ULETE MCHEZO KARIBU NA MACHO YAKO!

Na Zaidi ya matukio mubashara 15,000 ya kubashiri kila mwezi, boresha uwezo wako wa kubashiri michezo mubashara kwa kutazama mechi ambazo umezibashiria.

TAZAMA SASA

Ni michezo ipi na ligi gani unaweza kutazama?

Tunakupa nafasi ya kutazama Mubashara michezo mingi na pia ile michuano au mashindano makubwa kabisa:

Mpira wa miguu: Mechi za kimataifa za kirafiki, Ligi ya kufuzu kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya, Ligi ya kufuzu kucheza ligi ya Europa, Bundesliga, Copa Del Rey na ligi zinginezo nyingi

Mpira wa kikapu: NBA and WNBA

Tennis: Australian Open and ITF Tennis

Kriketi: ligi ya Pakistan T20

Darts: PDC World Series of Darts and PDC European Darts Tour

Baseball: Ligi kuu ya Baseball

Mpira wa wavu: FIVB World Championships Men & Women

Ni vipi unaweza kutazama mechi mubashara?

Ingia kwenye akaunti yako kasha tafuta kipengele cha and 'tazma mubashara’ chini:

Kwenye Kompyuta

Live Streaming Sportsbook

Kwenye simu

Live Streaming Sportsbook