Australia Wazi!

Msimu wa tenesi umerejea, na katika kusherekea tutakuwa na orodha mbili ndefu za washindi wa wiki, kila orodha ikilipa zaidi ya 4,500,000 TSH taslimu!

BASHIRI SASA
Ubao wa washindi wa Tenasi wa kila wiki
  1. Kipindi cha promosheni ya Tenesi kinaanza tangu terehe 20 mwezi Januari saa 00:01 mchana mpaka terehe 2 Februari saa 23:59 usiku.
  2. Ubashiri wowote uliofanyika au kusahihishwa nje ya muda wa promosheni hautafudhu kwenye ofa hii.
  3. Mfumo wa muda kwa nyaraka hii ni (unategemea na muda wa eneo).
  4. Promosheni hii haiwezi kutumika kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote isipokuwa ikiainishwa vinginevyo.
Bashiri zinazofuzu kwenye Ubao wa washindi
  1. Kima cha chini cha bashiri ni 2,300 TSH.
  2. Bashiri zinazofuzu ni lazima ziwe na alama zisizopungua 1.50, katika ubashiri wa zaidi ya mechi moja, jumla ya alama ni lazima ziwe sawa au kubwa kuliko 1.50 na ni lazima uwe na machaguo ya tenesi pekee.
  3. Alama zitakuwa zikikokotolewa kwa kanuni ifuatayo. dau x alama.
  4. Alama zitakuwa zikikokotolewa kulingana na bashiri zilizoshinda.
  5. Bashiri lazima zifanyike na kusahihishwa ndani ya kipindi cha promosheni.
  6. Bashiri ni lazima zifanyike kwa pesa halisi.
  7. Bashiri batili au zilifanyiwa cashout hazitahesabika kwenye promosheni hii
  8. Bashiri za mfumo hazita hesabika kwenye promosheni hii.
Tuzo za Ubao wa washindi
  1. Wachezaji bora 50 kwenye ubao wa washindi watashinda tuzo zote za pesa taslimu. Tuzo za pesa taslimu hazitakuwa na sharti la kubashiria.
  2. Zawadi itakuwa kama ilivyoorodheshwa hapa.
Vigezo na Masharti ya Jumla
  1. Tunayo haki kuondoa na/au kubadili vigezo na masharti/ nyezo zinazohusika kwa hiari yetu wenyewe, na maamuzi kulingana na ushindi unaotolewa.
  2. Tunayo haki, kwa hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja yoyote asipokee promosheni teule (mf. Ofa ya gharama nafuu; bonas; bashiri za bure; ongezeko la thamani; ofa ya maalumu ya kurejesha dau) na promosheni na ofa zingine zozote.
  3. Tunayo hayo kutenga, kufuta au kuondoa ofa ya bashiri za bure na ushindi wa bure kutoka kwenye akaunti ambazo zimethibitika kuvunja utaratibu.