Premier Bet(www.premierbet.co.tz) tovuti ("Tovuti “ hii) inatumia   kutoa huduma bora yenye kulenga mahitaji ya kila mtumizi. Tunaweza kuhifadhi ujumbe kwenye tarakilishi yako, kipakatalishi chako, au kwenye rununu yako unaposakura kwenye mtandao au mitandao ya simu. Vidakuzi ni faili ndogo za ujumbe zinazotumwa na kuhifadhiwa kwenye tarakilishi yako, smartphone au kifaa kingine wakati unahitaji kusakura tovuti. Vidakuzi hutumwa kwa  tovuti chanzi kila unapozuru tovuti hiyo au tovuti nyingine inayotambua kumbukumbu ya mtandao yenyewe. Vidakuzi ni muhimu kwa kuwa inaruhusu tovuti kutambua mtambo unaotumika.

Unaweza kupata habari zaidi kuhusu vidakuzi kupitia www.allaboutcookies.org.

MATUMIZI YA VIDAKUZI KWENYE TOVUTI

Kuna sababu kadhaa za kutumia vidakuzi kwenye tovuti. Hii ni pamoja na:

  • kuruhusu watumizi kuingia kwenye akaunti zao za Premier Bet
  • kuruhusu watumizi kuchagua jinsi ya kuingia mtandaoni;
  • kudhibiti na kukusanya habari kuhusu namna biashara ilivyoendeshwa kwenye Tovuti; na .
  • kuzuia utapeli na kulinda usiri kwa jumla

Kwa jumla, vidakuzi hutumika kuboresha na kuzidisha matumizi Baadhi ya vidakuzi tunavyotumia ni muhimu kwa utendakazi wa tovuti.

Matumizi ya vidakuzi na Premier Bet kwenye tovuti huingizwa kwa makundi yafuatayo;

Udhibiti wa vipindi - vidakuzi ni muhimu kwa kuwa hutuwezesha kutumia tovuti,  huelekeza habari na kuwasaidia watumizi  kusakura kwenye tovuti.

Uamilifu - vidakuzi huhifadhi habari zinazotuwezesha kukumbuka taarifa kuhusu mapendeleo ya  mtumizi k.m. Lugha anayopendelea, aina ya mitindo, mipangilio wa njia za mawasiliano. Vile vile, hutumika kuondoa vizingiti wakati wa matumizi ya tovuti, kwa mfano, kuepua watumizi kuonyeshwa ujumbe mara mbili.

Kuzuia utapeli - vidakuzi huhifadhi habari zinazotuwezesha kuzuia utumizi mbaya wa mtandao.

Ufuatiliaji - vidakuzi vinatuwezesha kuhifadhi habari kuhusu namna ambavyo watumizi walivyoingia kwenye tovuti. Tunahitaji kuweka kumbukumbu ili kutuwezesha kuwalipa washirika wetu ipasavyo.

Uchanganuzi - vidakuzivinatuwezesha kutambua na kukadiria idadi ya watumizi na kutuonyesha namna wanavyotumia tovuti. Hii inatusaidia kuboresha utendakazi wa tovuti yetu, kwa mfano, kwa kuhakikisha kwamba watumizi wanapata wanachosakura kwa urahisi na kuwasilisha matangazo na habari  husika kwa kila mtumizi na  matamanio yao na kuchunguza utendakazi wa  matangazo na habari kama hizi.

Mara kwa mara, Premier Bet inaweza kutumia uchunguzi wa mhusika wa tatu aliyeteuliwa kwa makini na/au  vidakuzi vya kiuchanganuzi ili kusaidia katika kuboresha tovuti na huduma za Premier Bet kwa watumiaji.

Viunganishi vinapowasilishwa kwenye tovuti yetu kwa  tovuti nyingine ya mhusika wa tatu, ni muhimu kukumbuka kwamba tovuti hizo zina vidakuzi na kanuni za usiri ambazo zitaongoza habari zozote unazoweza kuwasilisha.  Iwapo utaamua kutumia tovuti ya mhusika wa tatu, tafadhali soma vidakuzi  na kanuni zao za usiri kabla ya kufanya hivyo.

UDHIBITI WA VIDAKUZI

Iwapo unataka kufuta vidakuzi vyovyote vilivyohifadhiwa kwenye tarakilishi yako, au kuzuia vidakuzi vinavyofuatilia mitindo ya usakuraji wako kwenye tovuti, unaweza kufanya hivyo kwa  kufuta vidakuzi vilivyopo na/au kubadilisha mipangilio ya usiri ( mchakato unaofuatilia utatofautiana kutoka  mtambo mmoja wa kusakuria hadi mwingine). Iwapo utahitaji habari zaidi kuhusu namna ya kuondoa kumbukumbu za mtandao au kubadilisha mipangilio ya usiri wako, tafadhali tembelea www.allaboutcookies.org. ‘Usaidizi’ katika mtambo wako wa kusakuria pia utakuelekeza namna ya kufanya  vile.

Tafadhali zingatia kuwa kufuta  vidakuzi au kutowezesha vidakuzi vya baadaye inamaanisha kwamba kuna uwezekano wa kutoweza kutalii baadhi ya maeneo au sehemu muhimu za tovuti yetu. Kwa mfano, iwapo kivinjari chako kimepangwa kutowezesha vidakuzi vya‘awamu’. Hutaweza kuingia katika akaunti yako ya Premier Bet.

Habari za kina kuhusu namna Premier Bet inavyolinda usiri wako zimeorodheshwa katika Sera ya Faragha.