Msimu umeisha!
Tazama Alama za round ya mwisho na Ubao wa washindi wa msimu mzima hapo chini
Results
Leaderboard
 1. 1
  Unaweza kutumia taarifa za kuingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet kucheza. Kama hauna akaunti, bofya kwenye kitufe cha Jisajili juu kulia kwenye kona ya tovuti yetu au Jisajili hapa .
 2. 2
  Bashiri matokeo sahihi ya MECHI SITA (Super6 fixtures) kwenye kila mzunguko husika.
 3. 3
  Kisha tabiriGoli la Dhahabu. Hii ni dakika ambayo unahisi goli la kwanza litafungwa kwenye mechi zote sita. Bashiri yako ya goli la dhahabu itatumika kama kutakua na mshindi mwingine.
 4. 4
  Weka bashiri zako na bofya wasilisha chaguzi zangu

Bashiri ni lazima ziwasilishwe kabla ya mechi ya kwanza kwenye mzunguko kuanza. Unaruhusiwa kushiriki mara moja tu kwa kila mzunguko, hata hivyo machaguo uliyowasilisha yanaweza kubadilishwa mpaka mechi ya kwanza kwenye mzunguko itakapoanza. Kwa taarifa Zaidi, tafadhali tazama kwenye FAQs.

Wachezaji
 1. Ofa hii inapatikana kwa mtu mwenye umri wa 18 au Zaidi na anaeishi Tanzania. Uthibitisho wa miaka na utambulisho unaweza hitajika. Kiingilio cha kushiriki Super6 ni bure.
 2. Wafanyakazi wa Premier Bet au washirika na makampuni yote wanayofanya nayo kazi, ndugu, mawakala au ndugu wa mawakala hawatofuzu kupokea zawadi.
 3. Ili kushiriki wachezaji wanatakiwa kujisajili hapa Premier Bet(tovuti) au app ya simu ya mkononi (“Mobile App”). Mtu mmoja anaruhusiwa kumiliki akaunti moja tu, anuani ya barua pepe, namba ya simu na IP address. Ukigundulika una akaunti Zaidi ya moja zitafungwa zote. Mtu mmoja anaruhusiwa kushiriki mara moja tu kwa kila mzunguko. Kama Premier Bet watakua na sababu ya kuamini akaunti Zaidi ya moja zimefunguliwa na kutumika na mtu mmoja, akaunti zote zitafungwa na ushiriki wa mchezaji wa namna hio utakua batili na hatofuzu kupokea ofa au zawadi yoyote. Wachezaji wanatakiwa kusajili majina yao sahihi na kama mchezaji atagundulika kutumia majina ya mtu mwingine ushiriki wake utakua batili.
 4. Wachezaji watalazimika kukubaliana na hivi vigezo na masharti na kukubali kuyafuata wanaposhiriki Super6. Hivi vigezo na masharti vinaweza kubadilika kila baada ya muda Fulani.
 5. Kwa nyongeza ya taarifa iliyotolewa hapo juu, Premier Bet watatumia kila taarifa ya ushindi na mshindi kwa lengo la kuitangaza hii Promosheni. Kwa kuruhusu kupokea ofa na mawasiliano unakubali kuwa Premier Bet na makampuni yote wanayofanya nayo kazi, biashara na washirika wa biashara wanaweza kutumia taarifa ulizozitoa kuwasiliana na wewe kuhusu bidhaa zetu na huduma zinazoweza kukuvutia. Kwa kushiriki unaturuhusu kutumia taarifa zako, ikiwemo lakini sio lazima sana umri wako, mahali unapoishi na jinsia yako, mahali unapotembelea kwenye tovuti yetu, bashiri zako na historia ya michezo na ubashiri wako, utumiaji wako wa mitandao ya kijamii na jinsi unavyokutana na sisi. Unakubali kuwa Premier Bet na makampuni yake yote, biashara na washirika wa biashara wanaweza kutumia taarifa ulizozitoa kuwasiliana na wewe na kukupa taarifa kuhusiana na bidhaa na huduma ambazo zinaweza kukuvutia. Unaweza kutoa mapendekezo yako kuhusiana na masoko yetu kwa kuwasiliana nasi kupitia Msaada au kwa kubadili au kujiondoa kwenye kipengele cha chako cha Akaunti yangu kutoka kwenye tovuti ya Premier Bet. Kwa taarifa Zaidi kuhusu jinsi tunavyotumia taarifa zako, tafadhali angalia kwenyePrivacy na Cookie Policies.
Mashindano
 1. Wachezaji watabashiri matokeo sahihi ya kila mechi iliyopo na pia kubashiri Goli la Dhahabu (muda ambao goli la kwanza litafungwa, tafadhali angalia chini nambari 10). Goli la Dhahabu litatumika kuchagua mshindi kama kutakua na mshindi Zaidi ya mmoja kama ilivyoelezwa kwenye kila kipengele cha zawadi hapo chini. Kutakua na mechi 6 kwa kila mzunguko (a “round”).
 2. Matokeo yataangalia dakika 90 zilizopangwa; hii inajumlisha muda wowote ulioongezeka wakati mechi imesimama sio muda wa ziada au penati.
 3. Kila mzunguko wa Promosheni ya Super6 unafungwa muda ambao mechi ya kwanza inapoanza kwa kila mzunguko. Orodha ya mechi na muda ambao mechi zitaanza kwa kila mzunguko unaweza kuonekana kwenye Ukurasa wa Super6. Mzunguko unapofungwa, wachezaji hawawezi badili ubashiri wa matokeo yao. Ukiwasilisha matokeo, unaweza kuyabadili kabla mzunguko haujafungwa kupitia tovuti yetu au App ya Simu. Ili kushiriki Super6 Wachezaji ni lazima wabashiri matokeo ya mech izote sita zilizopo kwenye mzunguko husika na kuweka bashiri ya “Goli la Dhahabu” (muda ambao goli la kwanza litafungwa kwenye mzunguko). Wakati wa kuangalia muda karibu na muda sahihi wa Goli la Dhahabu, muda kabla na baada ya muda sahihi wa goli la kwanza utahesabiwa kwa thamani moja.
 4. Washindi wa zawadi watachaguliwa kwa namna ifuatayo: Zawadi ya ushindi wa Jackpot ni 250,000,000 TSH labda kama itatangazwa kubadilika. Zawadi hii itatolewa kwa mchezaji ambae amebashiri kwa usahihi matokeo yote sita ya mechi za Super6. Kama kutakua na wachezaji wawili au Zaidi ambao wamebashiri kwa usahihi mechi zote sita za Super6, Zawadi ya ushindi wa Jackpot itachukuliwa na mchezaji ambae amebashiri muda karibu Zaidi na muda sahihi wa Goli la Dhahabu. Kama kutakua na wachezaji wawili ambao wamebashiri kwa usahihi mechi zote sita za Super 6 na ubashiri wao wa Goli la Dhahabu uko sawa na muda ambao goli la kwanza limepatikana, zawadi hii itagawanywa sawa kwa wachezaji hao. Tafadhali kumbuka ni zawadi moja tu inatolewa kwa kila wiki ya mchezo kwenye mtandao wa Super6.
 5. Zawadi za pesa taslimu zimewekwa kwa mfumo wa USD na zinaweza kubadilika kulingana na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
 6. Zawadi za nyongeza za Bonasi: Zawadi za nyongeza na/au ofa zozote maalumu zitatolewa na Premier Bet kupitia Super6. Hizi zitakua nyongeza ya zawadi ambazo zimetajwa hapo awali. Kama zawadi ya nyongeza zitaanza kutolewa, Premier Bet itatoa chapisho na kuwajulisha wachezaji kama kutakua na nyongeza yoyote ya vigezo na masharti yatakayohusika.
 7. Matokeo ya mechi na muda mabao goli la kwanza limepatikana unaotumika ni kama uliochapishwa na Sportradar. Data hizi zitatumika kutoa nafasi za mwisho za Ligi na washindi wa zawadi zote. Goli lolote lililofungwa muda wa majeruhi litarekodiwa kama dakika45 kwa kipindi cha kwanza na dakika90 kwa kipindi cha pili. Muda wa magoli utarekodiwa kama ifuatavyo: sekunde 0 – 59 = Dakika ya 1, Dakika1 sekunde00 – Dakika1 sekunde59 = Dakika ya 2 na vivo hivyo. Kwa mfano kama mchezaji akichagua dakika ya 6 kwa Goli la Dhahabu basi hii itakubalika kama goli la kwanza litapatikana kati ya Dakika ya 5 sekunde00 – Dakika5 sekunde59; Kama hakutakua na goli kwenye mech izote basi muda sahihi utakua 0 au 90.
 8. Kama kuna mechi yoyote ya Super6 itakayosogezwa mbele, kughairishwa au itakayoishia njiani (ambapo itachezwa chini ya dakika 90) basi hio mechi itaondolewa kwenye ratiba. Mashindano yataendelea kwa mechi 5 zilizobaki kwa ushindi ule ule wa jackpot ya 250,000,000 TSH Kama kutakua na mechi Zaidi ya moja itakayosogezwa mbele, kughairishwa au itakayoishia njiani, basi hakutakua na zawadi kwa wiki hio ya mchezo.
 9. Zawadi za bashiri za bure za Premier Bet hazitotolewa kwa wachezaji ambao (i) wamejitoa kwenye bidhaa yoyote ya Premier Bet; (ii) wametokea kwenye nchi ambazo Premier Bet haipokei bashiri zake; au (iii) wana akaunti amabzo zimefungwa na Premier Bet kwa sababu yoyote.
 10. Hakuna mbadala wa pesa kwa zawadi ambazo sio za pesa labda kama itakubalika vinginevyo kwa maandishi, zawadi haziwezi kurudishwa wala kuhamishika.
 11. Premier Bet inahaki ya kubadili zawadi (au sehemu ya zawadi) kwa zawadi yenye thamani sawa au kubwa kifedha kama hii ni lazima kwa sababu zilizo njee ya uwezo wake.
 12. Premier Bet haitohusika na zawadi ambazo hazitawafikia washindi kwa sababu zilizo njee ya uwezo wake.
 13. Kulingana na matokeo HALISI ya mechi kutakua na mfumo wa alama. Utapata alama 5 kama utabashiri nambari sahihi za magoli na alama 2 kama utabashiri matokeo sahihi.
  1. Mfano 1) kama utabashiri 2-0 wa nyumbani ashinde na matokeo yakawa ni 2-0, utapata alama 5.
  2. Mfano 2) kama utabashiri 2-0 wa nyumbani ashinde na matokeo yakawa ni 3-0, utapata alama 2.
 14. Msimu wa Super6 utakua na mizunguko 45 ya Michezo. Msimu wa Super6 utaanza kuanzia mzunguko wa 1 (mwisho wa wiki tarehe 28/29 August 2021) na utaisha baada ya mzunguko wa 45 kuisha. Mchezaji mwenye alama za juu zaidi mwisho wa msimu atajishindia 11,750,000 TSH. Kama kutakua na washindi watakaofungana kwa alama, Goli la Dhahabu ndilo litakalobaini mshindi. Mchezaji alie nafasi ya 1) kwenye ubao wa washindi msimu atashinda zawadi.
 15. Zawadi za mwezi za Super6 zitaanza kutolewa siku ya kwanza ya mwezi na alama za siku ya mwisho wa mwezi husika ndizo zitatumika kumchagua mshindi wa mwezi huo. Kama kuna mzunguko ambao haujakamilka hadi mwisho wa mwezi, alama za mzunguko huo hazitohesabika kwenye kutoa zawadi ya mwezi, ni mizunguko iliyokamilika tu ndio itakayohesabika. Mchezaji mwenye alama za juu zaidi mwisho wa mwezi atashinda zawadi ya 2,500,000 TSH. Kama kutakua na washindi watakaofungana kwa alama, Goli la Dhahabu ndilo litakalobaini mshindi. Mchezaji alie nafasi ya 1) kwenye ubao wa washindi mwezi atashinda zawadi.
 16. Zawadi za Ushindi za kila mzunguko wa mchezo. Kama kutakua hakuna mshindi wa zawadi ya Super 6 Jackpot basi kutakua na zawadi ya kifuta jasho ya 2,500,000 TSH itakayolipwa kwa mchezaji atakaepata alama za juu zaidi kwenye mzunguko husika wa mchezo. Zawadi hii itaanza kutolewa kuanzia 01/09/21. Kama kutakua na washindi watakaofungana kwa alama, Goli la Dhahabu ndilo litakalobaini mshindi. Mchezaji alie nafasi ya 1) kwenye ubao wa washindi wa kila wiki atashinda zawadi.
Washindi na Uthibitisho wa ushiriki na Uchapishaji
 1. Washindi watajulishwa kwa barua pepe au nambari za simu walizosajilia kwenye akaunti zao. Ni jukumu la kila mchezaji kuhakikisha taarifa zao za mawasiliano zipo sahihi. Washindi watatakiwa kuthibitisha (na Ushahidi unaokubalika na Premier Bet) umri wao, utambulisho, makazi na taarifa zozote za uthibitisho zitakazohitajika kujiridhisha na Premier Bet kabla ya kukabidhiwa zawadi yoyote. Tangazo lolote mali ya Premier Bet (mtandaoni, radioni nk.) ni kabla ya uthibitisho na sio taarifa ya mwisho.
 2. . Orodha kamili ya zawadi za washindi kwa nambari za utambulisho wa Akaunti zao zitakua zinapatikana kwenye kipengele cha matokeo kwenye ukurasa wa Super6..
 3. Kama mshiriki yoyote hatoweza, kwa sababu yoyote ile, kupokea zawadi, kutoa uthibitisho wa taarifa zao za usajili kulingana na matakwa ya Premier Bet, atagundulika ameenda kinyume na vigezo na masharti ya Premier Bet au hatoweza kupatikana ndani ya siku tano (5) za Kazi (siku yoyote isipokua Jumamosi, Jumapili na Sikukuu kwenye nchi ya Tanzania ambapo Benki zinakua wazi kwa kufanya kazi), Premier bet inahaki ya kubatilisha ushindi huo (na haki yake ya kupokea zawadi yoyote inayohusiana na Super6) na watampa zawadi hio mshiriki mwingine kama atakuepo.
 4. Kuingia na kushiriki kwenye Super6 kunahusiana na kuiruhusu Premier Bet na /au washirika wake wote, kampuni wanazofanya nazo kazi kutumia majina, ubashiri na picha za washiriki kwa madhumuni ya uchapishaji kwa faida yao, ikiwemo ubao wa washindi na matangazo yote yanayohusiana na Ukurasa wa Super6 na sehemu yoyote wanayoweza kutumia. Washindi wote watahitajika kushiriki kwenye kuitangaza Premier Bet kama inavyohitajika.
 5. Kuruhusu siku 30 za malipo na kupokea zawadi.
Uwasilishaji wa Ushiriki
 1. Premier Bet haitokubaliana na matatizo ya kiufundi, mtandao au kompyuta ya aina yoyote ile, ambayo yatasababisha kuchelewa au kutowasilisha ushiriki wako. Hatutopokea ushiriki wa mchezaji yoyote kwa njia ya barua pepe, ujumbe wa simu au njia yoyote ya mawasiliano.
Kiwango cha Kuhudumu
 1. Isipokua kifo au ajali iliotokea kutokana na uzembe au tatizo la ndani na imekubalika na sheria, Premier Bet na kampuni zote za washirika na mawakala hawatohusika na majukumu na dhima zozote zitakazotokana na:
  1. Kusogezwa mbele, kufutwa kucheleweshwa au kubadilishwa kwa zawadi, ofa au mechi za mpira wa miguu zitakazokua njee ya uwezo wa Premier Bet;
  2. Tatizo lolote la kiufundi au kutokupatikana kwa tovuti ya Super6, App ya simu au majukwaa yote yanayohusika;
  3. Tatizo la Dhahiri au kuondolewa kunakohusiana na utoaji wa zawadi; au
  4. Kosa lolote for any act or default of any third-party supplier including without limitation errors relating to fixtures and scoring data.
 2. Vigezo na masharti vya any third-party supplier vitahusika kwenye zawadi itakapowezekana.
 3. Kama kuna kigezo au sehemu ya kigezo na masharti haya vitakua havifai tena, au kinyume na sheria au haviwezi kutekelezwa vitahitajika kurekebishwa hadi vitakapokua sawa, kisheria na vinaweza kutekelezeka. Kma haiwezekani kurekebisha, kigezo husika au sehemu ya kigezo husika itafutwa. Kigezo au Sehemu ya kigezo itakayo rekebishwa, futwa haiwezi kuathiri uhalali na utekelezwaji wa vigezo na masharti haya.
Premier Bet
 1. Premier Bet ndie muamuzi wa mwisho na wa haki kwa washiriki wote kuhusiana na vipengele vyote vya Super6 ikiwemo (sio lazima) utoaji wa zawadi. Ushiriki ambao haujafuata kwa usahihi sheria ya vigezo na masharti ya Super6 hautofuzu na hautokua na haki ya kupokea zawadi yoyote. Toleo la lugha ya Kingereza ya vigezo na masharti haya ya Super6 ndio yatashinda kama kutakua na tofauti yoyote.
Frequently Asked Questions