenye Twitter/Facebook/Instagram. Na kama mshindi/ washindi hawawezi kupatikana au zawadi haitochukuliwa ndani ya masaa 48, tuna haki ya kuondoa zawadi kwa mshindi/ washindi na kuchagua mshindi/ washindi mbadala.
ZAWADI ZA BONASI
 • Thamani ya bonasi na idadi ya zawadi za bonasi zitatajwa kwenye chapisho la zawadi na zinaweza kubadilika.
 • Zawadi zote za bonasi zina masharti ya kutimiza. Na masharti ya kutimiza kwa kila bonasi yatakua ni haya isipokua ikitajwa tofauti kwenye chapisho. Bonasi ya michezo itakua na masharti ya kuzungushwa 10x, Bonasi ya mchezo wa Vegas itakua na masharti ya kuzungushwa mara 30x, Bonasi ya mchezo wa Lotto itakua na masharti ya kuzungushwa mara 10x.
 • Kiasi cha zawadi kitawekwa kama kiasi cha bonasi kama kilivyotajwa katika chapisho la mashindano. Zawadi zitawekwa ndani ya masaa 72 baada ya kila muda wa mashindano kuisha. Na bonasi inaweza kutumika katika bidhaa zilizotajwa kwenye chapisho la mashindano.
 • Kiasi cha zawadi ya bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara idadi zilizotajwa hapo juu au zitakazotajwa kwenye chapisho la mashindano, kabla haijabadilishwa kuwa pesa taslimu (yaani kabla haujaweza kuitoa). Kiasi cha bonasi na ushindi wote utazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu kabisa kwa kila bashiri ambayo itahesabika kwenye kutimiza masharti ni 58,750 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja ambacho kitakua juu ya 58,750 TSH hakitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri). Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatatimizwa ni 587,500 TSH.
 • Una siku 14 kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Kwa bashiri ya michezo, ni bashiri zilizokamilika tu ndizo zitakazohesabiwa. Bashiri hewa au bashiri zilizofanyiwa Cash out hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zenye Odds Boosts, Cash Back Boosts na bashiri za mifumo hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Mchezaji anaweza kujishindia bonasi moja tu ya hadi kiwango ambacho kimetajwa kwenye chapisho.
JUMLA
 • Ni lazima uwe na umri wa 18+ kushiriki mashindano haya na uwe na akaunti hai ya Premier Bet.
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na masharti kuzingatiwa.