UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Wachezaji mabingwa wa Dunia wanashindana kwenye Fainali ya Nitto ATP, ndani ya O2 huko London na tuna ofa ya Cash Drop kwenye mchezo wa Tennis kusherehekea! Kwa kila 2,500 TSH utakayoibashiria kwenye fainali ya ATP utapata ticket ya kuingia kwenye droo ya Cash Drops, ikiwa na zawadi 170 za pesa taslimu na zawadi kubwa ya 1,250,000 TSH kushindaniwa!

Step 1
Bashiri kwenye fainali ya ATP
Sports
Step 2
Pata ticket yako kwa ajili ya droo
Ticket
Step 3
Jishindie pesa taslimu!
Money Bag

Bashiri kwa wachezaji wako pendwa kwenye fainali ya michuano ya Tennis ya Nitto ATP na upate nafasi ya kujishindia pesa Zaidi na ofa yetu ya Cash Drops kwenye mchezo wa Tennis. Kwa kila 2,500 TSH utakayoibashiria kwenye fainali ya ATP utapata ticket ya kuingia kwenye droo ya Cash Drops, ikiwa na zawadi 170 za pesa taslimu na jumla ya 6,250,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu kushindaniwa!

Ofa ya Cash Drops kwenye mchezo wa Tennis itaanza Jumapili ya tarehe 15 hadi Jumatatu ya tarehe 23 November.

Kwa kila 2,500 TSH utakayoilimbikiza kwenye bashiri ya mechi za Fainali ya ATP, utapata tiketi 1 ya kuingia kwenye fainali ya droo za Cash Drops kwenye mchezo wa Tennis. Unavyozidi kujikusanyia tiketi Zaidi ndio unavyozidi kujiongeza nafasi ya kushinda pesa taslimu!

Cash Drop Prizes:

Nafasi Zawadi Jumla
1 1,250,000 TSH 1,250,000 TSH
2 625,000 TSH 625,000 TSH
3-5 250,000 TSH 750,000 TSH
6-10 125,000 TSH 625,000 TSH
11-20 50,000 TSH 500.000 TSH
21-70 25,000 TSH 1,250,000 TSH
71-170 12,500 TSH 1,250,000 TSH
Jumla 6,250,000 TSH
Muda wa Promosheni
  • Ofa ya Cash Drops kwenye mchezo wa Tennis itaanza kuanzia tarehe 15 November 02:00 hadi Jumatatu ya tarehe 23 November.
  • Bashiri zote zilizo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu hazito fuzu promosheni hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Kwa kila 2,500 TSH utakayoilimbikiza kwenye ubashiri wa mechi za fainali ya mchezo wa Tennis ATP, katika alama zozote, utajipatia tiketi 1 kuingia kwenye droo ya Cash Drops kwenye mchezo wa Tennis.
  • Unaweza jishindia tiket mara nyingi Zaidi kwa ajili ya droo.
  • Ni bashiri zilizowekwa kwenye mechi za fainali ya ATP 2020 tu ndo zitakazofuzu, ikiwemo pre-match na live betting, single na multibets.
  • Bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitakazo fuzu (bashiri zilizo wekwa na pesa ya bonasi au bashiri za bure hazito hesabiwa).
  • Bashiri zilizo sahihishwa tu. Cash out au Bashiri zilizo batilishwa hazito hesabiwa.
  • Bashiri za mfumo hazito hesabiwa kwenye promosheni hii.
Droo ya Zawadi
  • Mara baada ya muda wa Promosheni kuisha, droo ya zawadi za Cash Drop itaanza Jumatatu ya tarehe 23 November.
  • Wachezaji watachaguliwa bila mpangilio kushindania zawadi zifuatazo:
Sehemu Namba Zawadi Jumla
1 1 1,250,000 TSH 1,250,000 TSH
2 1 625,000 TSH 625,000 TSH
3-5 3 250,000 TSH 750,000 TSH
6-10 5 125,000 TSH 625,000 TSH
11-20 10 50,000 TSH 500,000 TSH
21-70 50 25,000 TSH 1,250,000 TSH
71-170 100 12,500 TSH 1,250,000 TSH
Jumla 6,250,000 TSH
  • Zawadi za pesa zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 ya droo.
  • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu katika droo.
  • Cash drops hazitokua na masharti yoyote ya ziada, na inaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
  • Hii ni ofa ya mtandao na inajumlisha tovuti zote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kuwatenga mteja yeyote kutoka kupokea matangazo ya kuchaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.