End of year raffle!

Cheza ukiwa Premier Bet katika kipindi cha sikukuu ili upate nafasi ya kushinda tuzo za pesa taslimu, simu za mkononi, laptop & hata pikipiki!

Kwa kila dau linalostahili lililobashiriwa kwenye michezo, kasino & wachezaji kasino mubashara watapata tiketi ya kushiriki droo ya kila wiki. Kwa madau zaidi yanayofuzu, ndivyo mteja anavyopata tiketi zaidi na kupata nafasi kubwa zaidi ya kushinda moja ya tuzo lukuki za kila wiki!

Kwa kila dau la 2,300 TZS lililobashiriwa kwenye michezo kwa alama zisizopungua 1.50 wateja watapata tiketi moja kwenye droo, wakati kwa kila dau la 11,500 TZS lililobashiriwa kwenye Michezo Bunifu pia tutawazawadia wateja wetu tiketi moja kwenye droo.

Kipindi chote cha promosheni, wachezaji wanaweza kupata tiketi mbili na hata tatu kwa mkupuo kwa siku husika za kubashiria michezo mbalimbali au kucheza michezo fulani, hivyo kaa tayari kufuatailia kalenda yetu ili kuongeza nafasi yako ya ushindi.

  • Wiki ya kwanza - Jumatatu tarehe 23 Disemba - Tuzo kuu kwa wiki hii itakuwa Simujanja
  • Wiki ya pili - Jumatatu tarehe 30 Disemba - Tuzo kuu kwa wiki hii itakuwa Laptop
  • Wiki ya tatu - Jumatatu tarehe 6 Januari - Tuzo kuu kwa wiki hii itakuwa Pikipiki

 

BASHIRI SASA

 

VIGEZO NA MASHARTI
  1. Kipindi cha promosheni ya Christmas kinaanzia Jumatatu tarehe 16 Disemba saa 6.00 mchana mpaka Jumapili tarehe 5 Januari saa 5:59 usiku.
  2. Ubashiri wowote utakaofanyika au kukamilika nje ya muda wa promosheni hapo juu hautafuzu kushiriki promosheni hii.
  3. Ofa hii haipatikani kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
  4. Wachezaji wanawajibika kuchagua kushiriki promosheni, wachezaji wasioamua kushiriki watatengwa.
Sifa
  1. Bashiri za michezo zitakazo fuzu ni lazima ziwe na angalau alama zisizopungua 1.50, kama umefanyika ubashiri wa zaidi ya chaguo moja, jumla ya alama ni lazima ziwe sawa au kubwa kuliko 1.50. Kwa kila dau la 2,300 TZS lilolobashiriwa mteja atapata tiketi moja katika droo ya kila wiki. Bashiri zinazofuzu zinatakiwa kukamilika ndani ya wiki husika ili kuwa halali.
  2. Bashiri Bunifu za Michezo zitakazo fuzuni lazima ziwe na alama zisizopungua 1.50, kama ikiwekwa bashiri unganifu, jumla ya alama ni lazima ziwe sawa au kubwa kuliko1.50. Kwa kila dau la 11,500 TZS lilolobashiriwa mteja atapata tiketi moja katika droo ya kila wiki bila mpangilio.
  3. Idadi ya tiketi kwa kila mteja itarejeshwa kuwa sifuri kila ifikapo mwisho wa wiki ya kufuzu.
  4. Wateja wanaweza kupata idadi ya tiketi isiyokuwa na kikomo kwa wiki.
  5. Wiki ya 1 ya kufuzu inaanza kuanzia Jumatatu tarehe 16 Disemba saa 6:00 mchana - Jumapili tarehe 22 Disemba saa 5:59 usiku.
  6. Wiki ya 2 ya kufuzu inaanza kuanzia Jumatatu tarehe 23 Disemba saa 6:00 usiku- Jumapili tarehe 29 Disemba saa 5:59 usiku.
  7. Wiki ya 3 ya kufuzu inaanza Jumatatu tarehe 30 Disemba saa 6:00 usiku - Jumapili tarehe 5 Januari saa 5:59 usiku.
Tuzo
  1. Tuzo zitathibitishwa ndani ya siku zilizoorodheshwa hapa chini
  2. Wateja wasiobahatika kushinda Tuzo kuu watapata nafasi ya kushinda kupitia droo yetu isyofuata mpangilio zawadi ya kifuta jasho, ambapo tutakuwa tukitoa jumla ya 2,000,000 TZS kiasi kila wiki.
  3. Zawadi ya kifuta jasho ya pesa taslimu italipwa kila Jumatatu, na itakuwa hai kwa siku 7.
  4. Washindi watapigiwa simu na wawakilishi wa Premier Bet.
  5. Winners of the Main Prizes are obliged to have their picture taken for advertising/marketing purposes.
Ijumla
  1. Tunayo haki kuiondoa na /kubadilisha vigezo vya promosheni
  2. Tunayo haki, katika hiari yetu wenyewe, kumtenga mteja yoyote katika kupokea promosheni husika.
  3. Tunayo haki kutenga, kufuta au kuondoa tuzo kwenye akaunti ambazo zimethibitika kushiriki ubadhilifu.