Jinsi Ya

Tafuta majibu kwa maswali yote utakayokuwa nayo

  • Bofya kwenye kitufe cha SAJILI upande wa juu kulia wa kioo chako
  • instruction-image
  • Jaza fomu kwa taarifa zako na bofya kitufe cha Sajili
    instruction-image
  • Ukishasajili akaunti mpya baada ya kubofya kitufe cha Sajili, unaweza kuanza kuweka pesa na kubashiri
    instruction-image
  • Bofya kwenye kitufe cha ingia
  • Unaweza kuangalia salio lako haraka upande wa juu kulia wa kioo chako
    instruction-image
  • Kama ukifungua shuka chini, unaweza kupata taarifa zaidi
    instruction-image
  • Kama unataka kuona taarifa zaidi, ingia kwenye wasifu wako kwa kubofya “WASIFU Wangu” katika menyu ya kushuka chini na unaweza kuona salio lako
  • Kama ukifungua menyu ya kushuka chini, unaweza kupata taarifa zaid
    instruction-image
  • Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet;
  • Bofya kitufe cha WEKA PESA juu kabisa ya screen yako;
  • instruction-image
  • Chagua “Halopesa” kama njia ya malipo;
  • Andika kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwenye akaunti yako;
  • Chagua namba yako ya simu ya Halopesa kama tayari ulikuwa umeshaiongeza kabla au ongeza namba mpya ya simu ya Halopesa kwa kubofya chaguo la “Nambari mpya ya simu”;
  • Bofya kitufe cha “IJAYO”;
  • Utapata ujumbe kwenye simu yako wa kuthibitisha muamala;
  • Baada ya kuthibitisha, pesa itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako.
  • Wasiliana na Wakala au kituo cha mauzo cha Selcom
  • Ulizia huduma ya kuweka pesa kwenda Premier Bet
  • Kabidhi namba ya simu uliojisajilia akaunti yako au namba ya akaunti inayopatikana kwenye wasifu wako
  • Baada ya hamisho la pesa kufanyika utapokea risiti
  • Papo hapo pesa itaingia kwenye akaunti yako

Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya Tigopesa.

  • Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
    instruction-image
  • Ingiza kiasi upendacho kuweka
  • Chagua njia ya malipo ya ‘Tigo Pesa’
  • ‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
  • Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
  • Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’


Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya Airtel.

  • Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
    instruction-image
  • Ingiza kiasi upendacho kuweka
  • Chagua njia ya malipo ya ‘Airtel Money’
  • ‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
  • Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
  • Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’


Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya Vodacom.

  • Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
    instruction-image
  • Ingiza kiasi upendacho kuweka
  • Chagua njia ya malipo ya ‘Vodacom Mpesa’
  • ‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
  • Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
  • Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’



  • Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
  • Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
    instruction-image
  • Ingiza kiasi upendacho kuweka
  • Chagua njia ya malipo ya ‘Vocha’
  • ‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
  • Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
  • Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’



  • Bofya kwenye kitufe cha INGIA
  • Bofya kwenye kitufe cha ‘Sahau Nywila’
    instruction-image
  • Ingiza barua pepe yako
    instruction-image
  • Ingia kwenye uwanja wa kupokelea ujumbe kisha bofya kwenye barua pepe mpya uliopokea kutoka Premier Bet
  • Bofya kwenye link na ingiza nywila yako mpya
  • Nenda kwenye ukurasa wetu wa nyumbani
  • Chagua mchezo unaotaka kubashiria, kutoka kwenye menyu ndogo
    instruction-image
  • Chagua aina ya mechi utakazo penda kubashiria
    instruction-image
  • Chagua nchi & Ligi unazopendelea
  • Chagua kipengele cha kubashiria unachopendelea
  • Chagua alama za kubashiria unazopendelea
  • Nenda kwenye mkeka wako
  • Weka bashiri zako
  • Nenda kwenye ukurasa wetu wa nyumbani
  • Chagua mchezo unaotaka kubashiria, kutoka kwenye menyu ndogo
    instruction-image
  • Chagua kipengele cha ‘Mubashara Sasa’

    instruction-image
  • Chagua nchi unazopendelea
  • Ligi unazopendelea
  • Chagua kipengele cha kubashiria unachopendelea
  • Chagua alama za kubashiria unazopendelea
  • Nenda kwenye mkeka wako
  • Weka bashiri zako
  • Bofya kwenye kitufe cha ‘Bashiri ya bure’ kwenye mkeka wako
    instruction-image
  • Chagua ‘Bashiri ya bure’ unayotaka kutumia

    instruction-image
  • Weka chaguo/machaguo kwenye mkeka wako kisha weka bashiri, hakikisha masharti ya ubashiri/wagering requirements yanatimizwa
  • Ili kutazama masharti ya ubashiri/wagering requirements ya ‘Bashiri yako ya bure’ , chagua tazama taarifa
  • Kwenye mkeka, weka bashiri yako (Kiasi cha Dau hujiongeza chenyewe kwa thamani ya ubashiri wa bure)
  • Kuelewa Pesa ya Bonasi na Masharti ya Kubashiri
  • Ku-Activate Bonasi yako: Baada ya kupokea bonasi, lengo lako kuu ni kutimiza masharti ya kubashiri ili kubadilisha fedha hizi za bonasi kuwa pesa halisi, zinazoweza kutolewa.
  • Kupata Masharti ya Kubashiri: Unaweza kupata masharti maalum ya kubashiri kwa bonasi yako kwa kwenda kwenye ‘Akaunti’ > ‘Profaili Yangu’ > ‘Bofya kitufe cha Menyu’ > ‘Bonasi’ kwenye tovuti yetu. Kwa taarifa zaidi, kila ukurasa wa matangazo unafafanua wazi masharti maalum ya kubashiri yanayohusiana na bonasi hiyo.
  • Masharti ya Muda: Kuwa mwangalifu kwamba masharti yote ya kubashiri yanahitaji kukamilishwa kabla ya muda wa kumalizika kwa bonasi. Zaidi ya hayo, hakikisha kuwa bashiri zako zote zinakamilika ndani ya kipindi hiki.
  • Conversion of Funds: Once you have met the wagering requirements and all your bets are settled, your bonus funds will automatically convert into real funds.
  • Completing the Wagering Requirements
  • Meeting the Conditions: To fulfil the wagering requirements, you must adhere to the conditions specified in the promotion. For example, this might include a minimum odds requirement per selection, such as 2.00.
  • Utilisation of Funds for Bets: When placing a bet, your real money balance is always used first, followed by your bonus balance.
  • Qualifying Bets: All bets that meet the wagering conditions will contribute towards the wagering requirements. This applies irrespective of whether the funds used are from your real balance, bonus balance, or a combination of both.
  • Maximum Stake Limitations: While using bonus funds, there’s a cap on the maximum stake per bet that counts towards the wagering requirements. This limit is outlined in the terms and conditions of the specific promotion.
  • Remember, the key to effectively using bonus funds is to understand and adhere to the specific terms and conditions of each promotion. This ensures a seamless conversion of your bonus funds into real money.
  • Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet
  • Bofya kwenye alama ya mshale iliyopo juu kabisa ya screen yako:
    instruction-image
  • Bofya neno Pesa zinazotolewa
  • Andika kiasi unachotaka kutoa;
  • Chagua Vocha kama njia ya Malipo kutoka kwenye menu hapo chini;
  • Bofya kitufe cha TOA PESA kisha bofya “ENDELEZA MALIPO”
  • Ombi lako la kutoa pesa litathibitishwa moja kwa moja na unaweza kuona muamala uliotoka kwenye akaunti yako kupitia tab ya taarifa za kifedha. Pesa zitakatwa kwenye akaunti yako na zitaingizwa kwenye akaunti yako ya Halopesa.

AIRTEL: Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kutoa pesa kwa njia ya Airtel.

TIGOPESA: Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kutoa pesa kwa njia ya Tigopesa.

VODACOM: Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kutoa pesa kwa njia ya Vodacom.

  • Ingia kwenye akaunti yako
  • Gusa alama ya v juu ya kioo chako
    instruction-image
  • Chagua ‘TOA PESA’ kisha nenda kwenye ukurasa wa Kutolea pesa
  • Ingiza kiasi utakacopenda kutoa na kisha chagua kitufe cha ‘Zantel’, ‘Airtel Money’, ‘Tigo Pesa’ or ‘Vodacom ‘kutoka kwenye menyu ndogo ya chini
  • Bofya Kutoa Pesa
  • Ingia kwenye akaunti yako
  • Gusa alama ya v juu ya kioo chako
    instruction-image
  • Chagua ‘TOA PESA’ kisha nenda kwenye ukurasa wa Kutolea pesa
  • Chagua kitufe cha ‘Voucher’ kutoka kwenye menyu ndogo ya chini
  • Bofya Kutoa Pesa
  • Ombi lako la kutoa pesa linashugulikiwa, msimbo wako wa Vocha unaweza kupatikana kwenye Wasifu wako chini ya kipengele cha Financial. Utahitaji kuonyesha namba za vocha zako kwenye duka letu au wakala na kupokea pesa zako.
  • Baada ya kupokea msimbo wa vocha unapaswa kutumika ndani ya siku 7, hutaweza kudai pesa baada ya siku 7 kupita.

Kama unahitaji taarifa zaidi, tafadhali tembelea Msaada


Msaada Zaidi